somalia

  1. 010101

    Somalia wapiga marufuku Sambusa

    Al Shabab wamepiga marufuku kutengeneza na kula sambusa - Somalia. Hii ni kutokana ina shape ya pembe tatu, yaani ni kiwakilishi cha Ukristo (Utatu Mtakatifu/Trinity) Hichi kitu kimenishangaza kwa nini kisibadilishwe umbo la duara au mstatili, badala ya kuwanyima watu kitafunwa wanachokipenda...
  2. JanguKamaJangu

    Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

    Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika. Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo watu wengi wamejeruhiwa pia. Al-Shabab wamekuwa wakitajwa kuhusika katika matukio mengi ya aina...
  3. MK254

    Al Shabaab walipua mabomu Somalia na kuua 19 na kujeruhi 52

    Al Shabaab wamelipua mabomu Somalia hakukaliki. Nineteen people have been killed in twin car bombings in central Somalia claimed by Al-Shabaab, a local militia commander in the Hiran region said. Two cars packed with explosives were simultaneously detonated in Mahas, a town in Hiran where a...
  4. JanguKamaJangu

    Mwanajeshi wa Uganda awaua wenzake watatu Nchini Somalia

    Tukio hilo limehusisha Mwanajeshi wa Uganda walio Mogadishu chini ya Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika ambapo tukio ufyatuaji risasi ulitokea makao makuu ya kikosi cha jeshi la Uganda. Inaelezwa mtuhumiwa alivamia na kumpiga risasi mwanajeshi wa kwanza kifuani, hiyo ikasababisha taharuki...
  5. MK254

    Al Shabaab wauana wenyewe ndani kwa ndani kule Somalia

    Al Shabaab) waanza kupigana wao kwa wao hii ni baada ya tofauti kuibuka kati yao, kuna baadhi ambao walitaka kujisalimisha kwa serikali, ila wengine wakagoma na kuapa kuendelea kumpigania "mungu" wao. The Federal government of Somalia has issued a statement announcing fresh fighting in the...
  6. MK254

    Rais wa Somalia apata Ph.D ya ilmu ya dunia, raia wake wamuige ili pawe na amani pale

    Elimu ni kitu cha maana sana.... Somalia’s President Dr. Hassan Sheikh Mohamud has joined the club of Africa’s most educated presidents after attaining a Ph.D. in peace studies. Other presidents in Africa are William Ruto of Kenya, Alassane Ouattara of Ivory Coast, Moeketsi Majoro of Lesotho...
  7. JanguKamaJangu

    Somalia: Al-Shabab wavamia hoteli iliyo karibu na Ikulu ya Mogadishu

    Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini. Inadaiwa kuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Mohamed Ahmed naye amenusurika, ambapo Al-Shabab wamekiri kuhusika na uvamizi huo...
  8. JF Member

    Video: Ukame waleta balaa Kenya na Somalia, mifugo inapukutika

    Hii vedio inajieleza. Tutunze mazingira. Selikali simamieni hili.
  9. BARD AI

    Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  10. MK254

    Wafia dini wanne wajilipua mabomu Somalia na kuua watu tisa akiwemo mwanafunzi

    Hawa jamaa wa alshabaab ambao humpigania na kumlinda "mungu" na uislamu wamejilipua mabomu na kuua tisa akiwemo mwanafunzi kule Somalia.... Nine people were killed and 47 wounded Sunday in an attack on a hotel in Kismayo, southern Somalia, claimed by the Al-Shabaab Islamist group, the region's...
  11. I

    Kiongozi wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab auawa na majeshi ya Marekani nchini Somalia

    Majeshi ya Marekani yamefanikiwa kumuua kiongozi muhimu wa kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab nchini Somalia. Kikundi hicho cha kigaidi kina mafungamano na kikundi cha kigaidi cha Al Qaeda ambaye kiongozi wake mkuu Bw. Osama bin Laden naye aliuawa nchini Pakistan na vikosi vya vya jeshi maalumu...
  12. Mganguzi

    Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  13. Messenger RNA

    Somalia kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki

    Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo. Stay tuned.
  14. S

    Kenya fails to strike oil in area claimed by Somalia

    Kenya has failed to strike oil and gas deposits in the coastal strip that has for years been at the centre of an international border dispute with neighbouring Somalia. Seismic surveys at Mlima-1 well, which is known as Block L11B in the Lamu Basin, revealed that the wells were dry, ending a...
  15. geofreyngaga

    Kwa kinachoendelea Somalia, Je imesahaulika?

    Kwa kile kinachoendelea Somalia sioni jitihada za wazi na makusudi za kuwasaidia awa wa-afrika wenzetu. Hata kama sababu ni maisha magumu yaliyo sababishwa na covidi, mafuta kupanda bei na vita vya Ukraine lkn kama binadamu Somalia sio wakuachwa wafe njaa. Nakubali misaada ipo lkn si kwa...
  16. MK254

    Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

    Jamaa wana uzombi sana....roho ngumu yaani. Al-Shabaab militants have claimed responsibility for two suicide car bombings targeting the Lamagalaay area of Beledweyne, Hiran Region, Oct. 3. The blast killed at least nine people, including senior government officials. Heightened security...
  17. JanguKamaJangu

    Somalia: Mwanajeshi auawa katika bomu la kujitoa mhanga

    Wanajeshi wengine 6 wamejeruhiwa katika tukio hilo baada ya mwanajeshi mmoja kujilipua katika kambi ya jeshi Magharibu mwa mji wa Mogadishu. Kundi Al Shabaab lenye uhusiano na Al Qaeda linadaiwa kuhusika katika shambulizi hilo. Muuguzi wa hospitali ya Madina amesema wamepokea mwili mmoja na...
  18. JanguKamaJangu

    Somalia: Watoto 730 wafariki katika Vituo vya Lishe Januari - Julai 2022

    Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri. Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto na Wanawake (UNICEF) zimeeleza hivyo ikiwa ni baada...
  19. JanguKamaJangu

    Wanamgambo wa Al Shabaab waua raia 21 wa Somalia

    Wanamgambo wa Al-Shabaab wametajwa kuhusika katika vifo vya Watu 21 na kuharibu magari yaliyokuwa yamebeba chakula cha msaada katika shambulizi Mkoani Hiran Nchini Somalia. Magari yalikuwa yakisafirisha chakula kutoka Jiji la Baladweyne kwenda Mji wa Mahas ambapo awali mashambuliazi yao yaliua...
  20. mapesa yamejaa

    Hali ilivyo nchini Somalia

    Mwezi March nilienda nchini Somalia kikazi chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa liitwalo Internation Organization for Migration. Ili kufupisha maada. Nilichokishuhudia huko nchini Somalia kilinishangaza sana nikilinganisha na hali ya nyumbani Tanzania. Yaani Somalia ukiondoa ile hofu ya...
Back
Top Bottom