Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi.
Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi.
Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata majeraha wakati wa shambulio la Jumamosi alifariki alipowasili UAE.
Maafisa wa Imarati walisema...
Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana.
Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi ukilenga nini haswa.
===========
Several blasts at a popular open-air market in Somalia's capital...
Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa....
Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast
The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia.
Kituo cha Habari cha Somali National News Agency (SONNA) kimeeleza Ndege hiyo ilitua Mji wa Galmudug na mazungumzo...
MV Lila Folk nusura ichukuliwe na wanamgambo wanaodhaniwa wa Somalia.Wanamaji wa India walipata mwito wa shida baharini kutoka meli hiyo na haraka kwenda kuiokoa.
Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia na ilikuwa iko masafa ya 460 nautical miles kutoka Somalia katikati ya bahari ya...
Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland..............
Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial...
Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye.
Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii.
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa.
Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
Associated Press
Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza.
Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC.
Kesi mahakamani...
Wanao fund al shabab ni Saudi Arabia, anaye bomb kuuwa na kutesa watu wasio na hatia Yemeni ambao > 98% ni Waislamu ni Saudi Arabia, Somalia na Yemeni wana one thing in common, mafuta, oil rich Arab Countries hawataki Somalia ichimbe mafuta yao kwa maana ni competitor wamemeamua ku destroy...
Mwaka 2018, Somalia ilipiga marufuku kampuni ya bandari ya Dubai DP World kufanya kazi nchini Somalia, ikisema kuwa mkataba ambao kampuni hiyo ilitia saini mwaka 2017 na eneo lililojitenga la Somaliland ili kuendeleza eneo la kiuchumi ni batili na hautekelezeki
Bila kueleza kwa undani, Bunge la...
Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini
Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan
Wakiachiwa hivi wataibadilisha hiyo nchi na kuwa kama Somalia, na hawatakawia kujilipua kwa mobomu hawa...
Wamewahishwa kuleeee.
=========
The Somali National Army (SNA) says it has killed dozens of Al-Shabaab fighters in a morale boost against the militant group.
Haradhere District Commissioner Mohamed Yusuf Kulmiye said that the SNA had received information about the movement of Al-Shabaab...
Wanajiolojia wamethibitisha kuwa bahari mpya inaundwa barani Afrika ambayo italigawa bara hilo nusu.
Inasemwa kuwa ufa wenye urefu wa maili 35 ulionekana katika jangwa la Ethiopia eneo la Afar mwaka 2005 na pengine ni mwanzo wa bahari mpya kabisa.
Ukurasa wa The Archeologist umeandika kuwa...
Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi.
Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini.
=======
US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
Serikali ya #Marekani imesema Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua #BilalalSudani ambaye ni kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na viongozi wengine waandamizi 10 katika shambulio la kushtukiza.
Waziri wa Ulinzi, #LloydAustin amesema Januari 25, 2023 Rais Joe Biden alitoa agizo kwa Jeshi baada ya...
Sekretarieti ya EAC imetuma Timu yake ya Wataalamu kwenda Somalia kukutana na maafisa wa Serikali ili kufanya uhakiki wa utayari wa maombi ya kujiunga na Jumuiya.
Katibu Mkuu wa EAC, Dkt. Peter Mathuki amesema "Baada ya Timu ya Jumuiya kukutana Somalia, wataandaa ripoti na kuipeleka Baraza...
Magaidi wa alshabaab ambao hufanya maukatili kwa imani za kidini walipua mabomu na kuua nane.....
Police said today that eight people were killed in a roadside bombing claimed by al-Shabaab in central Somalia where a major offensive is underway to retake territory from the jihadists.
The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.