sport

  1. Natangaza kuhama Kwa muda jamii sport

    Nimeamua kuhamia jukwaa la siasa Sasa Napumzika ubishi wa Simba na Yanga Nataka nianze kujadili mawazo mazito ya siasa Nina akili na maarifa makubwa ambayo yanaweza kusaidia Taifa Tujadili uchaguzi na maendeleo ya Taifa letu Tujadili rasimali zetu zinazopotea midomoni mwa mbwa mwitu Mijadala ya...
  2. Hivi kumbe SportPesa ni wahuni kiasi hiki?

    Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda zidi ya Ac Milan Dortimund naye nika mpa kusinda na Man City nikampa kushinda. Sasa hadi kipindi...
  3. V

    Hizi channel za Azam sport HD zimepotelea wapi?

    Habari za muda huu, wakuu tokea tarehe 1/8/2024 kwenye tv yangu hazionyeshi kabisa channels hizi Azam sport 1 HD, Sport 2 HD, na hata sport 3 HD. Zipo ila zinaonyesha kama sijalipa wakati nimelipa package tayari. Na nimejaribu kuwapigia Azam customers call center wahapatikani kabisa. Tatizo...
  4. Kama ni Mpenzi wa Basket Ball,Angalia super sport 3.Bonge la game USA Vs South Sudan-Olympics in Paris

    Ni game Kali Wote wanamiili mikubwa na warefu. Enjoy the game
  5. D

    Sofyan Amrabat ndani ya simba sc. πŸ˜‚πŸ˜‚

    kazini kwa Mzamiru kuna kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ simba wamejipata #chekakisport
  6. Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
  7. Nahitaji kubadilisha Sport rims za gari yangu

    Habari zenu wana JF. Nahitaji badilisha rim za kwenye gari yangu zilokuja from Japan na kuweka hizi alloy wheels or sport rims. Gari yangu ni porte na huwa nasafiri kwenda mkoa mara moja or mbili kwa mwaka. Nasikia hizi sport rims za dukani huwezi tumia katika route ndefu.Je kuna ukweli...
  8. Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video imeambatanisha. NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
  9. Kocha Mamelodi: Hatustahili tunachokipata kwa mashabiki

    Kuelekea mechi dhidi ya Yanga SC "Kwa aina yetu ya uchezaji tunastahili kupata sapoti kubwa kuliko tunayopata. Msimu uliopita tulishinda Ubingwa wa ligi lakini uwanja ulikuwa mtupu. "Tunahitaji kelele zaidi, watu wengi zaidi kwenye siti (Uwanjani) na kwa kweli nafikiri tunastahili kwa sababu...
  10. Kitaalamu hii tunaitaje?

    Hii tunaitaje kitaalamu zaidi?
  11. M

    Je, inawezekana kutajirika kupitia kubeti kwenye michezo?

    Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha. Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot...
  12. Gentamycine arudishwe jukwaa la sport limepoa na linaboa

    Moderator fanyie kazi hili swala jukwaa limepoa sana halina vionjo vyovyote vile na vijembe kitu ambacho ni kizuri Mfano kipindi cha usajili wa ligi ya bongo ukija kwenye jukwaa mpaka unakereka limepoa Moderator mrudisheni
  13. Simba Sport Club yafungiwa kusajili kisa Pape Ousmane Sakho

    Klabu ya ligi Kuu ya NBC YA Simba imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya klabu hiyo kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo...
  14. Jonas Mkude aishtaki Mohammed Enterprises kwa kutumia picha yake bila idhini, adai fidia Tsh. Bilioni 1

    Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Jonas Mkude amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akiidai Kampuni ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited (METL) fidia ya Sh 1 bilioni kwa kutumia picha zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwemo Instagram na Twitter (sasa X) bila idhini...
  15. Naomba msaada wa kufanya Configuration ya TV Box aina ya D Sport D1

    ...
  16. J

    Waumini Wamzawadia gari mpya Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Shoo

    Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dr Shoo amekabidhiwa gari mpya Toyota Landcruiser ya Mwaka 2023 mpya kabisa 0 km iliyonunuliwa kiwandani Ahadi ya kumnunulia Zawadi ya gari ilitolewa kwenye misa ya shukrani ya Mchungaji Dkt. Kimaro ambapo Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Siasa na...
  17. FT: Azam FC 2 - 1 Singida Fountain | NBC Premier League | Azam Complex | 21.09.2023

    Azam Football Club vs Singida Fountain Gate START : 1900 2ND :Azam FC 1-1 Singida FG 2nd Half.
  18. Sport extra; huyu dada anayereport habari kutokea Ufaransa ni mwanahabari kweli?

    Kiukweli ana uwasilishaji mbovu mno. Anarudia rudia kitu kimoja hata mara tano. Halafu na wao huwa sioni uhimu wa yeye kutoa taarifa tena maana ni kama tu anarudia kile ambacho wakina Lwambano wameshareport.
  19. Angekuwepo Marehemu Malik wa AFRICAN Sport ya Tanga " angecheza" peke yake mechi ya kesho kwa sababu alikuwa anawamudu sana Simba

    Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi. Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani". Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe...
  20. MO Dewji: Nimetoa Bilioni 3 Kukamilisha Usajili Simba

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba Mo Dewji ameandika "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme β€˜Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…