07 October 2024
MICHUANO YA KANDA YA CECAFA U-20 KUELEKEA FAINALI ZA AFCON YA U-20 INAENDELEA DAR ES SALAAM
https://m.youtube.com/watch?v=4u3RG9q7e7w Benchi la ufundi la Tanzania chini ya kocha mkuu Charles Boniface Mkwasa akisaidiwa na Kalimangonga Ongala, Juma Kaseja..
RISING Stars...
Ukijaribu kufatilia kuanzia mechi ya Yanga vs Kmc na leo Yanga vs Pamba Jiji utagundua kuna mkakati wa maksudi kuumiza wachezaji wa Yanga ili tarehe 19/10 Wachezaji wengi wa Yanga wawe majeruhi na Simba ipate angalau mteremko kwwnye mechi ya watani wa jadi.
Benchi la ufundi la Yanga lina kazi...
HILI LA TABORA NI KIBOKO🙌
Baadhi ya wachezaji wa Tabora United wameonekana mitaani wakiwa na watu wanaodaiwa kuwa madalali, wakiwatafutia nyumba za kupanga baada ya uongozi wa timu hiyo kuwatelekeza katika nyumba ya wageni walikokuwa wakiishi tangu kuanza kwa maandalizi ya msimu huu.
Chanzo...
✍️Usimamizi mbaya wa fedha baadhi ya wachezaji: Hukosa ujuzi au elimu kuhusu jinsi ya kusimamia mapato yao makubwa wanapokuwa kwenye kilele cha taaluma yao. Matokeo yake, wanatumia pesa kwa anasa au uwekezaji usio na faida, na wanapostaafu, wanakosa vyanzo vya kipato.
✍️Matarajio ya mapato ya...
Mzizima derby kupigwa Zanzibar wakati viwanja vipo nadhani hata mechi zingine kubwa kama derby ya kariakoo itapelekwa mwanakwerekwe na hatimae Sasa league ya NBC inahamia Zanzibar
Tujipange na ndondo za shafii
Ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati klabu bora zaidi kwa sasa ni Yanga SC, ukubali ukatae ila huu ndio ukweli mchungu. Binafsi sijaona klabu inayo weza kupambana na Yanga uwanjani ikatoka na matokeo chanya.
Mimi sio shabiki wala mwanachama wa klabu ya Yanga SC wala katika maisha yangu mpaka...
Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla
Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
Naiona mbali sana kesho dhidi ya Fountain Gate sijuwi golini atakaa nani, mbavu za kulia na kushoto atakuwa nani, mabeki kesho ni nani, nani atacheza na Che Malone baina ya Chamou na Hamza, je kesho viungo ni nani, Ngoma au Kagoma au Okajepha, pembeni kesho yuko nani, Balua na Chasambi au Kibu...
Usajili ni mkubwa lakini timu haiko vizuri kusema ukweli. Hata nafasi hii ya kucheza CAF championship ilitokana na TFF kuruhusu Tabora united yenye wachezaji 8 uwanjani kucheza na Azam na kujipatia pts 3 na magoli meeengiiii yaliyosababisha kuishinda Simba kwa magoli kwenye msimamo wa ligi...
Maisha yanaenda kasi sana.
Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM.
Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka yoyote kuwa yeye hapokei hata shilingi 100 kutoka pale Deportivo la Utopolo. Akasema yeye status yake...
Wakuu Kwa jinsi kikosi kizito Cha Yanga ( Real Madrid ya Africa) kilivyoshonwa Kwa mastaa wazito na kukifanya kiwe kikosi hatari Kwa ukanda huu wa CECAFA na kusini mwa Jangwa la Sahara
Kwa mfano viongozi wa Yanga kama wakiamua kuongeza wachezaji wa pale Simba, Je ni wachezaji gani wa Simba...
Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.
Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa...
𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔
“Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.
“Wafanyakazi wa...
Shirikisho la soka duniani ( FIFA ) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana ,pesa ya malipo iliyosalia katika uhamisho wa Augustine Okrah kutoka Bechem United kwenda Yanga.
FIFA imeitaka klabu ya Yanga kulipa pesa hiyo...
I will be short.
Dabo is required to make Azam fc qualify for the group stage or compete with pyramid fc at high level to satisfy the board and the owner, so as to keep his job.
Reports: Fans are mad of his tactics, yielding no results. He might be fired unless proven otherwise
Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo...
Kujisifiia Mmesajili Wachezaji wazuri Alafu Bado mnawekeza Nguvu Kwenye Timu Ndogo Siku mkikutana Mpate Mseleleko
Ligi Namba 5 Ya Mchongo Mchongo tu. Wana Simba Nguvu Yetu Akili Yetu Iwaze Michuano Ya Shirikisho Basi Siyo Hii Ligi Ambayo Mwenzio Tayari Ana Point 36 Kibindoni😡
Simba na Azam ni marafiki wakubwa, wanapeana hadi wachezaji kilaini kabisa. Lakini baada ya goli 5-1 dhidi ya Yanga (sheikh) Simba ikamsukumia zigo lote la lawama Manula. Manula alitaka kutimkia Azam lakini Simba wakamwekea ngumu kwakuwa Inafahamika kuwa Simba iliumia sana kunyang'anywa na Azam...
Kila kitabu na zama zake , Haji Manara alikua moto sana kipindi anashindana na Murro wakati Haji akiwa Simba sc na Muro akiwa msemaji wa Yanga hakika nilishuhudia na kusikia maneno yenye mbwembwe na kejeli humo humo ndani yake hakika gemu ilichangamka mno tena mno na hiyo yote kwa kua walikua...
Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana.
Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na mamilioni.
Somebody mnayemwita msemaji wa timu yenu anawaambia tusikubali lazima tujaze uwanja nyie kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.