songwe

Vera Songwe is an Economist and Banking executive from Cameroon who has worked for the World Bank since 1998, and in 2015 became Western and Central Africa's regional director for the International Finance Corporation. Vera Songwe is the first woman to head the U.N.s Economic Commission for Africa (ECA) at the level of Under Secretary-General.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Hatimae Ndege kubwa (Air Bus) yaanza safari zake Uwanja wa Songwe Airport Viongozi wafunguka mazito

    03 August 2022 Kuna Uhitaji Mkubwa wa Huduma za ndege kubwa nyada za juu kusini Ndege kubwa ya ATCL aina ya Airbus A220-300 yaanza safari zake uwanja wa Songwe. Viongozi wafunguka kigugumizi kilichokuwepo cha ndege kutua usiku kutokana na kukosekana taa za uwanjani, ambapo sasa tayari...
  2. masopakyindi

    Asante Comrade Kinana, ni kweli Serikali ijenge barabara ya lami njia nane, Dar -Songwe

    Comrade Kinana ndio kiongozi wa kwanza wa ngazi za juu kabisa katika ungozi wa CCM kujionea kero za barabara iliyosuswa na Awamu kadhaa( kuanzia alipochaguliwa Waziri wa Ujenzi-Magufuli, Awamu ya Mkapa) katika ujenzi wa barabara nchini. Hapa mtandaoni tumelalamika sana , bila mafanikio, ubovu...
  3. Njaa kali30

    Huyu afisa elimu wa wilaya Songwe awajibishwe kwa matumizi mabaya ya ofisi

    Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa tabora naye alikuwa msumbufu balaaa. Lakini huyu alieachwa ana mapungufu balaaa na sijui hivi vyeo uwa...
  4. Jamii Opportunities

    Executive Secretary at Songwe River Basin Commission

  5. JanguKamaJangu

    SONGWE: Serikali yaingilia tuhuma za wauguzi kusababisha kifo cha kichanga kwa uzembe

    Wauguzi katika Kituo cha Afya Tunduma, Wilayani Momba wanatuhumiwa kusababisha kifo cha mtoto aliyezaliwa kituoni hapo, huku mzazi (jina limehifadhiwa) Mkazi wa Kata ya Uwanjani, Tunduma akidai mtoto huyo alikutwa na jereha kichwani licha ya kujifungua salama. Taarifa zilizopatikana kituoni...
  6. Njaa kali30

    TRA na Maafisa Biashara wa Wilaya ya Songwe acheni kuwaibia wananchi

    TRA wakishirikiana na maafisa wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwahuhujumu wafanya biashara wadogo wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwafungia biashara zao hasa mama na kuwalazimisha walipie sh 50,000 ya kufuli na kuwapiga faini ya 50000, ya usumbufu, 50000 kupata TIN namba na Sh 50000 kwa ajili...
  7. Roving Journalist

    SONGWE: TAKUKURU yatoa mafunzo kwa Walimu na Walezi wa Skauti

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
  8. T

    Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora. Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
  9. John Haramba

    (VIDEO) Songwe: Wanaochimba nguzo za umeme wakutana na masalia ya mwili wa mtu kwenye shimo

    Wakazi wa eneo la Old Vwawa mkoani Songwe wamekutana na kinachodaiwa kuwa ni mabaki ya binadamu katika shimo ambalo lilichimbwa maalum kwa ajili ya kusimika nguzo. Shimo hilo lipo eneo hilo katika mradi wa kuweka nguzo za umeme kutoka Old Vwawa kwenda Msambawani mkoani hapo. Mmoja wa mashuhuda...
  10. S

    Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

    Wilaya Songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza. Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha, milango lakini kwa bahati...
  11. S

    Miradi ya maendeleo (hususan majengo) wilayani Songwe ipo chini ya kiwango. Tamisemi chukueni hatua stahiki

    Wilaya songwe bado imeendelea na maajabu yake. Wasimamizi waliofanya vibaya mpaka inatia kinyaaa bado mkurugenzi anawabembeleza. Kuna sehemu tulipita wakati tunakagua tukaaacha maelekezo wafanye marekebisho kwani ujenzi ulikuwa chini ya kiwango warekebishe madirisha, milango na madawati...
  12. S

    Hata songwe Hela Uviko zimepigwa, mkurugenzi wake yupo kimya

    Nimemskia madam president jana akisikitishwa sana wakurugenzi wanne walioshindwa kusimamia pesa ya uviko kuagiza mamlaka zinazohusika kutengua ukurugenzi wao. Nashauri pia Mhe Rais apate taarifa rasmi za wilaya zote ikiwa pamoja wilaya ya Songwe. Kwani kuna ubadhirifu mkubwa ulifanywa na...
  13. Analogia Malenga

    Songwe: Baba amchoma mtoto wa miezi sita akidai amesingiziwa

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mkazi wa mtaa wa Ilembo wilayani Mbozi, Mariko Kahinga kwa tuhuma za kumuunguza mtoto wake wa miezi sita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe (RPC), Janeth Magomi amesema Jeshi hilo limebaini kuwa Kahinga alimchoma mtoto huyo kwa madai kuwa sio wake huku...
  14. S

    Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

    Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
  15. figganigga

    Rais Samia, "nakuamuru" uwajengee Kivuko Wananchi wa Ipatikana na Nzoka Mkoa wa Songwe

    Salaam Wakuu. Kwa mjibu wa Katiba, rais ameajiriwa na Wananchi kuwatumikia. Hivyo kama Mwajiri, namtaka au namuamuru rais Samia awajengee kivuko hawa Wananchi. Ziara yake moja inatosha kuwawekea kuvuko hawa wananchi. Nimefika Nzoka Momba, Wananchi wanavuka kama Makomandoo unaweza hisi ni...
  16. Analogia Malenga

    Songwe: Watu 24 wakamatwa wakizingira kituo cha polisi

    Polisi mkoani Songwe wanawashikilia watu 24 wa Kijiji cha Chang'ombe wilayani Songwe kwa tuhuma za kuzingira kituo cha polisi Galula. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Janeth Magomi amesema watu hao walivamia kituo wakishinikiza kurejeshewa mikoba ya waganga wa jadi (lambalamba) iliyokamatwa na...
  17. Njaa kali30

    Afisa Elimu Wilaya ya Songwe ana tuhuma nyingi za matumizi mabaya ya ofisi

    Habari wadau nimeona kuna malalamiko mengi yanayomuhusu afisa elimu Chamwino. Kuhusiana na kuwakalipia waalimu wake kuwapa vitisho. Sasa kuna mwingine afisa elimu alieshindikana huku ambaye amekuwa akinyanyasa walimu wake yani ukikosana nae ujue maisha yako ya utumishi yatakuwa...
  18. Analogia Malenga

    Prof. Mkenda: Mikoa inayozalisha chakula kwa wingi inaongoza kwa udumavu kwa watoto

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema takwimu zinaonesha udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa ambayo inazalisha chakula kwa wingi Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 47.9%, Iringa 47.1, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41% Amesema hali hiyo hairidhishi. Serikali imeendelea na...
  19. T

    Mkoa Songwe bila connection hutoboi

    Kila kitu ni connection, ni mkoa ambao jiographia yake ipo kinyume sana na mkoa tukutu sina hakika vipaumbele vyake nini? Mfano kuna mtu anaitwa kaponda amejaza mademu zake kuwa kuwa wakuuu wa shule na maafisa taaaluma. Kuna jamaaa mmoja anaitwa kafulila alikuja kufanya kazi mkoaaa huuu kama...
  20. Elivate

    Delivery ya mizigo midogo Mbeya Mjini, Songwe na Mbozi (Mlowo na Vwawa)

    Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa Songwe hapo chini tu, ningependa kuwakaribisha. Gharama zetu ni nafuu na rafiki, wasiliana nami...
Back
Top Bottom