south africa

  1. Riskytaker

    South Africa inawezaje kuwa na uchumi mkubwa kiasi hiki wakati vijana karibu wote ni jobless

    Nimewahi kufika South Africa uchumi wa south Africa ni mkubwa mno manake ni nchi iliyondelea sana ila ni nchi yenye jobless wengi mno Roughly ukikutana na vijana 100 bas 36 ni pure jobless .
  2. D

    Hivi ni lazima nikienda South Africa nijue lugha zao nyingine apart from English?

    Habari za muda, ndugu zangu. Nina swali napenda kuuliza: Huenda kuna Watanzania ambao walishawahi kufika Afrika Kusini, au huenda kuna wengine wanaishi huko chini ya Madiba. Napenda kuuliza: Hivi, ukienda Afrika Kusini, ni lazima ujue moja ya lugha kama Zulu, Xhosa, Sesotho, au Afrikaans, au...
  3. Tembosa

    FT: AFCON Qualification 2025: South Africa 2 - 2 Uganda | Orlando Stadium | 06.09.2024

    Game On... Uganda on lead 14' Foster anawapatia South Africa Goli la kuongoza. HT 1-0 ================= Kipindi cha pili. 45' Mpira umeanza kwa kasi kidogo, umiliki kwa Uganda. 51' Goooooooooooal Uganda wanazawasisha hapa kupitia D. Omedi anapiga shuti zito nje ya 18. Chuma cha kwanza kwa...
  4. LIKUD

    Afrika kusini kuna kanisa linamuabudu rapa lil'Kim kama mungu wao

    In South Africa, there is a church in which they worship RAPPER LIL'KIM as their GODDESS. The Church is known as " THE HOLY TEMPLE OF GODDESS LIL'KIM" and it operates in form of a secret society. It is located at KEMPTON PARK ( 45 MINUTES DRIVE TO DOWNTOWN JOHANESBURG) They have a very...
  5. Mkalukungone mwamba

    Afrika Kusini: Mrembo mwenye asili ya Nigeria ajitoa kuwania Taji la Miss South Africa 2024

    Baada ya Mashindano ya Urembo kuzua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni. Baada taarifa hiyo leo Chidimma Adetshina ametoa taarifa kupitia mitandao yake ya Kijamii ya...
  6. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

    Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na...
  7. B

    ILLEGAL MILITARY / POLICE CAMP EXPOSED AFTER FOREIGN NATIONALS /BEEN CAMPING IN MPUMALANGA WHITE RIVER SOUTH AFRICA

    26 Jully 2024 Mpumalanga, South Africa https://m.youtube.com/watch?v=ShyPIO7q3Yk ARE WE REALLY SAFE AS SOUTH AFRICANS?FOREIGN NATIONALS OCCUPYING OUR MILITARY DEPOTS ILLEGALLYWAS EVEN OUR MINISTER OF DEFENCE AND MILITARY AWARE OF THIS INCIDENT? LIBYA FOREIGN NATIONALS IN SOUTH AFRICA AT A...
  8. J

    SoC04 Usimamizi wa barabara ya kimataifa nchini

    Matumizi ya barabara yamekuwa kwa kiasi kikubwa kwa dunia hii ya sasa ambapo makampuni tofauti yamekuwa yakijihusisha na utengenezaji wa barabara na mengine katika kuviunda vyombo vya usafiri na kuviuza kwenye nchi tofauti tofauti. Miongoni mwa barabara zinazotumika kwa asilimia kubwa ni hii...
  9. Huihui2

    Serikali ya Umoja South Africa: Je Huu Ndiyo Mwanzo wa Mwisho wa ANC?

    Ni lazima imekuwa hivyo. ANC haina option zaidi ya hiyo (ANC/DA coalition). Na hii inatokana na Conditions walizo zitoa MK na EFF ambazo ni ngumu kwa ANC kuzitekeleza. In fact, the EFF has shown it's willingness to co-govern with the ANC but has demanded the deputy presidency position in...
  10. JUAN MANUEL

    UCHAGUZI south Africa

    Matokeo ya uchaguzi yapo hadharani, dunia nzima inaona, kupitia Vyombo vya Jabari, BBC na Al Jazeera, Sasa tunataka ma CCM, yanayodai ANC ni chama rafiki Yao, watuambie, kwenye uchaguzi wa 2020,walipata ngapi, samia na yule shetani wa chato,
  11. econonist

    Nilichojifunza kwenye Uchaguzi wa South Africa

    Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo: 1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni. Kwa mfano chama Cha Julius Malema kimeshindwa kuungwa mkono kwa pale alipoleta sera ya kufungua...
  12. BARD AI

    Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini: Upigaji Kura umeanza leo, 32% ya Wananchi hawana Ajira

    UPDATE: Kati ya Takriban watu Milioni 27.79 waliojiandikisha kushiriki Uchaguzi Mkuu leo Mei 29, 2024 zaidi ya 17,000 ni Wafungwa ambao wamesajiliwa kutoka katika Magereza 240 Nchini humo Kura zinaendelea kupigwa katika Gereza la Kgosi Mampuru, Pretoria, lenye wapiga kura waliosajiliwa 2,908...
  13. Dr Matola PhD

    Mzazi kama una kijana South Africa hasomeki, Tafadhali mama mkanye mwanao

    Kuna wimbi la vijana wa hovyo panya road typical hatimaye wametinga kwa Kaburu. Kuna wimbi la vijana panya road type sasa wamevuka mipaka wameanza kuwakaba mpaka Watanzania wenzao na wengine wakishavuta bangi zao hujiona ni Wamarekani na kujipost wakiwa na silaha za moto. Sasa azimio ni moja...
  14. ipyax

    Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

    Kupitia uzi huu nitakuwa napost magari ya aina tofauti yanayopatikana South Africa na bei zake. Kama ikitokea mtu yuko interested tutawasiliana ili kujua jinsi ya kukuwezesha kununua gari uitakayo. Nitakua na post gari ambazo zipo kwa dealerships pamoja na ambazo zinauzwa na watu binafsi kwa...
  15. J

    Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  16. M

    Aziz Ki kawavutia sana mashabiki wa mpira huko South Africa

    Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
  17. Dr Matola PhD

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  18. Dr Matola PhD

    Kocha wa Mamelodi asikitishwa timu yake kukosa support ya mashabiki wa Afrika Kusini

    Kocha wa Mamelodi Sundowns ametoa la moyoni kwenye media za South Africa akielezea kusikitishwa kwake Kwa timu Yao kukosa support ya mashabiki mpaka kufikia wanachukua ubingwa wa PSL last season uwanja ukiwa empty. Katika Kile kinachoonekana dhahiri Leo tena Mamelodi wanacheza kama hawapo...
  19. GENTAMYCINE

    Leo nawaomba tuweke Utani wetu pembeni hivi kweli kabisa tunaamini Simba na Yanga zitatoboa CAFCL Kesho Egpyt na South Africa?

    Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
  20. D

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Afrika Kusini ubadilishwe, kwa Miaka sasa amna kitu wanafanya

    1. Kuna ndugu alifaliki SA back then, yani tunajua Mefariki kwa kutumiwa picha na anatafutwa ajulikani for a month and so, gari lake likekutwa limepata ajali. mwili aupo, damu tu. Tulihustle sana balozi bila bila. Amna hata coperation. Any way. TUKIO YA LEO YANGA KUKWAMA: same same senerio...
Back
Top Bottom