soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord OSAGYEFO

    Kituo cha Mabasi cha Magufuli kimegeuka soko kwa sababu ya usimamizi mbaya

    Hakika inashangaza na Kusikitisha kabisa. SERIKALI inashindwa kuweka na kusimamia Utaratibu Mzuri wa Uendeshaji wa Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa kumwaachia Wafanyabiashara kutandaza na kupanga bidhaa zao kwenye Corridor na sehemu za kupumzika Abiria. Hivi kusimamia hilo mpaka aje Mzungu...
  2. M

    I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania?

    Habari zenu wakuu, I wish kufungua duka la Paramedical and childcare equipment. Jee soko lipo Tanzania? Naoembeni maoni yenu kuhusu biashara hii?
  3. J

    Sijawahi kuona Soko la mbogamboga linaitwa jina la kiongozi mkubwa hapa duniani isipokuwa Dodoma

    Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini? Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa...
  4. Red Giant

    Mtu binafsi anaweza kumiliki soko?

    Kwa jina la jamhuri, Wakuu hivi kama nina kiwanja naona kimekaa sehemu nzuri naweza kukifanya kiwe soko? Yaani hapo kati nijenge au niwape watu wajenge meza za kuweka mambo ya mbogamboga, nafaka na vyakula vingine halafu pembeni nijenge furemu kuzunguka. Kama tu yalivyo masoko mengi. Hapo...
  5. J

    Dkt. Kimei: Serikali ikakope kwenye soko la nje ili ikamilishe miradi ya kimkakati SGR na Bwawa la umeme

    Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme. Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6% Chanzo: Star tv...
  6. vijola

    Natafuta soko la tangawizi

    Wakubwa shikamoo!!! Kwa wale wadogo hamjambo!!!! Na wale tunaolingana mambo niaje..... Kwanza nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu kwa wingi wa rehema usio na kikomo kwa kutujalia tumeamka salama siku ya leo ....niende kwenye mada moja kwa moja . Mimi najihusisha na shughuli za kilimo cha...
Back
Top Bottom