Spika Ndugai sasa baada ya kuona bunge limekuwa na mazuzu amekuwa kama kiongozi wa wapinzani bungeni. Kila topic inaingilia na kusema mara kwa mara nipo disappointed kwa mawaziri.
Huu ndiyo ubaya wa kuwa na bunge feki kiasi kwamba ilibidi anunue wabunge waliofukuzwa chama.
Hii haisaidii nchi...
Tangu 2016 hadi 2021 nimesikia Spika analaumiwa na yeye akiwa ndani ya Bunge analalamika hata akialikwa kwenye tukio kama mgeni Rasmi analalamika hadi anaongea nje ya mada ya tukio husika.
Vigezo vya kuwa Spika ni dhaifu au mfumo mbovu wakumpata Spika?
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri
Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa.
Ndugai alitoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 wakati...
Haingii akilini kwamba bunge linatumia muda mwingi kujadili sehemu ya kazi za mbunge. Eti Gwajima Mbunge, anajadiliwa kwa kuhoji maamuzi ya serikali
Eti Silaa Mbunge, anajadiliwa kwa kusema anachohisi ni ukwepaji kodi kwa wabunge! Sasa kinachoendelea ni muendelezo wa kuhojiwa na kamati baada ya...
Bunge limekuwa dhaifu. Aliwahi kuyasema haya Prof. Assad.
Bunge limekuwa kibogoyo. Aliwahi kuyasema haya mwandishi na mchambuzi mkongwe wa masuala ya kisiasa Pascal Mayalla.
Maneno ya nguli hawa yanajidhihirisha sasa. Nitatoa mifano michache tu.
Moja. Yeye mwenyewe amewahi kukiri kwa kinywa...
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel
Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
Nafurahi ninapoona mihimili inakinzana na hii inaonesha kweli Kuna separation of power.
Nimeshangaa Leo Spika anamlaumu Siro kwa kutokumkamata Gwajima, na ametishia kuwaleta maadili Siro Waziri wa Mambo ya Ndani na Mwanasheria Mkuu, hii ni nzuri kwakuwa mihimili Sasa inanguvu sawa, ndo...
Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu
Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...?
Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya bunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu zaidi ya kusikia...
Wengi mnajua jinsi Spika Job Ndugai alivyokuwa 'akiwashughulikia' Wabunge wa Upinzani wakati ule wa Mwendazake. Alikuwa akitimiza agizo la 'kuwashughulikia' wapinzani ndani ya Bunge huku kazi ya kuwashughulikia nje ya Bunge ikifanywa kwa ustadi mkubwa na Mwendazake mwenyewe. Walengwa wakuu...
Maisha ni safari ndefu
Pichani Mheshimiwa Naibu Spika Dkt Tulia Ackson akiwa bado mdogo
Hongera sana Mheshimiwa kwa kuchapa kazi
Source: Her Facebook Page
Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu!
Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila...
Habari Wakuu. Kuna hizi loud speaker ndogo ya kushika mkononi ambazo kwa mfano ukienda sokoni wafanyabiashara huzitumia kutangazia bidhaa zao au wengine hupita nazo mitaani kutangaza kwa mfano dawa za kuua wadudu.
Nipo Arusha nimejaribu kuulizia kwenye maduka kadhaa sikupata. Anayejua wapi...
Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria:
Vitisho hivi ni vya nini?
Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi.
Tuna hata haja ya kutunishia misuli?
Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
Niliona kundi kubwa la wansiasa waliowahi chanjo lakini nasikitika kwamba watu wawili ktk siasa za sasa hawakuonekana; Spika wa bunge letu, mzee wa presentation na mstaafu Kikwete, mzee wa bandari. Walikuwa wapi watu hawa wakati wenzao wanawahi viti?
Kama chanjo itafanya tunachotaka ikifanye...
Naombeni musikilize hotuba ya Ndugai kwa madiwani.
Sikilizeni anavyotetea suala la makato kwa njia ambayo binafsi nimeshindwa kuelewa kama hiyo ni hotuba ya mbunge au rais. Kwa ujumla utaona shida inakoanzia ni wapi. Huyu ni mbunge mzoefu, bado ana akili ya aina hii. Tunakwenda wapi na mbunge...
Nimeshangazwa sana na kauli ya spika wa bunge la JMT kupigia chapuo tozo za miamala ya simu kwa madai kuwa eti ni muhimu kwa maendeleo ya jimbo la Kongwa na taifa letu.
Mbaya zaidi anadai eti hana uhakika kama kuna vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuwakamua wananchi kupitia tozo za miamala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.