spika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Ushauri: Wabunge bila kumuondoa Spika/Naibu Spika hamtaheshimika kwa wananchi na hata Rais

    Waheshimiwa wabunge mmekuwa mkiburuzwa na kiti cha Spika bila kujua yeye hana chakupoteza 2025. Kwani ni automatic ni mstaafu. Hivyo anajikomba kwa Rais kuwa mstaafu mtarajiwa mwema huku akiwaharibia ninyi. Ushauri: Pigeni kura za siri zakutokuwa na Imani na kiti cha Spika/Naibu wake ili...
  2. dudus

    Kinga ya Kutoshtakiwa Spika na Naibu Spika na Utamaduni wa Mabunge ya Commonwealth

    Wadau! Kama mjuavyo, kikatiba ni Mh. Rais wa nchi pekee aliyekuwa na kinga ya kutoshtakiwa. Lakini kwa siku za hivi karibuni listi imeongezwa kidogo ambapo MR, WM, JM, Spika na NS nao wana kinga ya kutoshtakiwa hata watakapokuwa wamestaafu. In short, ni "kinga ya maisha". Kama tunavyojua...
  3. P

    WAANDISHI WA HABARI;Hojianeni na Spika Ndugai.Malalamiko ya wananchi chanzo bungeni.

    M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi. Vipo vyanzo vingi vya tuhuma zenye ukakasi kupitia kiti chake, Mfano kuwatisha wabunge kupitisha bajeti. Kuapa...
  4. P

    SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

    Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu. Mwananchi analalamika. Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%. Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi? Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika? Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
  5. B

    Spika Ndugai anapoonya ulevi wa madaraka wakati yeye yako juu ya katiba unamchukuliaje?

    Binafsi huwa simuelewi
  6. comte

    Mitandao na CHADEMA 0 vs Spika 2 mechi inaendelea

    CHADEMA na wanaharakati wanamdharau na kupuuza ushauri wa Spika. 1. kwenye suala la akina Mh. Mdee kawashauri nini cha kufanya mnampuuuza nao wanaendelea kubaki bungeni GOOAL. 2. kwenye suala la Mh. Lissu kawashauri nini cha kufanya mkampuuza sasa mnaleta oh Lissu analipwa matilioni- kawambia...
  7. P

    Spika Ndugai, mtumie Katibu wa Bunge kwa majukumu yanayomhusu

    Mh SPIKA, Bunge ni mhimili wenye idara na vitengo ndani ya ofisi ya Bunge. Mh SPIKA, Katibu wa Bunge anaweza kutolea ufafanuzi wa jambo la utendaji wa ofisi ya Bunge inapohitajika kwa waandishi wa Bunge. Mh SPIKA, Mambo ya malipo halali/si halali wajibu watu wa ofisi ya Bunge/Hazina au Katibu...
  8. Nigrastratatract nerve

    Spika Ndugai adai tena kuwa Lissu alishalipwa pesa zake zote

    SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge...
  9. Replica

    Watu kuuawa kwenye Hifadhi laibuka Bungeni, Spika amwambia Ndumbaro alikuwepo Kagesheki kabla yake Akaondolewa na Kamati

    Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke ======== Spika wa Bunge la Tanzania, Job...
  10. Q

    Spika Ndugai: Mkiniona naharibu alaumiwe Makinda

    Kauli hiyo ameitoa Bungeni Dodoma, jana jioni Juni 10, 2021, wakati akimkaribisha Bungeni, na kuongeza kuwa Mama Makinda, amekuwa ni mwalimu wake kwa kipindi kirefu tangu alipoingia Bungeni kwa mara ya kwanza. "Mama Makinda amekaa humu Bungeni takribani miaka 40 hii rekodi siyo rahisi na yeye...
  11. Sky Eclat

    Spika wa Bunge, Job Ndugai anamuomba Rais aitishe Kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Alhamis, bungeni Dodoma, amemwomba Rais wa Tanzania, Suluhu Samia kuitisha Kikao Maalum cha Wanaume pekee ili kuwawezesha kujadilia masuala mbalimbali yanayowahusu. “tunaomba Rais aite mkutano wa wanaume tu.” Nini Maoni yako?
  12. Idugunde

    Spika Ndugai: Tunaomba Rais aitishe kikao cha Wanaume tu

    Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaka kuanzishwa kwa dawati la wanaume ambalo litakuwa linashughulikia changamoto wanazokumbana nazo wanaume. Amesema kwa sasa mkazo umekuwa zaidi kwa wanawake, watu wakidhani wanaume wapo salama, jambo ambalo si sahihi. "Tutamuomba Mhe.Rais siku nyingine aite...
  13. S

    Wabunge na mavazi yao sio jambo katika Taifa la leo

    Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina maslahi yoyote kwa taifa , ikifika mbele mpaka NGO moja ikaandika taarifa ya kulaumu kama vile...
  14. msovero

    Nakubaliana na hoja ya Spika: Serikali iajiri walimu wengi wa kiume kuliko wanawake

    Juzi spika aligusia kidogo suala la ajira kwa walimu na kuishauri serikali kutoa kipaumbele cha ajira kwa walimu wengi wa kiume kuliko wanawake. Hoja ya spika ina mashiko kwa sababu nature 'asili' ya wanawake wengi hupenda raha na sio wavumilivu wa mazingira magumu. Kwakuwa uhitaji wa walimu...
  15. P

    Less government ya Spika Ndugai naiona imekaa kisiasa zaidi, Serikali ndogo kwa sasa hatuiwezi

    Nimeitazama ile video ya Mheshimiwa Job Ndugai inayotembea mtandaoni, anasema serikali ipunguze kuingilia kila kitu. Anatua maneno watu waachwe wajinafasi na sio kila wakipita wanakutana na mkono wa Serikali. Kikatumika kingereza akisema maneno 'Less Government' akimaanisha kupungua kwa uwepo...
  16. N

    Spika umenena kweli kuhusu Bunge kufuatilia ajira lakini kwanini ni baada ya awamu ya tano?

    Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale. Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
  17. kavulata

    Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

    ====== Speaker wa bunge,Job Ndugai " Government intervention inatakiwa ndio iwepo lakini minimal, yaani katika nchi za wenzetu nchi zilizoendelea kampeni moja wapo katika uchaguzi mkuu ni kitu kinaitwa less Government yaani less Government katika maisha ya watu sio ukigeuka serikali, ukigeuka...
  18. J

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  19. J

    Spika Ndugai anawatafuta Tundu Lissu na Zitto Kabwe Bungeni hawaoni, wapo akina Nusrat Hanje

    Ukimsikiliza sana Spika Ndugai anavyohuzunikia bunge lake ni kana kwamba anawatafuta wabunge wa " kujiripua" dhidi ya Serikali lakini hawaoni waliomo wote ni maajenti wa Serikali. Na itawezekana Ndugai ataweweseka zaidi kwa sababu akina Lembeli ambao walau waliisaidia CCM kuibana serikali...
  20. J

    Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu. Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote. Source: Channel ten
Back
Top Bottom