State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.
Habari za leo wana JF,
Kama kichwa Cha habari kinavosema ngoja nianalyse mtazamo wangu Kwa kuangalia connection iliopo ktk past event baada ya uhuru wa nchi za Africa, current events tulipo na mtazamo wangu tunapoelekea. Nikiwachambua iconic hero's Kwame Nkuruma na Julius Nyerere Je! nani ni...
Mataifa kadhaa ya Ulaya miezi minne tangu vita vianze bila Israel kupata ushindi ilioutarajia yameunga mkono kuundwa kwa taifa la Palestina.
Baadhi ya mataifa hayo ambayo yamekuwa yakpeleka wajumbe wao mataifa ya mashariki ya kati ni pamoja na Uiengereza,Ufaransa,Italy na Spain.
Kuundwa kwa...
Habari zenu wakuu,
Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha.
Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili.
Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na...
Salaam ndugu zangu,
Matokeo ya Kidato cha nne yametoka leo. Kama ilivyo kawaida kila mwaka, pia takwimu za masomo ya Mwaka huu zinaonesha ufaulu unaongezeka.
Kwa upande wangu nimetazama nilikuwa interested na somo la Civics ambapo pia nimeona ufaulu umeongezeka kwa mwaka huu 2023...
Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000?
Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
Nilipokuwa ndo ninaanza kubalehe marehemu Babu aliwahi kuniambia “Ukitaka kuwa na Maisha mazuri na yenye furaha kama mwanaume basi usije kuoa! Mwanamke anakondesha Mjukuu! Mwanamke sio ndugu yako kabsa! Kaa nao mbali!" Sikuelewa hata kidogo ila nilipotimiza miaka kadhaa mbeleni nikaanza...
Maadili hutoa maana au muundo dhahiri wa maisha ya mwanaadamu, Maadili ni kanuni fulani za msingi ambazo zinapaswa kushikiliwa katika maisha. Maisha ya kuishi bila maadili hatimaye mtu ataishia kuhisi kutoridhika, kuhisi mwenye hatia na huzuni.
Kama mtoto asipolelewa bila sheria ni haraka zaidi...
A Clark County, Nevada judge and a marshal were injured on Wednesday afternoon after a defendant who was denied bond threw himself over the bench and attacked the judge, video shows.
It is reported that the public information officer for the Clark County District Court said the incident...
Habari wanajamvi!
Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA.
Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023
Tarehe ya Harambee:
Jumamosi, 23.12.2023
Saa 3 asubuhi
Mahali:
Etaro Sekondari
Kijijini Etaro
Akaunti ya Shule:
Benki: NMB Musoma
Akaunti Na: 30301200341
Jina la Akaunti: Etaro Sekondari...
Taarifa yake hii hapa .
Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
Moderetors + Members habari,Poleni na majukumu,
Nawaza katika vitabu vyetu vikuu vya Imani yaani BIblia na Quraan hasa katika utabiri wao wa siku za mwisho hapa Dunian.i Je vilijaribu kuonesha mwanga hata katika Lugha ya Picha Kuhusu ujio wa Tech ya AI.Je mitume na waandishi wa vitabu waliweza...
Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu.
Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi.
Kipengele na:
8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
Habari!
Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu.
Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha.
Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi?
Setikali imeshindwa...
JE HOFU YA MITIHANI NA MADAI YA UGUMU WA SOMO LA HISABATI NDIYO SABABU YA KUFELI KWA NUSU YA WATAHINIWA MWAKA HUU? Somo la Hisabati limeendelea kuwa pasua kichwa nchini, ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka huu, zaidi ya nusu ya watahiniwa wamepata ufaulu D ambao hauridhishi...
Urusi na China,nchi superpowers ambazo zinatajwa kuwa kimbilio kwa nchi zinazoteseka chini ya imperialism ya Western countries practically wapo pamoja na Israel.
wote wanakubali existence ya Israel kitu ambacho Palestine hawakitambui na ni haram kwao. And I guess that is why they are fighting...
Wanafunzi 17 wanaodaiwa kusoma kozi ya Afya ya Jamii (Community Health) katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi (Decca) ambayo ilifutwa tangu mwaka 2019 wameiomba Serikali kuwapatia sehemu ya kuishi wakati wakisubiri hatima yao baada ya kufukuzwa na uongozi wa chuo hicho.
Wanafunzi hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.