Wana JF
Ukiwa Bukoba raha sana, wale ambao walikuwa wanagonga nyagi mwitu wameamia kwenye bia ya buku huku wakifurahia ujio wa kiwanda hiki mwanza, maroli na maroli yanamwaga bia bukoba, usije ukalogwa eti unataka kuwanunulia nyagi, hawataki kabisa.
Hongela sana SBS kwa kuleta burudani...
Mwaka 2013 Agosti nilipewa kazi ya MBR (Marketing Representative Body) mkoa wa Lindi.
Kipindi hicho soda ya chupa ilikuwa ikiuzwa sh. 600 kwa kampuni zote za COCA-COLA na SBC/ Pepsi almaarufu.
Kipindi hicho kampuni ya coca-cola ilikuwa na mauzo makubwa zaidi ya Pepsi nikapendekeza mapendekezo...
Wanajamvi Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni mdau wa kuuza bidhaa za dukani na vinywaji. Kuna changamoto kubwa sana sasahivi kupata Soda za kampuni zote coca na pepsi. Shida ni nini jamani mbona hatuelewi?
Maisha yanapanda kwa kasi Sana.
Kila kitu bei juu! Nimeshangaa kipande cha Sabuni sasa ni 600 badala ya 500. Soda sasa ni 600 badala ya 500.
Maji nayo yamepanda bei.
Huduama za kijamii nazo zinasuasua
Watawala mtuhurumie.
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.
Lakini jambo la pili huyu mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.