Jezi ya Rais wa Heshima wa klabu, Mohamed Dewji 'Mo' imeuzwa Sh. 2,000,000 na Duka la Vifaa la Michezo la
Romario Sports katika mnada unaoendelea katika Ofisi za Azam TV ikiwa ni ahadi tuliyoitoa kabla ya kupelewa kilele cha Mlima Kilimanjaro Julai 21, 2023.
Jezi ya Rais wa Zanzibar na...
Yanga yalamba bonasi ya milioni 405, kutoka Sportpesa, kwa kumaliza Mabingwa wa Ngao ya jamii, Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho bara na kufikia hatua ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho la Shirikisho la soka barani Afrika CAF.
Official, Golikipa wa Tottenham na Nahodha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Hugo Lloris amestaafu kucheza soka la kimataifa.
Hugo ameichezea Ufaransa Michezo 145 akifanikiwa kufika fainali mbili mfululizo za kombe la Dunia na kushinda 1.
Hivyo baada ya kustaafu Kylian Mbappe ndiye atakuwa Nahodha...
Kipindi kimekosa mvuto kabisa, kimekuwa kipindi cha majungu, tunakumbuka jana hoja kubwa ilikuwa ni tukio la Yanga kutangaza CEO mpya na Afisa habari wake lakini cha kushangaza kipindi kizima kilijikita kwenye malumbano ya mijinga kabisa, wamejikita kwenye hojabdhaifu kabisa eti Manara hajawahi...
za mda huu waku hapa, nimekuwa nikiona watu wanafungua office ya kubetisha kama gal sport na nyingine kama hizo, kama kuna mtu anajua taratibu zake za kufata na namna ya kupata faida naomba anielekeze hapa
Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu.
Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae...
Yanga leo inakwenda kuweka historia nyingene, Futilia live hapa
Ni mKataba wenye thamani ya tshs bilioni 12 na Milioni 300 kwa miaka 3, Kila Mwaka Yanga itakuwa inapata bilioni nne, pia yanga akichukuwa ligi milioni 150, na ikifika Fainali FA itapata Tshs Milioni 75.
---
Mabingwa wa...
➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo
➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
Wiki hii hapa kazini CMG tumepewa taarifa kwamba Barbra Hassan kamaliza sabbatical leave hivyo anarudi kwenye pindi lake hivyo kumfanya dj Fetty kwenda kukiwasha sports extra. Wakuu yapi maoni yenu. Tuko na Kusaga hapa anasoma maoni.
Wachezaji wa Simba nyie ndio mnaoiwakilisha Tanzania, serikali ipo nyuma yenu, wananchi wapo nyuma yenu hivyo ushindi wenu ni ushindi wa nchi!
Pirate ni timu ya kawaida sana na mtawamudu mpaka hawataamini!
Do or Die in South Africa!
.Manula
.Kapombe
.Inonga
.Shambalala
.Onyango
.Kibu
.PO Sacko...
Nimeangalia mechi ya leo ya simba akiwa ugenini pale ushirika moshi akicheza na mwenyeji wake polisi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kiuhalisia na ukweli usiofichika simba tuna tatzo la wafungaji/wamaliziaji. Mfungaji anakimbia kabla mpira haujapigwa au anashindwa kusoma position...
1. Geita gold
2.Kagera sugar
3.Simba
4.Young Africans sc
5. Pamba fc
6. Coastal union
7.Polisi Tanzania
8.Azam fc
Unatamani timu gani zikutane? Mimi natamani tukutane na watoto wa rose mhando
Sport Fishing ni Uvuvi wa Samaki katika bahari, Maji ya ziwa, bwawa au mto Kwa ajili ya kujifurahisha, burudani au Mashindano. Hii ni aina tofauti na Uvuvi wa Samaki wa biashara na kujikimu, huu ni rahisi Sana mtu anayevua anaweza akawa kwenye Boti ndogo au pembezoni mwa bahari/Ziwa/bwawa/mto...
Sisi wana simba tunapenda mambo mazuri ya kisasa. Ninapenda kuwaletea wanandugu Concept ya uwanja wetu tutaotegemea kuanza kuujenga mwaka 2022.
Ruhusa Utopolo kumwaga povu.
Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari...
Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye?
Kama kweli una uhakika kamba yako huwa inakatwa na yule kijana mliyeitwa naye stars ya sasa ni bora ukajitoa kwa maslah mapana ya club...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.