Siku moja nikiwa naangalia Soka pale Gentlemen Sports Lounge (Sinza) huku najipongeza kidogo baada ya mihangaiko ya hapa na pale, nilimsikia jamaa mmoja meza ya pembeni akisema "Hii siyo Simba naijua mimi, Sisi hata tukifungwa ila tukiwa tumepiga soka safi "Sexy football au pira biriani basi...