Nimeamua kuhamia jukwaa la siasa
Sasa
Napumzika ubishi wa Simba na Yanga
Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa
Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa
Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu
Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu
Mijadala ya...
Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan Dortimund naye nika mpa kusinda na Man City nikampa kushinda.
Sasa hadi kipindi...
Habari za muda huu, wakuu tokea tarehe 1/8/2024 kwenye tv yangu hazionyeshi kabisa channels hizi Azam sport 1 HD, Sport 2 HD, na hata sport 3 HD.
Zipo ila zinaonyesha kama sijalipa wakati nimelipa package tayari.
Na nimejaribu kuwapigia Azam customers call center wahapatikani kabisa.
Tatizo...
Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru.
Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli
PIA SOMA
- Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
Habari zenu wana JF.
Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims.
Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or mbili kwa mwaka. Nasikia hizi sport rims za dukani huwezi tumia katika route ndefu.Je kuna ukweli...
Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka.
Video imeambatanisha.
NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
Kuelekea mechi dhidi ya Yanga SC
"Kwa aina yetu ya uchezaji tunastahili kupata sapoti kubwa kuliko tunayopata. Msimu uliopita tulishinda Ubingwa wa ligi lakini uwanja ulikuwa mtupu.
"Tunahitaji kelele zaidi, watu wengi zaidi kwenye siti (Uwanjani) na kwa kweli nafikiri tunastahili kwa sababu...
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.
Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot...
Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri
Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa
Moderator mrudisheni
Klabu ya ligi Kuu ya NBC YA Simba imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho.
Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya klabu hiyo kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo...
Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini...
Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani
Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno.
Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano.
Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi.
Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani".
Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe...
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika
"Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.