Winga ya Kushoto Emanuel Okwi, Winga ya Kulia Bernard Morisson, Central Striker Justine Shonga na chini yao kuna Clatous Chama Mwamba.
Kuna Watu Kipindi hiki cha Mapumziko ya CORONA walikuwa wakitamba sana na Usajili sasa ndiyo mtatujua vyema hasa Simba SC ya Mo Dewji.
Nasikia Mbezi kuna sehemu inaitwa Msigani, Kwa God na Mbezi Luxury,
Kuna Kiwanja gani kingine maeneo ya Mbezi maana week kesho kutwa napata likizo ya kuwa Tanzania kwa miezi 2.
Tupeane information wakuu.
Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona
Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama. (ESPN)
Chelsea imemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Leicester Ben Chilwell, 23, katika mpango...
Nimemjua Abdulkarim maarufu kwa jina la Bujji kwa kumsikia kwa muda mrefu kabla ya kukutananae uso kwa macho na sababu ya kumsikia kwa muda mrefu ni kuwa nilikuwa nikifuatilia siasa za Mafia katika chaguzi za vyama vya siasa mpashaji wangu mkubwa akiwa rafiki yangu Baku, mtu maarufu kisiwani...
SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama.
Mwakalebela amesema alitoa kauli hiyo kama sehemu ya utani wa jadi dhidi ya Simba baada ya kuwepo kwa...
Baada ya Haji Manara kuweka Wazi Bei ya ' Kumng'oa ' Simba Sports Club Mchezaji ' Mahiri ' na ' Mtaalam ' kabisa akiwa ndiyo ' Play Maker ' Clatous Chota Chama kuwa ni kati ya Dola za Kimarekani 350,000 hadi 400,000 ambazo ni sawa na Shilingi Milioni 850 hadi Milioni 900 wale ' Wapuuzi Mafuriko...
Basi la Kampuni ya Bilo Sports linalofanya Safari zake za Bukoba kwenda Dar Es Salaam limeshikiliwa na Askari polisi kwa madai kuwa Moja wa abiria wake anahofiwa kuwa na Virusi vya Corona hivyo kwa Muda Wote huo hakuna Abiria aliyeruhusiwa kushuka ndani ya Basi
Nimetonywa na watu wa ndani kabisa kutoka katika klabu ambayo Simba Sports Club inaenda kucheza nayo tarehe 8 March 2020 ambayo hadi hivi sasa Mzukulu naona kuna Goli Mbili (2) ambazo zote zitafungwa katika kila kipindi kwa hiyo Klabu kuwa kuna hujuma kubwa (umafia) ambao wanapanga Kufanya hasa...
Muda mfupi baada ya Simba kupoteza fainali ya kombe la mapinduzi dhidi ya Mtibwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba ametangaza kujiuzulu katika nafasi hiyo na kubaki kuwa mwekezaji tu.
======
UPDATES:
========
Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa...
Leo ilikuwa ni fainali ya Kombe la Mapinduzi. Mlijiamini kwa asilimia 100 kuwa kombe mnalibeba mkasahau kuwa mpira ni dakika tisini. Poleni sana. Binafsi naona kuwa mlifanya uamuzi usio wa busara kwa kuachana na Kocha Patrick Aussems.
Kocha huyu mlieachana naye alikuwa anajua kuusoma mpira na...
Msanii nguli wa kimataifa diamond platnumz a.k.a baba lao and CEO wa WASAFI MEDIA akihojiwa na sports arena baada ya kurudi kutoka misri kwenye tuzo za CAF mahojiano Kama ifuatavyo
Mtangazaji: kwanii una connection nyingi za kufanya show kubwa
Diamond:Africa Kuna wasanii wengi Sana na niwazuri...
Mshindi wa tuzo la IAAF, la mwanariadha bora duniani, mwaka wa 2018 na 2019 pia. Ambaye ndio mshindi wa Laures Exceptional Achievement Award 2019 na Elder of the Order of the Golden Award of Kenya, mwanariadha Eliud Kipchoge ameteuliwa tena, kuwania tuzo la BBC Sports Personality of the Year...
Nimezifuatilia sababu za baadhi ya Viongozi wa Simba SC na Mashabiki ' Wapuuzi ' wachache juu ya sababu zao kutaka Kocha Mkuu wa Simba SC Patrick Aussems aondoke na Kugundua kuwa zote ni za Kipopoma. Moja ya sababu ambayo hadi hivi sasa imeniacha hoi ni kwamba baadhi ya Viongozi hawamtaki Kocha...
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie...
Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia kwa kitendo Cha kuwashusha kwa helikopta watangazaji waliowasajili lakini kuwepo kwa red carpet na...
Bill Shankly
KILA mtu aliamini hatuendi popote, wengi walitarajia kuona tunashindwa kufuzu hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2004/05.
Njia yetu ilikua ni ngumu, kundi letu lilishageuka shubiri kwetu, hatukua na matumaini tena.
Tulikua tupo na Monaco, Olyimpiacos na...
Sio Siri Tena alikiba ni mchezaji mpira wa coastal union nilipopata habari sikuelewa . Lakini nilipomsikiliza Mwenyewe akieleza nia yake kwenye interview ya Azam tv nikatambua kuwa ana uwezo ya kutimiza ndoto yake.tokea leo mimi ni shabiki number moja wa coastal union . Nitanunua jezi lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.