somalia

  1. JanguKamaJangu

    Baada ya mauaji ya watu 21, Rais wa Somalia aapa kulitokomeza kundi la Al Shabab

    Baada ya shambulizi la risasi na mabomu lililoua Watu 21 na kujeruhi 117 katika hoteli Nchini Somalia, Rais wa taifa hilo, Hassan Sheikh Mohamud ameahidi vita kali ya kutokomeza aliouita ugaidi wa Kundi la Al Shabab. “Ninajua Wananchi wa Somalia wamechoshwa na rambirambi na maombolezo...
  2. BARD AI

    Al-Shabaab wateka Hotel na kuua watu 12 Somalia

    Maafisa wa Usalama wamesema takriban watu 12 wameuawa baada ya kundi la Al-Shabaab lenye uhusiano na wanamgambo wa Al Qaeda kuzingira na kushambulia Hoteli ya Hayat iliyopo Mji Mkuu wa Mogadishu. Imeelezwa kuwa Al Shabaab imekuwa ikipigania kuiangusha serikali ya Somalia kwa zaidi ya miaka 10...
  3. V

    Wakristo wa Somalia na Zanzibar hupata changamoto kubwa ya kisaikolojia ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Ukifuatilia wakrsto wachache wanaoishi somalia ni kama wapo kifungoni hawana amani wameathirika kisaikolojia kutokana na uchache wao ambao ni chini ya asilimia 5 wengi wao wanasali nyumbani kuepusha kulipuliwa wakiwa kwenye nyumba za ibada wanalazimishwa kwa makusudi na dola na umma kuwa...
  4. Miss Zomboko

    UNHCR: Watu milioni moja wameachwa bila makao Somalia kutokana na ukame

    Umoja wa Mataifa unasema ukame wa kihistoria nchini Somalia umepelekea watu milioni moja kuyakimbia makaazi yao sasa na kuiacha nchi hiyo ikikabiliwa na baa la njaa. Shirika la Umoja wa Mataifa linalowashughulikia wakimbizi UNHCR linasema, zaidi ya watu 755,000 wameyakimbia makaazi yao ila...
  5. Miss Zomboko

    Somalia: Mabomu yarushwa karibu na Ikulu ya Rais

    Vitongoji vya makaazi karibu na Ikulu ya Rais wa Somalia mjini Mogadishu vimeshambuliwa kwa mabomu leo, muda mfupi baada ya Bunge la nchi hiyo kuidhinisha Baraza la Mawaziri lenye wajumbe 75 lililoteuliwa hivi karibuni chini ya Waziri Mkuu Hamza Abdi Barre. Mamlaka zimesema hakuna majuruhi...
  6. 44mg44

    Mechi ya marudiano kati ya Tanzania na Somalia ni lini?

    Wakuu mweny taarifa naomba anipatie,nijiandae nkashuhudie mtanange,maana watanzania tuna bado tunamatumain ya kufuzu. Kufunga sku ile imetupa Iman kubwa na Tim yetu,mpaka Sasa tuna 80% za kufuzu,Uganda tutamshnda Wala msihofu
  7. MK254

    Mpiganaji wa kidini ajilipua Somalia na kuua watu 11

    Jamaa kaamua kulipuka tu hamna namna...isiwe tabu..kimsingi afe nao District Commissioner Abdillahi Ali Waafow was among those killed in Wednesday's attack, the secretary-general of the Marka town administration in the Lower Shabelle region, Mohamed Osmaan Yariisoow, told The Associated Press...
  8. Moshi25

    Taifa Stars ikisheheni nyota wa Yanga yaibamiza Somalia

    Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal wakiharakisha mashambulizi mwanzo mwisho ukuta wa Mwamnyeto, Job, Kibwana na Msheri ukiwazuia Somalia kwa...
  9. JanguKamaJangu

    Tanzania yaichapa Somalia 1-0 mechi ya kwanza kufuzu CHAN 2023

    Timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Somalia katika mchezo wa kuwania Kufuzu Kombe la Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN 2023) kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, leo Julai 23, 2022. Goli limefungwa na Abdul Hamis Sopu dakika ya 47, ukiwa...
  10. Roving Journalist

    Ndege ya abiria yaanguka uwanja wa ndege Somalia, abiria waokolewa

    Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Jubba imeanguka wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Aden Adde Jijini Mogadishu Nchini Somalia huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakiajulikana. Baada ya ndege hiyo kugeuka chini juu, idara ya usalama waliwahi eneo la tukio na kuokoa watu 36...
  11. Tony254

    Uhusiano mzuri kati ya Kenya na Somalia umerudi

    Uhusiano mwema kati ya Kenya na Somalia umerudi. Kenya sasa itaruhusiwa kuexport miraa kelekea Somalia. KQ pia itaruhusiwa kuoperate Nairobi-Mogadishu route. ====== Somalia has allowed the resumption of miraa exports from Kenya and permitted Kenya Airways to start scheduled flights to...
  12. P

    Tofauti ya maisha kati ya Tanzania na Somalia ni vita, ila ugumu wa maisha huwenda ikawa bora zaidi kule Somalia

    Tuna amani, sawa..! Ila cha moto tunakipata Kwamba 10,000 inaishia kwenye lita moja tuu ya mafuta ya kupikia na tena ni ya kupima yenye viwango vya chini kabisa cha uzalishaji Kwamba ukiwa na 20,000 unarudishiwa 10,00 tu kwenye kilo kumi za sembe ambapo mahindi tunalima wenyewe Kwamba ukiwa...
  13. JanguKamaJangu

    Wanamgambo 67 wa Al-Shabaab wauawa Somalia

    Imeelezwa Wanamkambo 67 wa Al-Shabaab wameuawa katika mapigano katika Mji wa Galgaduud Nchini Somalia dhidi ya Wanajeshi wa Somalia. Waziri wa Habari wa Jimbo la Galgaduud, Ahmed Shire amesema katika mapigano hayo Wanajeshi walimkamata mshambuliaji wa kujitoa mhanga ambaye alikuwa akipanga...
  14. M

    Picha: Uwekaji alama Loliondo, mitutu ya bunduki kama Mogadishu Somalia

  15. Lady Whistledown

    Takriban watu 250,000 wakabiliwa na baa la njaa Somalia

    Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, nchi hiyo inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kushuhudiwa ndani ya miaka 40, uliosababishwa na mvua kutokunyesha kwa misimu 4 huku bei ya chakula katika soko la dunia ikizidi kuwa juu Ripoti za mashirika ya kibinadamu FAO, WFP na UNICEF zinasema kuwa, karibu...
  16. L

    Mjumbe wa China atoa mwito wa kuboresha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Dai Bing jana alitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuimarisha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia wakati nchi hiyo ikifanikisha uchaguzi wa rais na wabunge. Bw. Dai Bing amesema China inatarajia kuwa Somalia...
  17. Lady Whistledown

    Rais Biden aidhinisha majeshi ya Marekani kurejea Somalia

    Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko. Kabla ya Trump...
  18. Kijakazi

    Somali Bantus walikataliwa Somalia, UN waliomba warudishwe kwao Tanzania

    Somalia kuna Wabantu ambao walifika huko wengi kwa Utumwa, maisha yao yalikuwa magumu kuanzia mwanzo Wasomali hawakuwahi kuwakubali na wamekataliwa kata kata na Msomali yoyote aliyejaribu ku-intermarry na Mbantu alitengwa na jamii ya Wasomali. Hali ilikuwa mbaya kwa Wabantu Somalia hadi UN...
  19. beth

    Somalia: Wabunge wamrejesha madarakani Rais wa zamani

    Wabunge Nchini Somalia wamemchagua Hassan Sheikh Mohamud aliyekuwa Rais kati ya mwaka 2012 - 2017 kuongoza Taifa hilo. Amepigiwa Kura 214, huku Rais Mohamed Abdullahi Mohamed aliyekuwa anawania Muhula mwingine akipata Kura 110 Rais Mohamed amekubali matokeo ya Uchaguzi na Mohamud ameapishwa...
  20. Tony254

    Farmaajo, Rais wa Somalia ambaye aliichukia Kenya sana, abanduliwa katika uchaguzi wa Urais

    Huyu mtu mwenye roho mbaya, kisirani number moja kwa jina la Farmaajo, rais wa Somalia amebanduliwa katika uchaguzi uliofanyika jana. Amefanyia Kenya madhambi mengi sana. Yeye ndio aliban Kenya kuexport miraa to Somalia. Yeye ndio alikataa kuondoa kesi mahakamani na kukataa kunegotiate na...
Back
Top Bottom