Unamkumbuka Andrew Arshavin?!
Wengi wanamkumbuka Andrew Sergeyevich Arshavin, kama winga machachari aliyekiwasha ndani ya klabu ya Arsenal. Lakini duru za kijasusi ulimwenguni zinamtambua kama jasusi kutoka katika Shirika la Ujasusi la Urusi, Federal Security Service (FSB) akitekeleza "mission"...
Rais wa klabu, Mohammed Dewji ametajwa na jarida la Face2Face Africa lenye makao makuu yake jijini New York, Marekani kuwa mmoja kati ya mabilionea wawili ambao wamesaidia kukuza biashara ya mpira wa miguu barani Afrika.
Kutajwa kwa Mo kumetokana uwekezaji na mafanikio ambayo Simba imeyapata...
Na akimaliza Kuiunda hii Wizara Mawaziri wake Wakuu Hamisi Mwinjuma (kama Waziri) na Naibu Waziri awe Gerson Msigwa huku Katibu Mkuu wa hiyo Wizara akiwa ni Ali Mayai Tembele na Msemaji wa hiyo Wizara awe Amos Makalla?
juu ya yote, tumuombee dua Msigwa. hayupo vizuri
ameunja record record za dunia.
haiziwekani kakaa na Mbowe miaka 20, ghafla dakika 1 imekuwa adui. Hakuna mtu duniani sample hio
hakuna .tangu ianze siasa za vyama vingi hii haijawahi kutokea, ndio kwanza tunaona.
labda tusema mmoja akiingilia...
Machache lakini mazito
Soka na wenzake wanasadikiwa kukamatwa na jeshi la polisi. Soka aliitwa kufuatilia pikipiki yake iliyopo polisi (ni vigumu raia kujua taarifa za kitabu cha RB cha polisi)
Soka alitoa taarifa kuwa anafuatiliwa kukamatwa na hata alipokamatwa huko Iringa akielekea Mbeya...
RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL)
CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC
Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance
Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC
APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC
Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi
AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico
Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe
Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando
Enugu...
Kumbe unaweza kuburudika kwa kutazama futbol bila hata mechi za EPL.
Binafsi nilikuwa natamani sana EPL ingekuwemo kwenye king'amuzi cha Azam lakini ndiyo hivyo tena.
Pamoja na kukosekana kwa EPL ndani ya Azam, lakini kwa sisi wapenda soka, angalau nafsi inaridhika kwa kutazama mechi live...
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa ameandika makala kadhaa na kutoa matamko ambayo yaliibua mjadala mkubwa, na baadhi ya kauli zake zilikuwa...
Ben Saanane alikuwa mmoja wa wanaharakati wa kisiasa wenye sauti kali ndani ya CHADEMA, hususan akifahamika kwa msimamo wake wa kukosoa serikali ya wakati huo. Kabla ya kupotea, Ben alikuwa ameandika makala kadhaa na kutoa matamko ambayo yaliibua mjadala mkubwa, na baadhi ya kauli zake zilikuwa...
Deusdedith Soka
Kijana wa watu mmemficha wapi au mmemuuwa hatujasahau ya kijana wa watu Ben Saanane mpaka leo hata shati lake halionekani achana na mwili.
Tuambieni tujue mtoto huyu mmemuua au?
Simba wa Kizimkazi mh Tundu Antipas Lisu amepeleka kilio chake kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia juu ya kutekwa na kupotea kwa kijana Deus Soka
Makamu Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ametoa kilio chake ukurasani X
Ahsanteni Sana 🐼
======
Rais Samia, kijana huyu anaitwa Deus Soka...
Mlio Dar fikeni kwa wingi!
Polsi tusiwalaumu, huenda kuna amri toka kwa wakubwa zao kuwa washikilie/waue. Kama IGP, Waziri Masauni, and all other top authorities wamekaa kimya, means wanahusika na amri hizi!
Ndugu wanahabari wenzangu, ni mimi tena Sheikh Sayville mwenye visima vya mafuta ya alizeti.
Baada ya kutafakari kwa kina na kusikia vilio na maombi ya wengi, nimeamua kwa utashi wa moyo wangu kuwekeza katika soka.
Nimezingatia jinsi ninavyotumia muda mwingi katika mambo haya ya mipira, ni...
Mzize hana umri unaotaka kuwaaminisha watu, sio young player, wengi tunamfahamu Mzize, muache akacheze soka huko anakoliliwa, Mzize maisha yake bado hayajakaa sawa na njia pekee kwake kutoboa ni kwenda Wydad akacheze, hapa Yanga wewe shs ngapi Injinia.
Halafu nikuambie tu washabiki wengi wa...
Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?
Mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize amesema ubora wa pasi ya mwisho ya Clatous Chama ulimpa urahisi wa kukwamisha mpira nyavuni.
Mzize alifunga bao la nne na la mwisho kwenye ushindi wa mabao 4-1 ilioupata Yanga dhidi ya Azam katika fainali ya Ngao ya Jamii iliyochezwa juzi Jumapili kwenye...
Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni?
Soma Pia:
Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
cafcc
ligi kuu
mo dewji
mshambuliaji
nguvu moja
simba
simba sc
soka
ssc
takwimu
viongozi
viongozi wa simba
wachezaji wa simba
yanga and simba transformation
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.