somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    SoC03 Somo la uadilifu na Utawala Bora lianzishwe na liwe somo la lazima kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu. Taasisi za Dini, na Familia zihusike pia

    UTANGULIZI Uadilifu ni hali ya kuwa mwaminifu na kuzingatia kanuni zote za kimaadili katika jamii inayokuzunguka. Kwa upande mwingine, utawala bora lazima uwe na uadilifu ndani yake. Jamii haiwezi kuwa na watawala walio bora ikiwa hawana uadilifu. UMUHIMU WA UADILIFU KATIKA JAMII Uadilifu...
  2. Dr Msaka Habari

    Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) chatoa somo kwa Waratibu wa Matukio

    Chuo cha utalii nchini (NCT) kimewataka wadau wa uratibu wa matukio (events), kuongeza ujuzi wao kwa kujifunza chuoni ili kukuza weledi na kuacha tabia ya mazoea katika utendaji kazi wao wa kila siku. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano kati ya NCT na wadau wa uratibu wa matukio Kaimu...
  3. GENTAMYCINE

    Hawa Wadada wa NPS wanaotoza Ushuru Gari zinazopaki Barabarani wamefaulu vyema Somo la Customer Care?

    Wengi wao..... 1. Wana Hasira (Usununu) 2. Wakali 3. Wajeuri (Ngumi Mkononi) 4. Wana PhD"s za Matusi 5. Hawajui Kutabasamu 6. Wana Stress na Frustrations 7. Mabingwa wa Kugongea Misosi ya Watu na Kulazimisha kupewa Lifti nyakati za Jioni / Usiku Kuna Mmoja nimekutana nae mahala nimemchanganyia...
  4. T

    Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  5. Lanlady

    USHAURI: Somo la Kiingereza kwa shule za msingi lifutwe ama lianze kufundishwa tangu awali

    Kama serikali ina nia kwa wananchi wake kujua kiingereza, basi somo hili lianze kufundishwa tangu darasa la awali kama ilivyokuwa hapo kabla. Na ikiwa si la muhimu sana basi ni afadhali lifutwe tu, wanafunzi wajifunze mambo mengine ya muhimu. Atakayehitaji atajifunza kwa wakati wake hata...
  6. J

    Kama Wafu wasingesemwa, tusingekuwa na somo la Historia

    Nimeona watu wanatema mapovu mtandaoni kuwa ni vibaya kuwasema watu waliokufa, hata kama walifanya mabaya kiasi gani Kama watu waliokufa hawasemwi, basi tusingekuwa na somo la historia Historia ambalo ni somo muhimu zaidi kwenye siasa, msingi wake ni kuyasema mambo yaliyofanywa na wafu, mabaya...
  7. Mparee2

    Ufaulu wa somo la Hesabu kidato cha nne 2022

    Nilisikia kupitia radio one leo asubuhi kuwa, takribani asilimia 70 ya watahiniwa wa kidato cha nne wamepata alama sifuri katika somo la Hesabu? Kama ni kweli, nafikiri hakuna haja ya kutafuta Mchawi kwani tatizo liko wazi kabisa ambalo ni ukosefu wa Waalimu wenye sifa ya kufundisha somo la...
  8. lugoda12

    Somo la kemia kanisani

    SOMO LA KEMIA KANISANI WIVU + TAMAA X UJINGA WA MAMLAKA = burudani mitandaoni. 1. Kuna watu wamepigwa na kuumizwa, wasizuiwe kulia. 2. Kuna watu hawajui chanzo, wasizuiwe kuhoji hoji. 3. Kuna watu wanaujua ukweli wote; mitandao si mahali pa kuusemea. 4. Kuna watu wamekosea njia; wametibu...
  9. Prakatatumba abaabaabaa

    Nashauri somo la physics liwe option kuanzia form one, mathematics liwe option pia

    Au mwalimu mpwayungu village unasemaje? Hii ni thathmini fupi ya masomo ya physics na mathematics kwenye matokeo ya form two yaliyotoka juzi. 1. PHYSICS A - 0.4% (2,519) B - 0.77% (4,874) C - 4.73% (29,851) D - 12.30% (77,586) F - 81.79% (515,734) 2. MATHEMATICS A - 1.96% (12,389) B - 1.35%...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kabla hamjafuta somo la Uraia (Civics) naomba nijibiwe maswali haya

    Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe, 1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani? 2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano? 3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
  11. Mia saba

    Umepata somo gani la maisha 2022?

    Mimi: Kila kitu kizuri kinataka muda, muda inahitaji sacrifice ya vitu vingi vizuri.
  12. S

    Somo la Civics linalofundisha wanafunzi katiba ya nchi linafutwa

    Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics. Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa. Jadili.
  13. The Burning Spear

    Hongera Mama Janeth Magufuli kwa kuelewa somo

    Moja Kwa moja nikupongeze Kwa kupiga chini bonaza la ufunguzi wa bwawa. Mama tumekuwa tunasikitika na kuumia mno pale unapokuwa mwalikwa kwenye haya mabonanza ya CCM, matokeo yake marehemu mumeo anasimangwa hovyo hovyo. Tumejitahidi Sana mara kadhaa kukushauri kutupilia mbali haya mtamasha ya...
  14. yoteyametimia

    Wataalam wa biashara naombeni somo hapa

    Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya? Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa kupunguza matumizi. Karibuni mnielimishe naona natumia nguvu nyingi kwenye hii biashara, ni biashara ndogo tu.
  15. M

    Wazee wa 'unbeaten' tujikumbushe somo la 'map reading'. Soma picha hii kisha ujibu maswali

    MASWALI: 1. Hii picha ilipigwa wapi? 2. Huyo aliyetoa macho na kubaki mdomo wazi ni nani? 3. Kwa nini macho yalimtoka na kubaki mdomo wazi? 4. Hii picha ni ya tukio gani? Wazee wa "unbeaten" karibuni kwenye map reading!
  16. L

    Msisimko ndani ya mto Jiuqu ni somo la uhusiano wa binadamu na mazingira ya asili

    Na Gianna Amani Ukiachilia mbali neno wananchi huenda neno lingine lililotajwa na Rais Xi Jinping mara nyingi zaidi katika siku za hivi karibuni ni mazingira, na mara kadhaa ametoa msisitizo juu ya uimarishaji wa uhusiano mpya kati ya binadamu na mazingira ya asili. Mara nyingi Rais Xi Jinping...
  17. kavulata

    Yanga imewapa somo wachambuzi wetu

    Mpira hauchezwi kwenye vyombo vya habari, unachezwa uwanjani. Maneno hayachezi mpira, chuki na mahaba ya mtu havisababishi timu kushindwa au kushinda. Yanga imewafundisha watu somo hili la weledi. Sasa hivi wachambuzi wote wamenyooka kama rula, wameanza kuamini kama mpira ni sayansi, mpira ni...
  18. O

    The Bolsheviks, Dkt. Bashiru, Somo kwa UVCCM na CCM

    Katiba ya CCM inatambua kuwa CCM ni chama cha Kijamaa (Wakulima na wafanyakazi) lakini miaka yote jambo hili limekuwa si kweli kwa 100%. Ndani ya CCM kuna makundi 3 ya kiitikadi Bourgeoisies(Hili kundi lenye watu wenye ukwasi wa kifedha) hawa ni kundi la Kikwete, Lowassa na Hata sasa Samia hawa...
  19. DodomaTZ

    Serikali iangalie walimu wanaosimamia somo la Utafiti (Research) OPEN University, kuna mmoja ipo siku kitamkuta kitu

    Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili yanaanza na Yusuph M, nasisitiza wawe makini na huyo jamaa. Umri wake bado mdogo lakini ana...
  20. M

    Nadhani mabeberu wa nchi za Magharibi wanaelekea kulielewa somo sasa: Chezea kingine ila siyo sharubu za Putin

    Wamemwekea vikwazo lukuki wakiamini kuwa uchumi wa urusi utakufa ghafla, kinyume chake uchumi wa nchi zao ndio unaoanguka!! Usicheze na nchi yenye maliasili zinazohitajika kwa lazima kwa maisha ya kiila siku: mafuta na gesi!!! Usicheze na nchi inayojitegemea na kutegemewa kwa chakula!! Hapo...
Back
Top Bottom