Sokoni II is an administrative ward in the Arumeru district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,369.
UTATOFAUTISHAJE ASALI MBICHI NA ILIYOCHEMSHWA?
Unaponunua asali, ni muhimu kutofautisha asali mbichi na iliyochemshwa. Kwa tulio wengi, hii ni kazi ngumu. Hivyo tunasikiliza analosema muuzaji. Hakika hii si njia sahihi ya kujihakikishia ubora na usalama wa bidhaa muhimu ya chakula.
Wamasai...
Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14.
Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa.
Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
Upungufu wa dola ya Marekani katika maeneo mbalimbali unaanzisha mnyukano wa sarafu ya akiba kati ya dola na yuan. Pesa ya Yuan ya China ambayo ilikuwa inafanya kazi katika soko la biashara kati ya China, Australia na Japan sasa inakwenda kupanua wigo wake katika nchi za kiafrika na nchi...
Hili dude nilikuwa naweza kupikia kila kitu kasoro UGALI TU. KWA SABABU UGALI unahusisha kusonga. Wakati niko single.
Lipo sokoni kwa sasa sina matumizi nalo... NIMEOA. VERY STRONG.
BEI KITONGA CHA 30,000/- Nipo Tegeta Wazo Hill...mawasiliano njoo PM nikuletee.
Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi.
Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka.
Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni...
Simu mpya toleo la POP 7 imeweka rekodi ya mauzo baada ya kuuzika simu zaidi ya 5000 ndani ya muda wa mwezi mmoja kwanzia ilivyo ingia sokoni. Hii inaonesha jinsi gani mapokezi ya toleo hili la POP 7 yamekuwa ya kishindo kikubwa. Toleo la POP 7 limeundwa kwa ajili ya wapambanaji wote wanao amini...
Ni Kinywaji ambacho hakiishii tu kuwa Kitamu Ulimini na Kooni bali pia huchoki hata Kukinunua na Kunywa mara kwa mara.
Hakika Kinywaji kipya cha SUPA COMANDO kinachotengenezwa na Kampuni ya Pepsi (SBC) ndiyo Habari ya Mjini kwa sasa.
Na walipomaliza kabisa Mchezo hawajaishia tu Kututengenezea...
Niende moja kwa moja.
Nimeingia sokoni, nikaona siwezi kufika kwangu na mizigo, acha leo nijisitiri vyoo vya kulipia Tegeta looh salaleee!
Ni Muda huu nahisi leo sitakula, nimekata tamaa kabisa. Ndani ya vyoo hivi unatoka na ugonjwa. Jamaniee sikushauri ukaangalie, panatia huruma. Nzi, kinyesi...
Linapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei.
Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza.
Toyota Innova Hycross: ukipenda...
Inadaiwa kuwa wamiliki hao wanaweza kuiuza klabu hiyo kwa Pauni Bilioni 5 hadi 9 (Tsh. Trilioni 14 hadi 25).
Tayari kampuni kadhaa zimeshateuliwa kufuatilia mchakato huo na kutathimini hali ya soko lilivyo.
Familia hiyo iliinunua United mwaka 2005 lakini imekuwa ikipigiwa kelele na makundi...
✍🏾Kwa jina Naitwa CECE motors. Najishughulisha na Uagizaji wa Magari mapya aina zote na nchi tofauti tofauti kama Japan,UK,Dubai, Singapore, e.t.c
👉🏼Pia Nafanya Clearing and Forward Agent Kwa Mizigo yoyote uliyoagiza/Utakayoagiza kama vile Magari,Makontena, E.t.c
👉🏼 Bila kusahau tunatoa Mikopo...
Leo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya nyanya na mishikaki iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo bilionea Joseph Mbilinyi ambaye pia anafahamika kama Sugu au Real Jongwe kama anavyofahamika siku hizi, ama waweza kumtambua kama mfungwa wa kisiasa.
Kama masihara tu...
Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022
Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya...
Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao hawajui hata taaluma ya uandishi ni kitu gani, hopeless creatures
Kwa sasa PESA ZA MWARABU...
Nina eneo kubwa nataka kulima maharage.
Naomba kujua ni aina gani ya maharage inapendwa sana sokoni na bei yake imechangamka sokoni.
Ukinipa na mbegu inakopatikana itapendeza. Eneo heka 2
Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk.
Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili.
Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.