sport

  1. S

    Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

    Wadau mambo ni vp? kuna hii kitu inaandikwa CVT SPORT katika magari baadhi, naomba kujuzwa ni nn? kazi yake nn? inatakiwa kutumika wap?
  2. T

    Sports Arena: Kipindi cha hovyo kabisa!

    Pasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinachojiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga Simba tu.
  3. H

    Uwekezaji Simba, Mo ahoji mtu mwenye akili timamu anaweza kufikiri yeye atashindwa bilioni 20?

    Leo kutakuwa na interview kubwa kabisa itawakutanisha miamba mitatu kwenye sport na music kwa pamoja Msanii number 1 wa Tanzania, Msemaji no 1 wa mabingwa Simba sports club na Tajiri Mohamed (mo) kwenye kipindi Cha sports Arena Cha Wasafi FM stay turned. Moja ya mambo yanayotarajiwa...
  4. Ituzaingo Argentina

    Waarabu sio watu wa mchezo, itachukua muda sana kuwafikia. Sasa wanasajili wachezaji kutoka UK

    Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Huddersfield Town ya Uingereza kwa dau la Dola milioni 5 (Bilioni 11.620 Tshs) Mkataba wa mkopo wa Sobhi...
  5. RAKI BIG

    JF SPORTS ARENA | Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona!

    Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama. (ESPN) Chelsea imemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Leicester Ben Chilwell, 23, katika mpango...
  6. H

    Nawapongeza Sport Arena ya Wasafi FM kwenye hili

    Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia pass alizopiga, interception alizofanya, loss pass na maeneo mengine. Hili litasaidia kukuza soka...
  7. N0len

    What is your favorite sport?

    what is your favorite sport? I used to play a lot of football, when was young. now that I have grown up, in work and family, I rare play like in the good old days. but the interest remained and now I watch every match on TV. and you, what sport sunk in soul?
  8. H

    Leo ndiyo uzinduzi wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM

    Leo ndiyo uzinduzi mkubwa wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM chini ya CEO Diamond Platnumz ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, lakini pia kitahudhuriwa na mastaa wa Bongo, wadau wa michezo na wadau wa habari na makampuni mbalimbali.
Back
Top Bottom