Sokoni II is an administrative ward in the Arumeru district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,369.
Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa.
"Hili dela ni bei gani?"
"Hivi viatu ni bei gani?"
"Hili gauni ni bei gani?"
"Hii skirt ni bei gani?"
"Hili sofa ni bei gani?"
"Hii TV na Subwoofer ni bei...
Kuna watu wakienda sokoni wanajikuta wananunua bidhaa nyingine (nyingi) ambazo hawakupanga kununua, hayo ni matumizi mabaya ya pesa. Zifuatazo ni kanuni kuu mbili za kwenda kununua bidhaa sokoni.
(1). IFAHAMU VIZURI BIDHAA UNAYOKWENDA KUNUNUA SOKONI:
Usiende sokoni kichwa kichwa, utapigwa...
Wapendwa kwema poleni na majukumu nimeona fulsa kidogo hapa kijijini kwetu.
Kakatika pitapita zangu nimeona fulsa ya ndizi huku kijijini kwetu nimeona zinapatana kwa wingi sana sasa kabla sijaanza kusafilisha nilihitaji kujua bei ya huko sokoni kwenu ikoje nione kama inalipa.
Kama nitapata...
Dar hapa bei ya tango sio poa
Tango 1 linaanzia 1000 kupanda juu
Zamani tulinunua sh 100 tu
Matango Yana kazi nyingine huko Dar
Matango yanaadimika au be mkasi
Matango hayapendwi na watoto na watu wengi
Huwezi kula tango zaidi 1
Kwanini bei iwe kubwa hivi
Namalizia utafiti wangu wa...
Kwanza niwapongeze kwa kufanikiwa kweny manunuzi ya mtandao wa tigo na mkaubadilisha jina kuwa" YAS"
Mahali mnapofeli kwa sasa
1. Mmebweteka saana, kweny promotion mkiendelea kutegemea promo za zamani za tigo na mnachofanya ni kubadili jina tuu la promotion.
2. Kukosekana kwa ubunifu na...
DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni.
Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla.
Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo...
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo.
Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
Infinix smart 8
Imenunuliwa mwezi wa 7 mwaka huu.
RAM 3GB
Storage 64GB
Battery 5000mAh
Bei 220,000/= maongezi kidogo yapo.
Mwenye uhitaji karibu inbox
Asante.
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO:
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni Karume au sehemu yoyote inapofanywa biashara Taikon Master nitakapokuta biashara Ambazo kûna Mwanamke na...
Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa.
Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN DUALIS zinaongoza kwa kuwaka moto.. Hivi mamlaka halilioni hili tatizo? Ama kwa vile nyingi...
Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje.
Wadau mwenye taarifa anijuze
Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara.
Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako.
Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy.
Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product "
Ili kupata uongozi sokoni...
Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji.
Wafanyabiashara wa soko hilo...
Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa kufunga wanabakishwa walinzi kulinda soko ili wezi wasije kuiba mali za wanasoko.
swali la kujiuliza wao...
Hapana shaka afya za wakazi wa Dar es Salaam na Pwani, zipo hatarini. Hii ni kutokana na kuuziwa matunda yanayookotwa katika Dampo hili ambalo wenyeji wa maeneo husika ya Kata ya Vikindu, Mkuranga mkoa wa Pwani, wanaamini mmiliki wa Dampo ni Bakhresa Group. Matunda yanayotupwa hapa, huokotwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.