somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. TRA yashauri Serikali kuanzisha somo la Elimu ya Kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari...
  2. P

    Wanasiasa wanaolewa vyeo wanaweza kujishusha kama Said Bakhresa?, kuna somo kwa wanasiasa vijana kutolewa vyeo

    Hayati mmoja mwanasiasa akiwa waziri wa fedha aliongea kwa jeuri sana kauli iliyomfuata hata baada ya kifo chake, pale aliposema ndege ya Rais ni lazima itanunuliwa ikibidi hata wote tule majani!. Kauli ile ilileta mijadala mingi miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za nchi hii. Ilikuwa ni jeuri...
  3. Je, tutumie Msiba wa Malkia kama darasa somo la Organization, Simplicity, Humility na Humbleness au tukomae na misafara yetu na ubosi wetu?

    Wanabodi, Huku kwenye mitandao ya kijamii mjadala wa viongozi wetu kupandishwa basi moja ugenini jijini London, kwenye mazishi ya Malkia Elizabeth, imeendelea kushika kasi, hivyo hili ni bandiko la swali. Je, tuutumie somo tulilolipata kwenye Msiba wa Queen Elizabeth kama Shamba Darasa la...
  4. SoC02 Wazazi/walezi ni suluhisho, ufaulu mdogo somo la Hisabati

    Hisabati ni somo linalohusisha namba, maumbo, mafumbo, uhusiano baina yao pamoja na vipimo mbalimbali (merrium webster). Sehemu kubwa ya somo hili ni namba 0 mpaka 9 ambazo humtaka mwanafunzi kuhudhurisha ubongo na fikra katika kutegua changamoto mbalimbali. Takwimu zinaonesha kumekuwa na ufaulu...
  5. N

    Somo laanza kumuingia CEO wa Simba, ataka clubs za Afrika kutumia makocha wa kiafrika

    Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki leo team iko stuck na...
  6. Somo zuri kwa Rais Samia kutoka kwa Rais Hussein A. H Mwinyi.

  7. Somo zuri kutoka uchaguzi wa Kenya ambalo watawala wa Tanzania na CCM hawataki kulisikia.

    Mambo 10 yanayoutofautisha uchaguzi wa Kenya na nchi zingine Afrika 19 Agosti 2022 Na Yusuph Mazimu BBC Swahili Kenya imefanya Uchaguzi wake mkuu Agosti 9, 2022, na kumchagua William Ruto kuwa Rais wa tano wa taifa hilo, akimuangusha mwanasiasa mkongwe, Raila Odinga, aliyekuwa anagombea kwa...
  8. Mzee Somo wa Simba afariki Dunia, kuzikwa leo Mtwara

    Aliyekuwa msaidizi wa mtunza vifaa wa klabu ya Simba, Hassan Mtutanje maarufu kama Mzee Somo amefariki dunia juzi jumamosi usiku. Marehemu atakumbukwa kama mmoja ya wafanyakazi wa Simba waliokuwa na mahaba mazito na klabu hiyo. Mzee Somo atazikwa leo kwao mkoani Mtwara. Apumzike kwa amani.
  9. Kenya wanatupa somo kwamba wao ni mabingwa wa demokrasia. Chebukati anatuonesha jinsi ya kusimamia uchaguzi

    Demokrasia iliyopo Kenya kwa sasa ni darasa kubwa kwetu. Kenya wamepiga hatua kubwa sana ya kusimamia uchaguzi, na ndio faida na umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Kuwa na tume huru ya uchaguzi ni jambo lingine lakini pia kumpata mwenyekiti asiyegemea upande wowote ni jambo lingine. Chebukati...
  10. Somo la leo kutoka maandiko ya kitabu cha kitaa ule ukurasa

    Habari wote JF members, Nimeona nifungue uzi kutoka uzi mmoja na huu ujitegemee. Saivi watu wanaishi kwa bajeti kali no shopping kizembe zembe Tsh.10000 ndio buku 2000 ya 2015. Uhalisia uko hivo jero ishakuwa mia 200 afu malipo ya kazi ni yale yale. Daah walio ajiriwa kwa mishahara midogo daah...
  11. Ramadhani Kingai, sasa urudi Moshi CCP, urudie somo la PGO

    Ramadhani Kingai sasa ndio DCI wetu! Kama alipitia somo la GPO(General Police Orders) kule Moshi CCP(Chuo Cha Polisi) , basi ni wazi kuwa hakufaulu lakini akaingia kazini hivyo hivyo. Nasema hivi kutokana na track record yake , hasa katika kesi iliyomuumbua kitaaluma, kesi ya Ugaidi wa Mbowe...
  12. Somo la historia liwe linatumika na kusomwa vizuri. Hakuna kukariri hapa

    Historia ya Dunia haijajificha kamwe na mwalimu mzuri ataamsha ari Kwa mwanafunzi wa historia. Ukimsikiliza huyu ndg Kwa makini na uka base katika historia ya Dunia Ile na hii mambo yanakwenda kubadilika na hata kuelekea kuumizana.
  13. I

    Nimeangalia takwimu za matokeo kidato cha sita, somo la physics hali ni tete. Shida iko wapi?

    Somo la Physics, somo la Physics. Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana? Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana kwa kukutana na maswali ambayo sikujua hata nianzie wapi kusolve. Bado namkumbuka mwalimu wangu...
  14. L

    Vijana wa Afrika waipa somo Marekani

    Inawezekana kuwa wengi wanakumbuka kuwa Oktoba mwaka jana, vyombo vya habari vya Zimbabwe vilifichua kwamba ubalozi wa Marekani nchini humo uliwalipa waandishi wa habari wa nchi hiyo kuchapisha ripoti za kuchafua sura ya China kwa bei ya dola za Marekani 1,000 kwa kila makala, jambo ambalo...
  15. Al Shabaab watoa somo kwa abiria kwenye basi linaloelekea Mandera

    Kundi la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab walitoa mhadhara wa saa mbili kwa abiria waliokuwa kwenye basi lililokuwa likielekea Mandera katika Mkoa wa Kaskazini Mashariki mwa Kenya, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Kenya zikiwanukuu polisi. Polisi walisema wanamgambo...
  16. Ushauri: Kila shule ya sekondari pawepo na angalau mwalimu 1 wa somo la Ufundi stadi

    Habari! Huu ni ushauri wangu wa mwisho kwa serikali. Yaani namaanisha hapa nimetumia akili zangu zote kuwaza namna ya kuondoa ujinga na umaskini katika jamii. Sasa % kubwa ya watoto wa darasa la saba wanajiunga kidato cha kwanza. Wengi huishika kidato cha 4 kwasababu mbalimbali. Miaka 4 ya...
  17. T

    Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote. Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
  18. P

    Sarakasi za Mbunge kijana na somo kwa vyama vya siasa wakati wa uteuzi majina ya wabunge

    Nimeiangalia video ya Mheshimiwa mbunge wa Arumeru namna alivyopanda juu ya meza yake na kusimama miguu kichwa chini. Siwezi kusema sikushangazwa sana kama wengi walioiona video hiyo kwa mara ya kwanza. Wanaonekana wabunge waliokaa jirani yake wanashangaa wakicheka kwa kustaajabishwa. Hata sauti...
  19. Napendekeza kufutwa kwa somo la ‘Slavery’ kwenye mitaala ya ufundishaji historia nchini

    Pendekezo hilo nalitoa kwa sababu kuu tatu. 1.) Kitendo tu cha mimi kujua kwamba mzungu aliweza kuwakamata mababu zangu na kuwauza kama mbuzi kilinifanya nijione binadamu wa daraja la pili hapa duniani, inauma sana ila ukweli ndio huo; kwamba mzungu ni daraja la kwanza, ila sisi daraja la pili...
  20. Walimu wa Hisabati, hii inaweza kutusaidia kufaulisha Wanafunzi na kulipenda somo hili

    Habarini za humu JF Elimu, Leo nimekuja kutoa nami mawazo na mitazamo ni namna gani tunaweza kuwasaidia hawa watoto katika hili somo rahisi kabisa! MAMBO YA MSINGI KWA MWANAFUNZI NA KWA MWALIMU 1. Lugha adhimu ya kiingereza iwe mikononi mwa wanafunzi kwa vyovyote vile hasahasa grammatical and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…