somalia

  1. Vita baridi kati ya Kenya na Somalia

    Hii article inaelezea vizuri chanzo cha vita baridi kati ya Kenya na Somalia. Inatoa information nyingi ambayo sikuwa najua kuhusu Somalian politics. Inasema kuwa mawaziri na wanasiasa wa Somalia huwa wanapenda kuja na kujivinjari Nairobi. Wanaishi kwenye mahoteli kubwa kubwa. Wanapenda kuja...
  2. Kenya Somalia maritime dispute

  3. Somalia Yapiga Marufukuu Miruungi Kutoka Kenya

    Hali ya wakulima Miraa nchini Kenya imekuwa ngumu sana baada serikali ya Somalia kupiga marufuku miraa kutoka Kenya. Kwasasa Somalia imeruhusu miraa kutoka Ethiopia kuingia nchini humo. Zao la miraa hupatia Kenya mamilioni fedha za kigeni. Marufuku hii imefuata baada ya serikali ya Kenya kupiga...
  4. Inside Kenya's Tiff With Somalia and Tanzania

    Kenya’s persistent trade tiffs with neighbours may be a result of dynamics beyond the region, which could require political solutions. Two of Kenya’s neighbours, Somalia and Tanzania, have recently stalled business ventures for Kenyans over alleged bad policy by Nairobi. Tanzania cancelled...
  5. Maharamia wa Somalia waiteka meli yenye bendera ya Panama

    Maharamia wa Somalia wameiteka meli ya yenye bendera ya Panama-iliyokua ikisafiri kutoka Muungano wa Kiarabu ikielekea kwenye bandari mjini Mogadishu. Meli hiyo ilishambuliwa usiku wakati wahudumu wake walipokua wamelala. Shirika la habari la Anadolu limewanukuu maafisa wa jimbo lililojitenga...
  6. Shambulio la Mogadishu: Vikosi vya Somalia vyazima shambulio baya katika Elite Hotel

    Vikosi maalumu vya Somalia vinasema vimemaliza uvamizi Somali uliofanywa katika hoteli iliyopo katika mji mkuu Mogadishu ambayo ilivamiwa na wananamgambo wa al-Shabab Takriban watu 10 wameripotiwa kuuawa katika hoteli ya - Elite Hotel iliyopo katika eneo la ufukwe wa Lido, pamoja na wanamgambo...
  7. Ndege ya Kenya yazuiwa kuingia Somalia

    Miraa traders are up in arms after another plane ferrying 11 tonnes of the produce to Puntland in Somalia was turned back for allegedly violating Covid-19 restrictions. This is the second plane to be ordered back to Kenya by Mogadishu in a month. One ferrying 13 tonnes was denied entry early...
  8. Another Kenya's plane crash in Somalia

    Kenyan Owned Plane Crash-lands In Bardere Somalia [Photos] ShareTweetGoogleWhatsappLinkedin A Kenyan owned Fokker 50 registration 5Y WFC that crash landed in Somalia on Sunday morning A Kenyan owned Fokker 50 registration 5Y WFC crash-landed in Bardere, Somalia on Sunday morning Kahawa...
  9. Apparently COW Ethiopia's Army has tried to shoot down another Kenyan aircraft in Somalia

    Ethiopian Troops In Somalia Shoot At Another Kenyan Plane Another Kenyan plane was shot at today allegedly by Ethiopian troops in Qansahdere, Bay Region in Somalia, sources have told Kahawa Tungu. The plane was carrying humanitarian aid when it caught fire mid-air after the shooting. Photos...
  10. Rais Kenyatta atoa onyo kwa Somalia, ataka nchi hiyo kuacha kuichokoza Kenya

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ameionya serikali ya Somalia kuacha uchokozi wa mara kwa mara dhidi ya Kenya. Onyo lake linajiri siku moja baada ya wakazi wa Mandera kulazimishwa kutoroka makazi yao baada ya ghasia zilizozuka kati ya wanajeshi wa Somalia dhidi ya wanajeshi wa eneo la Jubaland...
  11. Watu wawili kati ya watatu waliombaka msichana Somalia wauawa

    Watu wawili waliopatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12 mwezi Februari mwaka jana wameuawa katika mji wa mashariki mwa Somalia wa Bosaso. Mtu wa tatu bado anachunguzwa ingawa mahakama ilimuhukumu kifo pia. Abdifatah Abdirahman Warsame na Abdishakur Mohamed walipigwa risasi...
  12. Nzige watangazwa kuwa janga la kitaifa Somalia

    Nchi ya Somalia imetangaza uvamizi wa nzige katika maeneo mbalimbai ya nchi hiyo kama janga la kitaifa huku Wizara ya Kilimo, ikisema kuwa hatua hii imefikiwa baada ya wadudu hao kuendelea kuharibu mimea na sasa hali ii inatishia kuwepo kwa uhaha wa chakula nchini humo. Kuna wasiwasi kuwa...
  13. FAO: Tusipowadhibiti nzige wanaoikabili Ethiopia, Kenya na Somalia watasambaa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limeonya kwamba nzige walioivamia Ethiopia, Kenya na Somalia sasa ni wimbi kubwa kuwahi kushuhudiwa hivi karibuni na lisipodhibitiwa kuna uwezekano wa kusambaa katika nchi nyingine za Afrika Mashariki. Wimbi kubwa la nzige walionekana...
  14. Kismayo Somalia, Asante KDF!

    Kuna mwengi ambayo miji miengine ya Kusini na kati ya Somalia yanaweza yakajifunza kutokana na maendele ya mji mkuu wa Kismayu ambao ndo mji wa Mkubwa Somalia baada ya Mogadishu. Wakati miji miengine ya Somalia ikiwemo Mogadishu inakumbwa na mashambulizi makubwa mara kwa mara, Kwa miaka saba...
  15. Mwanaharakati wa haki za binadamu Almaas Elman auawa Somalia

    Mwanaharakati maarufu wa mashirika ya kiraia Almaas Elman ameuawa kwa kupigwa risasi Jumatano, Novemba 20, wakati alikuwa akijiandaa kusafri kwa ndege kwenda mji mkuu wa Kenya, Nairobi ambako anaishi. Almaas Elman ameuawa wakati alikuwa akisafiri kwa gari katika eneo salama karibu...
  16. Kenya na Somalia zabadilishana watuhumiwa ugaidi

    Polisi wa Somalia wamewakabidhi watuhumiwa wawili wa ugaidi wa Kundi la Al-Shabaab kwa polisi wa Kenya, ikiwa ni sehemu ya juhudi za pamoja za kuzuia mashambulizi ya kuvuka mipaka. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kaskazini mashariki nchini Kenya Paul Soi amesema, watu hao wawili wanaaminika...
  17. Al Shabaab katika mafunzo na mahafali yao huko Somalia

    Al Shabaab maana yake ni vijana wa kiume likiwa ni zao la Al Qaeda sasa hapa utaona jinsi wanavyofunzwa kambini na wanavyotawala. Pia utamsikia msemaji wao. Kwa kweli jamaa wanafanyiwa brainwashing mbaya sana na radicalization ya hali ya juu. BEWARE GUYS.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…