Tanzania inajivunia utamaduni mzuri wa soka, huku timu zetu pendwa za Simba, Azam na Yanga zikizidi kuwasha shauku kubwa katika anga za kitaifa na kimataifa. Hata hivyo, hali ya sasa ya viwanja vya soka kote hapa nyumbani inashindwa kuendana na shauku hii. Hebu fikiria nyasi chakavu, vifaa duni...
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza...
Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza?
Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe vugezo, adhabu ya Kucheza kabla ya kukamilisha vigezo kwa Mujibu wa sheria za FIFA na TFF ni zipi?
Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa misimu ya ligi mbalimbali za mpira wa miguu duniani, huu ni uzi maalum wa kuhabarishana, kuzitambua, kutoa pongezi na kuzikaribisha timu zilizofanikiwa kupanda daraja kucheza ligi kuu mbalimbali duniani kwa msimu ujao wa 2024/2025.
√ TANZANIA-NBC PREMIER LEAGUE...
Katikati ya mwezi Machi serikali ya Tanzania ilitangaza kuwa Kampuni ya Uhandisi wa reli ya China (CRCEG) ilishinda zabuni na kupata kandarasi kujenga uwanja mpya wa soka mkoani Arusha, na kusaini makubaliano na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ya Tanzania. Uwanja huu utakuwa ni sehemu ya...
Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito.
Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja.
Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira.
Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.
Pamoja na masuala...
MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo ambalo mnataka kufanya upande wa pili eti isionekane inapendelea upande mmoja.
Nina mifano hai, Yanga...
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !
Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
Mathalani,
Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒
Viongozi wa serikali na wasio wa serikali, wahamasishe na kusimamia ushindani huu, uwe mkubwa zaid na uwe wa amani na utulivu ili kusudi...
Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site!
Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! .
Samia...
Andres Iniesta Kondoo fulani katikati ya msitu wa mbwa mwitu wakali
Ile picha ya kibabe sana, aliipiga 'Felipe Mondrovera' wa 'Getty images'. Ilikuwa Juni 10 2012 mechi ya kwanza ya EURO. Hispania waliianza kampeni yao ya kutetea taji la mataifa Ulaya. Kumbuka hapo walitoka kuchukua EURO 2008...
Suala la afya ya Mohamed Salah limesababisha mvutano baina ya Chama cha Soka cha Misri (EFA) dhidi ya Klabu ya mchezaji huyo, Liverpool ambapo kila upande unavuta upande wake ukiona una haki ya kumtumia na kujua maendeleo ya majeraha yake.
Liverpool imedai afya ya mchezaji haijakaa sawa tangu...
Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni mgumu sana endapo mwamuzi sio makini. Waamuzi wa Ligi kuu za mataifa mbalimba wanapaswa kufanya...
Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia.
Ni timu mbili...
Gareth Bale, mchezaji wa soka kutoka Wales, mara nyingi huonekana kuwa ni moja ya hazina kubwa katika ulimwengu wa kandanda, haswa kutokana na ustadi wake wa kipekee, uimara, na uchezaji thabiti uwanjani umemfanya kuwa mtu wa kuheshimika sana katika mchezo wa soka. Ni ngumu kuzungumzia mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.