soka la tanzana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PakiJinja

    Bado wadogo wanakua, tuwape muda

    Naona Simba wameamua kutengeneza timu watakayoipitisha njia ya Clement Mzinze. Kila mashabiki wa Yanga walipojaribu kumlaumu Mzinze, utetezi uliotumika kuwapooza mashabiki hao ni kwamba bado mdogo, anakua hivyo apewe muda. Mashabiki wa Simba wenyewe pia wameandaliwa kisaikolojia kama ilivyokuwa...
  2. William Mshumbusi

    Nimeukubali usajili wa Mo Dewji. Mgunda Unampa timu leo asubuhi Jioni anakupa matokeo. Record Fadlu haitaji muda.

    Timu iko Full Nondo. Ila wachezaji kufunga itategemea uwezo binafsi. Mechi mbili na Record zake akiwa kocha zinanifanya nimnyime timu fadlu David. Hana plan kamili ya kukaba au Kufunga tofauti na Mgunda. Sijaona akichora mchoro wowote wa goli. Mechi iliyopita Simba inafuga kwa uwezo binafsi...
  3. MwananchiOG

    Timu inakimbia hovyo uwanjani, Mo atuachie timu yetu Ong bak aondoke

    Nimesikitishwa sana na uchezaji wa leo, timu haina muunganiko, haina plan, inakimbia kimbia na kuzurura bila malengo, tumefungwa goli zaidi ya tatu japo yamekataliwa. Nadhani ni muda muafaka Mo Dewji atuachie timu yetu.Ikibidi na Ong bak aondoke maana amefeli kuandaa kikosi. Soma Pia: FULL...
  4. THE FIRST BORN

    Kocha na Wachezaji wa Simba SC bado wana tatizo la kushindwa kumsoma Mpinzani

    Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania. Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani hasahasa akiwa nae Live. Makocha wa Simba wanasoma Mchezo kabla na sio ukiwa unaendelea. Hilo the...
  5. G

    Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na ngoma tu, halafu kazi imeisha

    Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na Ngoma Tu, Halafu Kazi Imeisha Kama umeangalia mpira sina cha kuongeza, nawakilisha kama ilivyo hapo juu. Soma Pia: Usajili wa Freddy Micheal Koublan, Simba SC tumepigwa!
  6. Baba Dayana

    Magoma na YANGA ngoma bado ngumu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo ilishindwa kutoa maamuzi ya mapitio ya hukumu iliyompa ushindi Mzee Juma Ally Magoma na wenzake na kulazimika kuiahirisha hadi siku nyingine huku pia ikielezwa kuwa Mawakili wa Mzee huyo wameshindwa kufika Mahakamani kutokana na kuwa na majukumu mengine...
  7. D

    Kocha wa Simba anajiamini sana na ushindi wa derby

    Mwambieni Ongbak akipoteza derby watu watachange 😂. Tanzania itakuwa chungu hii. Derby anasema mechi ya kawaida. watu wameweka kila goli 100 million. Vijana wa Msimbazi wa mwambie Ongbak ukweli mapema.
  8. Pdidy

    Mashabiki wa simba mkiwaona kina Ayubu vipi kiingereza kinapandaa ama british inawahusu?

    Kama.kuna mwalimu wa kiingereza atoe somo hukuu maana kesho kuna watu wanalia. Vyema wajue hata kuwatukana waachezaji wao kizunguuu
  9. L

    Bodi ya Ligi inahitaji Mtendaji Mkuu Kijana, Almasi Kasongo hana jipya

    Moja ya mambo yanayochosha soka la Bongo wakati mwingine ni utendaji wa Bodi ya Ligi, bodi ina mapungufu mengi sana lakini kwa vile tumeamua kuendesha mambo kishikaji tunakwenda tu. We hadi leo jamaa hawana ratiba inayoeleweka ya Ligi Kuu, ujanja ujanja mwingi. Nimesikitika sana eti kuanzia...
  10. THE FIRST BORN

    Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

    Habari! Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya. Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle...
  11. Labani og

    Uchambuzi derby: First half naona Simba akipigwa mvua ya magoli mengi

    Kama umejaaliwa kipaji na ukawa na taaluma ya uchambuzi najua utakuwa umeliona hili. Baada ya Simba na Yanga kucheza mechi zao tumeona ubora na upungufu wa Kila timu according to their level mfano kwa level ya Yanga saizi ni tofauti mapungufu ya Simba kulingana na level yake. Kwa kikosi hiki...
  12. GENTAMYCINE

    Siyo maneno yangu Gentamycine mwana Simba SC bali ni maneno ya Mchambuzi Oscar Oscar na mwana Yanga SC Mwenzenu

    "Nimetizama Matamasha yote ila naomba tu niseme kuwa Simba Sports Club ni NEXT LEVEL kwa Matamasha Tanzania" amesema Oscar Oscar Mchambuzi Nguli wa Michezo nchini ambaye pia ni Shabiki wa Yanga SC ya Tanzania. Imeisha hiyo. Kudadadeki. Soma pia: Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga...
  13. MLIMAWANYOKA

    Yupo Wapi Ally Kamwe kwenye Tamasha la wiki ya Mwananchi?

    Yu wapi?! Haja onekana kabisa kwenye Tamasha. “Yanga Walikosea kama unaweza kumtafuta Mobetto popote alipo sasa kwanini walishindwa kumtambulisha alikamwe na kama allishindwa kufika uwanjani hata wangemtaja tuu. Soma pia: FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium PS...
  14. Selemani Sele

    Uuzaji wa jezi feki hautoweza kuisha nchini

    Leo nikiwa matembezi yangu Kariakoo kujitafuta, nimeona jezi za Yanga na Simba za msimu huu Mpya zikiuzwa elfu 3 ,elfu 5 na Elfu 7 zimemwagwa chini machinga tena karibu na jengo la Simba mtaa wa Agrrey na watu wanazigombania sana tu. Kwa hilo nimeona sio leo wala kesho uharamia wa jezi...
  15. J

    Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!

    Wananchi wameomba Serikali iwape eneo la mto Msimbazi Ili wajenge Uwanja wa kisasa kama ule wa Manchester United Rais wa Yanga mh Hersi ametoa ombi hilo mbele ya Mawaziri nyeti sana wa Serikali kwenye mkutano mkuu wa Klabu yao Nawatakieni Dominica Njema 😀 Kwako Dr Kigwangala aka Mzee wa Tukutuku
  16. Kidagaa kimemwozea

    Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

    Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji? Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k Usajili ujao...
  17. Mr Alpha

    Usajili wa Freddy Micheal Koublan, Simba SC tumepigwa!

    Ukweli usemwe tu katika sajili zilizofanyika simba msimu huu Fred Koublan ni usajili mbovu zaidi, ukimuangalia uwezo wake uwanjani ukitoa uwezo wake wa kucheza rafu za ovyo na kupiga maboko anabaki mtupu. Kipindi cha usajili nilionya simba tabia ya kwenda kuchukua wachezaji kwenye ligi nyepesi...
Back
Top Bottom