songwe

Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Juliana Shonza afanya ziara ya kimkakati

    MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya Ileje na kubisha hodi kwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ileje komredi Hassan...
  2. Stephano Mgendanyi

    Juliana Shonza (Mb) na miaka 46 ya CCM mkoa wa Songwe

    MHE. JULIANA DANIEL SHONZA (MB) NA MIAKA 46 YA CCM MKOA WA SONGWE "Katika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) nimekabidhi bando tatu za bati zenye thamani ya Milion moja laki mbili kwa mlezi wa CCM Mkoa wa Songwe Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo pinda kwa ajili ya...
  3. BARD AI

    Wanafunzi 13,000 hawajaripoti kidato cha kwanza Songwe

    Zaidi ya wanafunzi 13,000 sawa na asilimia 63 wa kidato cha kwanza mkoani Songwe waliochaguliwa kuanza masomo Januari 9 mwaka huu, hawajaripoti shuleni hadi leo Ijumaa. Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amesema hayo leo wakati akitoa salamu za mkoa katika kikao kazi cha...
  4. Stephano Mgendanyi

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Songwe - Miundombinu ya Elimu

    CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA SONGWE - MIUNDOMBINU YA ELIMU Matukio mbalimbali katika picha Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe Juliana Daniel Shonza akiambatana na viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) alipofanya ziara katika Kata ya Ichenjezya. Kata ilikuwa haina Shule. Mbunge...
  5. L

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

    Ndugu Zangu Watanzania, Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi...
  6. Makonde plateu

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

    Merhaba! Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
  7. Kaka Ibrah

    Naomba kujuzwa bei ya karanga mbichi Mtwara na Songwe

    Naomba kufahamu bei ya karanga mbichi kwa bei ya jumla katika mkoa wa mtwara na songwe, ktk ujazo wa kilo, debe au gunia zikiwa zimeshamenywa
  8. BARD AI

    Songwe: Polisi wakamata walioanzisha kiwanda feki cha Sukari

    Waliokamatwa ni Oscar Chisunga, John Chisunga, Moses Mussa, Fredy Thobias na Eddy Mwashambwa ambapo wamekutwa na Kilo 440 za Sukari iliyoingizwa nchini kimagendo. Kamanda wa Polisi ACP Alex Mukama amesema Wafanyabiashara hao wakazi wa Mlowo wilayani Mbozi walighushi Sukari na kuiweka kwenye...
  9. Analogia Malenga

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe ampiga na kumjeruhi mwanafunzi wa kike

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Simon Simalenga amempiga na kumuumiza jicho mwanafunzi wa kike.
  10. BARD AI

    Songwe: Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki

    Jeshi la Polisi linawashikilia watu 3 akiwemo Mchungaji Julius Mwasimba baba mzazi wa marehemu na watoto wake Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Anna Mwansimba. Kamanda wa Polisi, Alex Mkama amesema ndugu hao walimfungia mgonjwa na kuanza maombi kwa siku 3 lakini baadaye waligundua...
  11. BARD AI

    Wavamizi Bonde la Songwe na Ihefu kuondolewa, watakaofuatwa kulipwa fidia

    Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amesema wanachukua hatua hiyo ili kulinda Mazingira na Kunusuru vyanzo vya Maji. Amesema wale ambao watafuatwa kwenye maeneo yao, Serikali itawafidia lakini hawatakuwa tayari kuona ukame ukiendelea katika Mabonde hayo...
  12. denooJ

    Songwe: Aua kisha kuula nyama mwili wa marehemu

    Lazaro Adamsom mwenye miaka 40 mkazi wa Songwe, anatuhumiwa kumuua Berta Shugha mwenye miaka 69, kisha kuukata kata mwili wake na kuuchoma kama mishkaki, kisha kuila. My Take: Tunapoelekea panatisha sana. ---- Mkuu wa wilaya hiyo Simon Simalenga amesema mtuhumiwa alidai kwamba alimuua mwanamke...
  13. Wordsworth

    Katazo la Mkaa

    Ilirushwa habari kwenye TBC Aridhio tarehe 9 Novemba 2022 ya mkuu wa mkoa wa Songwe Ndugu Waziri Kindamba akipiga marufuku uchomaji wa mkaa katika mkoa wake. Haya. Unamwambia mwananchi asitumie mkaa, atatumia nini? Tuwe na uhalisia tuache kufanya maamuzi yasiyotekelezeka. Maandalizi ya nishati...
  14. S

    Wilaya ya Songwe kuna shida kubwa sana

    Nimeoona bandiko moja la askofu kwamba kuna kijana mmoja fundi bodaboda ametekwa na polisi nikashtuka sana na nikajiuliza maswali mengi sana. Mkuu wa wilaya Mkurugenzi katibu tawala wilaya wote wapo. wawakilishi wa raisi wapo bado watu wanatekwa? Raisi fukuza mkuuu wa wilaya na mkurugenzi...
  15. S

    Hivi kwanini Songwe Iko nyuma kwenye Kila kitu

    Wilaya Songwe Kuna shida mahali kwenye Kila kitu kuanzia miradi yake mpaka mpaka watu wake. Kwa taarifa zilizopo watumishi walioajiriwa mwaka jana HawaJathibitishwa kazini.kila siku Siasa tu ukienda kuuliza Kwa wenye mamlaka. Inaenda mwaka was pili sasa Pia walioajiriwa mwaka huu...
  16. A

    DOKEZO Udhaifu katika Mamlaka ya Mapato (TRA) Songwe

    UDHAIFU KATIKA MAMALAKA YA MAPATO YA TRA SONGWE kumekuwa na utendaji KAZI m'bovu wa mamalaka ya ukusanyaji mapato ya TRA songwe Kwa kudai Kodi zaidi ya makadirio yaliyofanywa Kwa mteja. Ni zaidi ya miaka mitatu ya makadirio ya mapato Hali hii inajitokeza Kwa upande wangu Mfano hai ni hili...
  17. Lady Whistledown

    Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

    Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26. Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya...
  18. Ben baba

    South organisers Tunduma border, Mlowo & Vwawa Songwe

    Wasalaaam ndugu zangu Moja kwa moja Kwenye kilichonileta hapa, Ni kuwapa taarifa hii ndugu zangu ufikapo Songwe(Vwawa,Mlowo,Mpemba,Tunduma,mkwajuni,Saza n.k) Tunakurahisishia kupata huduma yoyote ufikapo maeneo Haya. Huduma hizo ni: 1. Tunafanya clearing and forwarding Border ya Tunduma (...
  19. S

    DOKEZO TAMISEMI imulike wilaya ya Songwe

    Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo. Haya yafuatayo: 1. Haifuati miongozo kutoka serikalini wala ya wizara ambayo iko chini yake. Imeweka miongozo yake na sheria zake...
  20. T

    Afisa Utumishi Wilaya Songwe ni jipu

    Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa? 1. Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima. 2. Kuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake. 3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu. 4. Kuna...
Back
Top Bottom