Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga.
Mchezaji huyo mwenye...
Kilimanjaro,
Serikali imeahidi kutuma watalamu kwa ajili ya kufanyia tathimini uwanja wa michezo wa Memorial ulioko Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro ili kuuwekea nyasi mbadia na kuwezesha uwanja huo kutumika kwa ajili ya mechi za kitaifa.
Kauli hiyo imetolewa na waziri wa utamaduni...
Wanajamvi mambo ni vipi
Uzi huu ni wakuwapongeza watoto wa jangwani.
Binafsi ninafurahishwa na ubunifu wa Ally kamwe wa kuwapa siku wachezaji katika mechi muhimu.
Ally Kamwe ni kijana mwenye akili na anayeweza kuchangamsha mchezo wa kandanda nchini. Hii kitu ya kuwapa wachezaji siku zao...
Salam wanaspoti.
Jana ilitakiwa iwe fainali ya AFCON 2024 na leo ilikuwa ni sherehe tu ya kushangilia kombe lakini sasa kutokana na kuhangaika na nafasi ya tatu fainali inabidi ichezwe leo.
Timu zimekaa hotelini toka jumatano zinasubiri mechi ya fainali zaidi ya siku tatu hii yote eti...
Kiungo mkongwe, Marouane Fellaini (Mkubwa Fella) amestaafu soka la ushindi akiwa na miaka 36.
Fellaini ambaye ni Mbelgiji amewahi kukipiga vilabu kadhaa ikiwemo Everton na Man Utd kabla kutimkia Uchina.
Ameshinda FA Cup pamoja na Europa League mwaka 2017 akiwa na Man Utd.
Mwaka 2018 alishika...
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wasahau Maumivu ya Gharama kubwa za Maisha ndani ya dakika 90.
Mpira ni Mchezo ambao unafanya watu wa Dini Tofauti wasahau Imani zao kwa Mda, na wote wanakua na Dini Moja kwa dakika 90. Mpira ni Mchezo ambao unafanya wapinzani kisiasa waungane kwa dakika 90...
Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania.
Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid...
Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter.
Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
Kamati ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi ilikuwa na nafasi kubwa ya kufanya haya mashindano yawe na heshima na hadhi ya juu kimataifa, lakini figisu na kukesa weledi kunafanya mashindano yaonekane kituko hasa kwa timu wageni tunaowaalika.
Ushauri wangu kwa kamati ya mashindano haya, isiundwe...
Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha...
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.
Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.
Swali langu ni hili, hivi kazi...
Jina lake kwa sasa ni kubwa kwenye Ulimwengu wa Soka na anatajwa takribani kila wiki, amecheza soka Hispania, Ufaransa, Scotland na England.
Timu alizocheza
Barcelona B
Paris Saint-Germain
Rangers
Real Sociedad
Everton
Arsenal
WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA
Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga.
Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha.
Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni.
Wachezaji kutoka Tanzania...
Sijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje?
Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja...
Siku moja nikiwa naangalia Soka pale Gentlemen Sports Lounge (Sinza) huku najipongeza kidogo baada ya mihangaiko ya hapa na pale, nilimsikia jamaa mmoja meza ya pembeni akisema "Hii siyo Simba naijua mimi, Sisi hata tukifungwa ila tukiwa tumepiga soka safi "Sexy football au pira biriani basi...
1. Ghana vs Uruguay
World cup 2010 south africa, suarez alinawa mpira makusudi uliokuwa ukizama kambani . ikatengwa penati na Asamoah Gyan akaenda kukosa nakumbuka braza angu alilia sana coz ile gemu ingetusaidia wa africa kuingia nusu fainali.
2. Fabrice Muamba,alidondoka uwanjani gemu...
Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu,
Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.