soko la buguruni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya soko la Buguruni ni hatari kwa wafanyabiashara na wakaazi wa karibu na soko

    Soko la buguruni ni moja ya soko kubwa na maarufu ndani ya jiji la Dar es salaam ambalo linahudumia watu wengi hasa kwa wafanyabiashara wa matunda. Lakini cha kusikitisha miundombinu ya soko hilo ni kero kwa wafanyabiashara na wanunuzi ambao hufika hapo kwa ajili ya ununuzi wa mahitaji yao ya...
  2. mjinga mwerevu

    JamiiForums Tanzania KERO Miundombinu ya soko la Buguruni ni hatari kwa afya ya watumiaji

    Habarini wanajukwaa, leo nmekuja kuwasilisha changamoto na baadhi ya kero katika soko la Buguruni. 1. Soko linamiundo mbinu ya kizamani sana ukilinganisha na idadi ya watu inaowahudumia, ukitazama njia za kupita (kupishana) ndani ya soko kwa sasa ni vichochoro, vizimba vidogo mno kiasi kwamba...
Back
Top Bottom