soka la tanzana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Leo dirisha Kubwa la usajili linafungwa saa sita usiku. Vipi Feitoto bado anaenda Simba?

    Hofu yangu bado ipo mpaka nikoona saa sita imefika Suala la Feisal kwenda Simba limentesa sanaa ngoja tuone Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
  2. Majok majok

    Viongozi wa Simba muache kuishi kizamani sasa hivi kila timu inajua haki zake na zimejidhatiti

    Nafikiri tatizo kubwa la kwanza lililopo pale Simba ni uongozi. Viongozi wa Simba wengi pale waliopo ni wazee ambao wanaishi bado kizamani awataki kubadilika na kwenda na kasi ya mabadiliko yaliyopo Sasa hivi kwenye Kila kitu. Viongozi wa Simba wengi wakina Magori, Try again na wengine bado...
  3. Ubaya Ubwela

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane...
  4. Its Pancho

    Mpaka sasa wachezaji hawa Yanga watakalia kuti kavu

    Wakuu umofia kwenu. Kwa sasa sote tunajua namna gani yanga imekuwa na wachezaji imara na ushindani mkubwa wa namba kiasi kwamba ukipewa nafasi tu unakaza kweli kweli Well kutokana na falsafa ya Gamondi wafuatao wasipojichunga watakalia kuti kavu. ⭕️ KENNEDY MUSONDA Huyu kwa sasa amekuwa na...
  5. Labani og

    Ali Kamwe: Simba ina mabosi wengi, Yanga ina watendaji wengi

    “Siku ya Mwananchi Uwanja Tulikabidhiwa saa 6 usiku, kama ingekuwa simba ndio wamekabidhiwa ule uwanja muda huo asubuh kila mtu angeshika kichwa, wangefanya mambo ya hovyo kwasababu wana maboss wengi watendaji wachache. “Ilivyofika saa 6 usiku kila mtu alishika eneo lakini hadi saa 12 asubuh...
  6. Ubaya Ubwela

    Mashabiki wa Simba Wengi humu JF wanaongoza kwa mihemko na Wameingia kwenye Mfumo wa mashabiki wa Utopolo

    Mashabiki wa wenzangu wa Simba acheni Mihemko na lawama kwa viongozi zisizo na msingi kwa kuongozwa na mihemko na maneno ya mashabiki wa utopolo. Kocha Fadlu Davis tokayupo Pre Season kule Misri baada ya game mbili za kirafiki alisema kuna tatizo kwenye safu ya Ushambuliaji na mchezaji...
  7. ngara23

    Huyu coach wa Simba Fadlu Davids na viongozi wataikwamisha project ya Simba, wana wenge sana

    Nilivomuona sio mtulivu. Au labda hajawahi kuwa coach mkuu popote alikuwa msaidizi huko kote alikotoka, hivi Simba hawakupata cv za coach wa maana Kwa ajili ya project yao? Coach amekuja amefanya pre season na team, wamewaona mastriker wote Mukwala na Fred na akawa ana sifia ati ana team nzuri...
  8. J

    Mzize avunja ukimya pasi ya Chama, asema picha linakuja

    Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni. Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
  9. Shooter Again

    Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

    Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira Gamondi. kilichonifanya nihamie ni Jana baada ya kuiadhibu tawi la Simba Kwa mpira safi jamani...
  10. Shooter Again

    Simba haitoifunga Yanga, itaendelea kuchezea vichapo

    Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi. Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu...
  11. feyzal

    Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

    Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana. Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina...
  12. Megalodon

    SIMBA SC na Azam, kuna kitu Yanga anawafundisha lakini hamuelewi. Mpira hauna shortcut

    Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious . Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things. Very soon...
  13. Majok majok

    Yanga hii ni kama maji usipoyanywa utayaoga, mechi 6 magoli 13 karuhusu magoli 4 tu!

    Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na sio mipasho na propaganda! Kamchapa Ts Galax ya Africa kusini 1-0, kamchapa kaizer chief 4-0...
  14. Doctor Ngariba

    Yanga mmejipata kwenye ubora wenu

    Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile. Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji...
  15. L

    Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

    Wanacheza vizuri, wana speed, viungo wazuri, mabeki wazuri, mshambuliaji mzuri tena vifaa vingine kama Baleke walikuwa jukwaani, unabishana na nani sasa. Mtu yeyote anayetoa mapovu kuwa Yanga wabovu, wananunua mechi, wanabebwa huyo sio mtu wa mpira. Hii timu yao hata ukichukia vip sio shida...
  16. Suley2019

    Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

    Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana. Dakika 5, Simba wanaumiliki mpira sana na kufanya mashambulizi kwenye lango la Coastal. Dakika 8, Mutala anakosa goli...
  17. Mpigania uhuru wa pili

    Mashabiki wa simba waanza mchango kwa ajili ya kumchangia legend Magoma akate rufaa

    Baada ya Magoma kuangukia pua leo ni pigo la pili baada ya kipigo cha mwizi cha jana kutoka kwa Simba ni maumivu juu ya maumivu hakimu angesubiria angalau mpaka jumatatu ndo atoe huku kidogo maumivu ya jana yangekua yamepoa. Kushindwa kwa Magoma ni pigo kubwa kwa Simba ni ukweli ili kuishinda...
  18. M

    Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70

    Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano na habari wa Yanga Ali kamwe leo baada ya kutoka mahakamani na kushinda kesi hiyo. Pia Soma - Juma...
  19. D

    Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

    Duke abuya is overated. he plays a huge role in yanga poor attack . abuya can't be played with aziz ki, max or Aucho, The midfield gets less service with Abuya on the field. Gamondi should have noticed this. he is a bad player who works hard 🚮 Abuya has small football brains. If you noticed...
  20. LAPSE RATE

    Simba kanyimwa penalty halali

    Kama inavojieleza hapo juu, waamuzi wa Tanzania kuna muda wanashindwa kwenda na matukio muhimu. Kijili aliwin Mpira kabla ya Ibrahim Baka, na aliguswa kutokea nyuma swala ambalo ni clear penalty. Azam media pia walijitahidi kuficha picha za marejeo (video replay). Tukio hili sijalipenda Mimi...
Back
Top Bottom