somalia

  1. JanguKamaJangu

    Somalia: Al Shabaab yashambulia kambi ya wanajeshi wa AU

    Kundi la Al Shabaab la Somalia limeshambulia kambi ya wanajeshi wa Umoja wa Afrika (AU) katika Mkoa wa Shabelle katikati mwa nchi hiyo, ikidaiwa raia watatu wamepoteza maisha katika mapigano hayo. Mkazi mmoja anayeishi katika kijiji kilicho karibu na eneo la tukio, alisema baadaye aliona...
  2. BigTall

    Mvutano kati ya wanajeshi na Polisi waongezeka Somalia

    Wabunge wa Somalia wamemchagua spika mpya leo Alhamisi Aprili 28, 2022 huku kukiwepo hali ya mivutano kati ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika AU dhidi ya Polisi. Mivutano hiyo inadhihirisha mpasuko uliopo katika vyombo vya usalama vya Somalia, kutokana na kucheleweshwa kwa...
  3. JanguKamaJangu

    Somalia: Watu 6 wauawa kwa mlipuko katika mgahawa Mogadishu

    Watu sita wameuawa katika mlipuko uliotokea katika mgahawa Jijini Mogadishu ambao ulikuwa ukitumiwa na askari Polisi na Wabunge, Ijumaa Aprili 22, 2022 “Watu wengine saba wamejeruhiwa kutokana na mlipuo huo,” amesema Abdikadir Abdirahman, Mkuu wa Gari la Wagonjwa. Aidha, mteja aliyekuwa eneo...
  4. Analogia Malenga

    Wanamgambo wa Somalia wamuua mbunge wa kike katika shambulio la bomu la kujitoa mhanga

    Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia. Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji". Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
  5. Scars

    Mechi ya kirafiki | Yanga 1 - 1 Somalia

    Mechi ni saa 1 usiku
  6. mpiga vichwa

    Yanga kucheza na timu ya taifa ya Somalia

    Baada ya kuchapwa na Rivers utd ya Nigeria nyumbani na ugenini kwa jumla ya magoli 2 ,0 na kuondoshwa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika miezi kadhaa iliyopita, kesho tarehe 12/3/2022 timu ya Yanga itashuka uwanja wa Azam complex huko chamazi kucheza na timu ngumu kabisa ya taifa ya...
  7. John Haramba

    Al-Shabab washambulia vituo vya Polisi Somalia, wasababisha vifo

    Wanamgambo wa Al-Shabab wameshambulia vituo vya polisi na vituo vya ukaguzi katika Mji Mkuu wa Somalia, Mogadishu, mapema leo Jumatano Februari 16, 2022. Imeelezwa kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine 16 wamejeruhiwa. Televisheni ya taifa imeripoti kuwa watu watano wamefariki katika...
  8. Suley2019

    Marekani yatangaza vikwazo vya viza dhidi ya Maofisa wa Somalia

    Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu. Katika taarifa...
  9. beth

    Watu Milioni 13 wakabiliwa na njaa Kenya, Somalia na Ethiopia

    Ukame mbaya unaotokana na msimu wa mvua kwenda tofauti na matarajio kwa miaka mitatu mfululizo umepelekea mazao kuharibiwa, mifugo kufa na watu wapatao Milioni 13 katika Mataifa ya Kenya, Ethiopia na Somalia kukumbwa na njaa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula (WFP) linasema...
  10. Miss Zomboko

    Viongozi wa Somalia wakubaliana kuhusu Uchaguzi wa Bunge

    Viongozi wa kisiasa wa Somalia Jumapili wamesema kwamba wamefikia makubaliano ya kukamilisha uchaguzi wa bunge kufikia Februari 25 baada ya kucheleshwa kwa muda na kutishia udhabiti wa taifa hilo lililotatizika kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, hatua hiyo imefikiwa baada...
  11. beth

    Somalia: Jumuiya za Kimataifa zaingilia mvutano kati ya Rais na Waziri Mkuu

    Umoja wa Mataifa (UN) na Nchi nyingine zinafanya mazungumzo na Rais wa Nchi hiyo pamoja na Waziri Mkuu kusuluhisha mvutano uliopo ambao unaibua hofu ya kutokea mapigano ya Kijeshi Mapema wiki hii Rais Mohamed Abdullahi Mohamed alimsimamisha kazi Waziri Mohammed Hussein Roble kufuatia tuhuma za...
  12. beth

    Ufisadi: Rais wa Somalia asimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa Bunge Rais Mohamed amesema amechukua uamuzi huo kufuatia Uchunguzi wa tuhuma za Waziri huyo kujipatia...
  13. beth

    Somalia yatangaza hali ya dharura kutokana na ukame

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga. Ukame mbaya umeripotiwa sehemu kadhaa Nchini Somalia, na vifo vya watu panoja na mifugo vimeripotiwa. Takriban Raia Milioni 3.5 tayari...
  14. beth

    Mamilioni wakabiliwa na uhaba wa chakula nchini Somalia

    Zaidi ya watu Milioni 2 Nchini Somalia wanakabiliwa na uhaba wa Chakula na Maji kutokana na hali mbaya ya ukame, ikielezwa Vyanzo vya Maji vinakauka. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) takriban watu 100,000 wamekimbia makazi yao kutafuta Chakula, Maji na malisho kwa ajili ya mifugo yao. UN...
  15. Miss Zomboko

    Wanajeshi wawili wa Uganda wahukumiwa kifo Somalia

    Wanajeshi watano wa Uganda wanaofanya kazi na vikosi vya Umoja wa Afrika nchini Somalia wamekutwa na hatia ya kuwaua raia saba nchini humo. Wawili kati ya wanajeshi hao wamehukumiwa kifo, huku wengine watatu wamehukumiwa kifungo cha miaka 39 gerezani kila mmoja. Wanajeshi hao watatu...
  16. Analogia Malenga

    Somalia yamfukuza Naibu Mwakilishi wa Tume ya Umoja wa Afrika

    Simon Mulungo anayeiwakilisha Tume ya Umoja Afrika nchini #Somalia amepewa siku saba awe ameondoka nchini humo Simon amelaumiwa kujihusisha na vitendo ambavyo haviendani na Mipango ya Kiusalama ya Somalia Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia imetoa tamko hilo Novemba 4, 2021 ====...
  17. Ileje

    Somo gani tunajifunza Watanzania kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia

    Watanzania tuna jambo la kujifunza na kuchukua hatua sahihi hivi sasa kutokana na mgogoro wa mpaka wa baharini baina ya Kenya na Somalia. Tusijifanye vipofu hatuoni ukweli uliopo. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliopo hivi sasa ni wa muda tu kama katiba ya Serikali ya Muungano haitafanyiwa...
  18. beth

    ICJ yaiunga mkono Somalia katika mzozo na Kenya

    Uamuzi huo wa Jumanne unafungamanisha kisheria, inagwa mahakala hiyo ya Umoja wa Mataifa haina mamlaka ya utekelezaji. Jopo la majaji 15 likiongozwa na jaji wa Marekani Joan Donoghue lilitoa uamuzi huo katika Peace Palace iliyoko Hague. Kenya ilikuwa inataka, mpaka huo usalie jinsi ulivyo...
  19. T

    Kesi ya Kenya na Somalia huko ICJ; tuna lolote kujifunza kati yetu na Malawi?

    Kuna usemi unasema mwenzio akinyolewa zako tia maji. Kutokana na mwenendo wa kesi za kimataifa kuhusiana na mipaka inaonyesha mahakama na hata jumuiya ya kimataifa haina nguvu sana ya kulazimisha uamuzi wa mahakama. Nilichojifunza ni kwamba kwenye mivutano yetu ya mipaka kinachoweza kukusaidia...
  20. Tony254

    Kuhusu Kesi ya ICJ. Hawa Somalia kama wanatafuta kichapo kutoka Kenya basi watakipata tu

    Kenya imechoka kubembeleza punda kwenye mteremko. Hawa Shabab wamekimbia kwenye mahakama ya kimataifa eti kujaribu kunyakua mipaka ya Kenya. Lakini Kenya imeshasema haitambui judgement itakayotolewa na mahakama ya ICJ. Kenya itaendelea kulinda mipaka yake kama kawaida.
Back
Top Bottom