sokoni

Sokoni II is an administrative ward in the Arumeru district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,369.

View More On Wikipedia.org
  1. mirindimo

    Hata $ ilipanda kama mafuta na haikushuka mpaka kesho! Mafuta sokoni ni 1,375

    Petroli - Bei soko la dunia ni Sh1,375 kwa lita. Gharama ya uagizaji ni Sh.89 kwa lita. Hivyo, gharama mafuta kufika bandari ya DSM ni sh. 1,464. Lakini lita 1 petroli tunanunua sh. 3,600 vituo vya mafuta. Mteja analipa sh. 2,136 tozo za serikali. Tozo ni zaidi ya nusu ya bei ya bidhaa!
  2. B

    SoC02 Kilimo biashara anzia Sokoni

    KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI. Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na ubora upi unahitajika, na nibei gani iliyopo Kwa wakati huo. Haya yote mkulima yanamsaidia kuweza...
  3. mitale na midimu

    Wakristo wa zamani walienda Sokoni kwa sababu walikuwa na Biashara sio Kuhubiri wapate Sadaka

    Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono. Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini. Injili ingekuwa rahisi Sana. Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
  4. Nyamwage

    Mabinti wengi wa sasa hawajui kununua mboga sokoni

    Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli. Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
  5. Artzio

    Naomba kujuzwa bei za kusafirisha mazao

    Bei za kusafirisha mazao kutoka sokoni (mikoani) mpaka sokoni Dar/ Masasi mwezi May 2022 zikoje hapo ulipo
  6. Heci

    Smart Gin inaupiga mwingi, Double Kick iko hoi sokoni

    Hii ni kwa wadau wa pombe za bei chee, nyie wa K Vant, Konyagi, Black and White, Tequila, Sambuca, Johnny Walker ya Pascal Mayalla mtuache kidogo, Watanzania halisi tuna jambo letu. Double Kick ilipoingia sokoni kuchukua nafasi ya viroba chapa jogoo na viroba vya Konyagi, ilipata wateja wengi...
  7. John Haramba

    Baada ya Chelsea kuwekwa sokoni, kocha apata hofu wachezaji kuikimbia klabu

    Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
  8. L

    Vitu vinavyoathiri uwepo wa bidhaa sokoni

    VITU VINAVYO ATHIRI SUPPLY 1. SUBSIDIES and TAXES Subsidies ni ruzuku ambazo hutolewa katika uzalishaji wa bidhaa flani, Taxes ni kodi. Bidhaa ikipewa ruzuku za kutosha na ikaondolewa au kupunguziwa kodi katika uzalishaji wa hio bidhaa basi itazalishwa kwa wingi na kuongeza supply la io...
  9. John Haramba

    Wafanyabiashara wataka uchunguzi kiini moto sokoni, wadai ni njama

    Baadhi ya wafanyabiashara wa Soko la Mbuyuni katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wameiomba serikali kuunda tume ya kuchunguza chanzo cha moto ulioteketeza maduka matatu katika eneo la Stendi ya Mboya, huku wakidai tukio hilo ni njama. Wafanyabiashara hao wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa...
  10. Replica

    Tanzania iliwaza vyema, umeme mkubwa uliopita sokoni umeua watu 26 Kongo

    Nchini Tanzania hairuhusiwi kujenga au kufanya shughuli chini ya miundombinu ya umeme inayobeba umeme mkubwa(High voltage). Wachache wanaelewa lengo, wengine wakijaribu kuishi chini ya njia hizo na mara kadhaa tumeshuhudia bomoa bomoa. Pia TANESCO wakijenga njia mpya wako radhi kulipa fidia...
  11. Last Seen

    Kwanini biashara nyingi za Wasafi/Diamond hazidumu sokoni?

    Mambo vipi wanajamvi? Nimewaza Mara kadhaa kuhusu bidhaa zinazoletwa sokoni na Bwana Chibu Dangote kwa nini hazidumu katika soko? Chibu ni kijana mpambanaji mwenye uchu wa mafanikio makubwa na amethubutu kuwekeza ndani na nje ya Muziki wake, ametoa ajira kwa vijana kadhaa. Lakini swali moja...
  12. ommytk

    Ushauri: Soko la Karume waangalie vibaka wanaojificha kwenye udalali hapo sokoni

    Ushauri kwa uongozi wa soko la ilala karume kuchukua hatua za haraka kuondoa watu wanaojifanya madalali wakiona mteja kukuchukua na kukupeleka kununua kitu yaani kwanza wasumbufu wengine wananuka pombe vibaka tupu waondolewe pale haraka hakuna mtu ujui unaenda kununua kitu gani ukiwa umetoka...
  13. Erythrocyte

    Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  14. GOKILI

    King'amuzi cha digitek kiliondoshwa sokoni?

    Kama uzi unavyojieleza naomba kufahamu juu ya hiki king'amuzi kama kipo sokoni na kama ndio wanatoa huduma za matangazo?
  15. M

    Epuka misongamano nitume sokoni

    Heshima zenu wakubwa Wakati tukiwa tunaendelea kupambana na COVID-19 na magonjwa mengine mengi na tkuiwa tunaepuka kwa kupunguza misongano ,kuvaa barakoa na njia nyinginezo .nimekuja na mbinu mpya ya kuwa saidia wahitaji wa vitu viuzwavyo masokoni na magengeni kwa kuweka order online na mimi...
  16. Balqior

    Maji ya chupa ya Kilimanjaro yameanza kupotea sokoni Dar

    Hill Water ndiyo yanaongoza kwa kuuzika huku Dar, yakifatiwa na Afya, Masafi etc. Maji ya Kilimanjaro yapo kwa uchache sana Madukani, sijui Bonite hawana stock ya maji au watu hawayanunui tena.
  17. BAK

    Siku saba za uchunguzi wa moto sokoni Kariakoo zinaanza kuhesabiwa lini?

  18. mbongowakweli

    Plot4Sale Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju 'B' Sokoni 80m/=

    Nyumba na kiwanja vyauzwa Bunju B Sokoni 80m/=. Kina title deed, 890 Square Meters, master, vyumba 3 vya kwaida, public toilet, garage, karibu na soko na barabara kuu ya Bagamoyo. Bunju Mzee Jaros 0754826668 0712168055
  19. SIR.NOM

    Vitunguu vinauzwa shilingi ngapi kwa sasa kwa eneo ulilopo?

    Habari wadau. Tujuzane mkoa ulipo bei ya Kitunguu maji ni sh.ngapi kwa sasa?
  20. M

    Computer4Sale Computer, Laptop na Printer ndogo sokoni

    Printer ni HP Laptop ni samsung Computer ni ONDA Bidhaa zote zilikuwa zinatumika ofisini Bei laki 7 fixed for all Location Dar es salaam Communication 0625825641
Back
Top Bottom