Hawa ndio wenye kufifisha maendeleo ya soka Tanzania kakosekana GSM,hao sio watu wa mpira......kabisa hapa wanasaidiana kununua mechi na timu kama Ihefu sasa wana mradi wa kununuliana wachezaji na makocha.
Timu ikifika ngazi klabu bingwa kule hakuna Mwigulu wa GSM chali nyumbani na...
Nimeona taarifa Neymar Jr anarejea zake kwao Santos kutokea Uarabuni. Kipaji maridhawa kilichoenda na maji.
Neymar alitajwa kama mmoja ya wachezaji bora watakaovunja ufalme wa Messi na Ronaldo, lakini wapi!!
Neymar baada ya kuona ameshindwa kuwa mfalme Barcelona akakimbilia PSG ghafla na...
Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
Nafasi ya namba 10 haipo tena kwenye mpira wa sasa, kila kocha anacheza 4-4-2 au 4-3-3 ilikua kila mtoto anatamani kucheza namba 10 lakini kwenye mpira wa sasa nafasi hiyo haipo tena, hakuna kocha anaetumia playmaker tena, kwa Sasa wanahitaji mpira wa kasi na ubora wa mchezaji kwenye one-on-one...
Huyu Mbowe akikamatwa akapelekwa sehemu nzuri , akafinywa ipasavyo atatuambia tu ukweli.
Inaonekana yeye ndiye anatoa go ahead kabla CCM hawajafanya yao kwa wana chadema.
Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao isoma hii habari.
Kimsingi kila jambo unalopitia haijalishi linaonekana vipi lakini wewe unao...
Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na...
Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo.
Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Wakuu
Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa!
==
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
Wakuu,
Hili nalo mkalitazame!
=====
Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mdau maarufu wa soka nchini, Hussein Makubi Mwananyanza, amewashukuru kwa dhati wadau na wapenzi wa soka waliojitokeza kwa wingi kupiga kura mnamo tarehe 27 Novemba 2024, hatua iliyokipatia CCM ushindi wa...
Sikumbuki mara ya mwisho kuona mashindano yoyote makubwa ya riadha au matumizi yoyote ya zile running tracks zilizopo katika dimba la Mkapa.
Sanasana imekuwa sehemu ya viongozi kuzunguka kupungia mkono wananchi pindi wanapoapishwa.
Ukiingia uwanja wa Mkapa kutazama mechi kama haukai walau...
Ukiangalia soka letu la leo kweli vijana wanaonyesha uwezo mkubwa ila naamini wapo wengi zaidi ila wanakosa nafasi ya kuonekana, mashindano ya mikoa yalisaidia sana vijana wengi kuonyesha vipaji vyao,
Leo timu nyingi za ligi kuu zinaingia gharama kubwa kusajili wachezaji kutoka nchi mbalimbali...
Yanga inashuka dimbani leo ligi ya mabingwa na Al Hilal ya Sudani ikiwa ni majeruhi ya sumu ya nyuki wa Tabora baada ya kupigwa kipigo kibaya kabisa cha bao 3 kwa moja.
Kipigo hicho kiliichanganya sana Yanga mpaka kufikia kumfukuza kocha wake aliyeifanyia mengi msimu huu
Yanga bado ina kitete...
Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.
Je ndio washamalizana na Soka?
Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
Asilimia 90 ya viongozi kwenye mpira ni waislamu na hao wakristo watalaazimishwa kufuata tamadani za kiislamu. Na hata baadhi ya timu ili upate number ni lazima ubadili dini kwenda uislamu hata kwa siri. Selection ya wachezaji taifa stars imejaa udini.
Wachezaji wa kiislamu wanajazwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.