Hello jf members
Angekuwa mtu mngine humu angeshatangaza mitandaoni kwamba anaelekea South Africa.
Ila mimi naenda kimyakimya.
Nitakuwa nanotice na kuwajuza mambo ya tofauti nayo experience.
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.
Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.
Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
Kwa Madiba kuna mambo,
Jamaa amefanya kitendo cha kinyama sana kuutoa uhai wa mtu mwingine bila hata chembe ya huruma
Muuaji alikua na bifu na Marehemu na alimfuata mpaka sehemu ya kazi kulianzisha, aliingia na visu viwili kimoja kikubwa na kingine kidogo kwaajili ya kutekeleza mauaji hayo...
Waziri wa Uchukuzi wa Afrika Kusini, Sindisiwe Chikunga amesimulia tukio la kuibiwa wa kusema wezi walimtishia kwa kumuwekea bastola kichwani kisha wakamuibia wakati alipokuwa akibadilisha tairi la gari lililopasuka Jijini Johannesburg.
Amesema wezi waliwafamia wakati walinzi wake wakibadilisha...
Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania.
Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano.
Na...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi na viongozi mbalimbali waandamizi wa Ubalozi wa...
Heshima zenu wakuu!
Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko.
Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda wapi? Ukinunua sawa ila tahadhari ndio hiyo.
Natumai mko vyema ndani ya hili jukwa pendwa la Jamii Forums. Ngoja niende moja kwa moja kwenye shina la huu uzii.
Chapter 1 Namibia.
Toka mwaka uanze nilikua nimebanwa sana na majukumu ya utafutaji ukizingatia sisi tuliochukua njia za kujiajiri huwa tunapitia mengi sana wakati mwengine...
Habari za leo waungwana.
Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko
Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara, usalama na matengenezo ( japo nimeambiwa gari ambayo haijatumika sana hugharamiki sana matengezo au...
Mlinda mlango wa Simba, Aishi Manula amefanyiwa upasuaji wa nyama za paja katika Hospital ya Netvare Linksfield 🇿🇦
Kwa mijibu wa daktari wa Simba amesema kwa sasa ni mapema kusema Manula atakaa nje kwa muda gani mpaka pale watakapohudhuria kliniki ya mwisho kesho Ijumaa.
Wito tayari umetolewa huko Bondeni kuwa wageni hawatakiwi baada ya tarehe 01.06.2023. Waambieni ndugu zetu huko wachukue tahadhari kabla ya hatari.
Vinginevyo, warudi nyumbani tuuze malonya Kariakoo.
😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭
Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine.
Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la Fley.
Ndugu yetu Mohammed amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi...
Balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety alisema siku ya Alhamisi Tarehe 11 May 2023 kuwa ana uhakika kwamba meli ya Urusi chini ya vikwazo vya Marekani ilichukua silaha kutoka kambi ya Simon's Town mwezi Disemba, akipendekeza uhamisho huo hauendani na msimamo wa Pretoria wa...
Habari wadau!
Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini
1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k.
Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k?
2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.