Baada ya sintofahamu ya mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis kutokuwepo kambini nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao rasmi amerudi mazoezini.
Kibu amejiunga na wenzake mazoezini leo Agosti 2, 2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa yakiwa yamebaki masaa kadhaa kuelekea kilele cha Simba...
Yaani aisee ulaya itazidi kuwa juu mpaka dunia itapoishia yaani huu uchafu waliozindua simba na yanga mmoja kazindua sanda yaani mijezi haieleweki aisee imekaakaa kishamba.
Mwingine jana usiku kazindua vitenge yaani mijezi imezubaa haina muonekano aisee. Kweli nilikua sahihi kushabikia FC...
Naaam!! kila ligi msimu inapoanza na kuisha lazima kuwe na malalamiko ya kuonewa haswa kwa hizi timu za kariakoo (Simba na Yanga) ni muda sasa wa Tff na Bodi ya ligi kushughulika na hizi lawama au lawama na makelele yanayojitokeza kila msimu unapoisha
Tff na Bodi ya ligi ishughulike na haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.