Najua tunapenda sana kudanganyana lakini leo inanibidi niseme tu ukweli nafasi ya Stars kufuzu kwenda Morocco AFCON hapo mwakani ni finyu kwa kifupi haipo maana game zilizobaki yenye nafuu kwetu ni Ile ya Ethiopia ugenini.
Lakini hao wahabeshi walitutoa kamasi hapa nyumbani.
Msimamo ulivo
D.R...
kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo
1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima
2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓
3. MOHAMED HUSEIN -
4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo...
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
Kwanza kabisa niseme wazi timu yetu ya taifa ni nzuri na inaupiga mwingi sana sio kibonde tena huko tushatoka.
Ukiangalia mechi za Taifa Stars na Congo DR huwa hazina mnyonge. Lolote humkuta yoyote, hapo rank za FIFA huwa hazina kazi , bampa to bampa, piga nami nikupige, Congo DR mabishoo ...
Mashabiki wa Kandambili mkae mkijua mechi ya Oktoba 19 kipigo kinawasubiri, LUNYASI tupo tayari, tumejipanga ipasavyo kutoa kipigo Cha mbwa Mwizi.
Siku hiyo mtatoka Lupaso vichwa chini, Utopolo mtutusamehe, mtasambaratika. Kipigo hicho kitaleta matokeo Hasi kwa Yanga, hatimaye timu itasuswa na...
Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya.
Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote.
Hana bahati na Simba.
Wataalam wa Sayansi ya mpira tujadiliane kidogo kuhusu hili linaloendelea mitandaoni
Tangu mechi ya kwanza ya Ligi Kuu, Yanga akiwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar licha ya kushinda bao 2-0 bado kulizuka mijadala kuhusu kiwango chao, hata mechi zilizofuata (na CEB 1-0, Ken Gold 1-0 zote ugenini)...
Kocha wa ken Gold kafungua njia kwa makocha wengi kimfumo namna ya kucheza na Yanga, ni vile Hana wachezaji sahihi wa kutekeleza TU ( alichosema kwenye press preMatch na Imani makocha wengi wataanzia hapo )
Nilishawahi kusema aina ya mpira ambao Kocha mkuu wa Yanga Miguel Gamondi anafundisha ni...
Ligi ya Tanzania bara
Azam vs Simba
Ligi ya Tanzania inachezwaje Zanzibar.. Zanzibar wanashiriki mashindano ya CAF, na wametoka.
Ila Yanga wameenda kucheza Zanzibar mechi ya Kimataifa vs cbe.
Je haya yanayotekea kulikoni? How come Zanzibar wana ligi yao afu ligi ya Bara ichezwe kwao.
Hayo ya...
Tumezoea kuona Yanga wakija na ubunifu wa aina mbalimbali, mfano, Tumekuwa tukiona wakifanya 'Supu day' ambapo wanachama, wapenzi na mashabiki mbalimbali hukutana pamoja kufurahi na kubadilishana mawazo huku wakiburudika na supu!
Kuna kilabu kingine kinachoshiriki kombe lisilojulikana na Rais...
Wanasimba wenzangu kwema, few days to go. kabla ya mechi yetu na Al ahly Tripoli. timu yetu tunaijua wazee.
kwa mfano :
fadlu akishindwa kutupeleka makundi nani alaumiwe??
a) Mangungu
b) Fadlu
c) Timu
Tajiri asiusishwe kabisa tafadhali, atazila 😂.
Maana mchawi lazima apatikane...
Kucheza ugenini uwanja ukiwa full house kama ilivyokuwa juzi kule Tripoli, Libya, kwanza ni exposure kubwa kwa wachezaji wa Simba ambao hawana experience ya kutosha kwenye mechi za kimataifa, hasa kucheza kwenye mazingira yasiyo rafiki kama yale. Kina Ahoua, Balua, Kagoma na wengine walikuwa...
Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu.
Soma Pia:
Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka
Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
Teh!
Wameshindwa kuifunga pamba Jiji, walichoambulia ni Red card.
Niliwaambia Azam FC kuna magarasa, Soma Pia Azam kuna magarasa mengi msimu huu, Feitoto anafanya kazi zote uwanjani kama house boy
Pia Pamba jiji ipo vizuri mkabisha haya sasa Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu...
Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma."
Kwa mujibu wa...
Salaam wakuu
Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la Yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.(...
Nimeona AFRICON iliyopita jamaa AMROACH alitumia approach nzuri ya kukusanya wachezaji kutoka kila kona ya dunia lengo ni kuipa nguvu na heshima bendera ya Tanzania kwenye sekta ya michezo ila naona kuna ujinga/ufinyu wa bajeti ikatufanya tubaki na benchi la ufundi la Simba ikisheheni wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.