stendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. wilcoxon

    Hali ilivyo Stendi Kuu ya mabasi Chato

    Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
  2. BARD AI

    Utaratibu wa kuingia stendi ya Magufuli kwa Kadi walalamikiwa kuchelewesha abiria

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu tangu Manispaa ya Ubungo, ianze utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya mabasi ya Magufuli, mfumo huo umelalamikiwa kuchelewesha abiria, huku baadhi ya madereva nao wakilalamikia ucheleweshaji wa safari zao. Hatua ya matumizi ya N- Card yalianza...
  3. Msanii

    Agizo la Waziri kuruhusu Mabasi kutoingia stendi ni kuwanyima Halmashauri vyanzo vya mapato

    Ninaangalia hapa kitindi cha Chetu ni Chetu kupitia ITV, naona malalamiko ya wafanyabiashara wadogo ndani ya stendi ya Igunga wakilalamikia agizo la Waziri wa Uchukuzi kuruhusu mabasi yanayosafirisha abiria kutotumia stendi za Halmashauri zilizojengwa kwa fedha ya kodi zetu. Athari zake pamoja...
  4. JanguKamaJangu

    Abiria kulipa ushuru kwa kadi getini Stendi ya Magufuli hata kama ana tiketi

    Manispaa ya Ubungo, imeanzisha utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya kimataifa ya mabasi ya Magufuli ili kudhibiti upotevu wa mapato kwa abiria wanaoingia katika kituo hicho kilichopo Mbezi Luis. Hatua ya matumizi ya N- Card iliyoanza leo Jumatatu Februari 20, 2023 imelenga pia...
  5. JanguKamaJangu

    Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ni chafu sana, Mbunge wetu hawezi kujua hilo ana mambo mengi

    Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi. Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
  6. K

    Manispaa ya Kinondoni hamtendi haki katika Ujenzi wa Stendi ya Mwenge, mnabomoa miundombinu mali ya Kanisa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Manispaa ya Kinondoni imeonesha ubaguzi wa Hali ya juu, hii imetokea katika Mradi wa ujenzi wa Stand Mpya inayojengwa eneo la Mwenge Dar es Salaam, ambapo katika eneo hilo taasisi Mbili za kiislam na kikristo zinamiliki maeneo ya Ibada. Picha na video ni matukio ya...
  7. Nyamwage

    Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Hi, Sikuhitaji anishukuru wala sikuhitaji anilipe hapana ila mikausho aliyo nionyesha kwa kweli ameninyanyasa kihisia. Nilikua natoka Mwanza nakuja Dar niliwahi mapema sana kufika pale ofisini kwao yanakolala magari panaitwa Nata nikapanda nika kaa kwenye seat yangu ilikua msitari wa tatu...
  8. Intelligence Justice

    Mfanyabiashara gani amepewa kibali kujenga kituo cha mafuta ndani ya stendi ya Msamvu?

    Kama mada inavyojitabaisha, upande wa kaskazini mwa stendi ya ya mabasi ya mikoani hapo Msamvu Morogoro kuna kituo cha mafuta kinajengwa humo ndani ya uzio eneo ambalo lilitakiwa iwe vizimba vya wajasiriamali wadogo na mama lishe lakini limegawiwa kwa mtu ambaye inasemekana ana nguvu za kiuchumi...
  9. K

    Kero Stendi Kuu ya Moshi

    Nimesoma taarifa ya kero stendi ya Moshi, mkoani Kilimanjaro na nimeona hao viongozi wa mji ni bure kabisa. Watu wananyang'anywa mizigo, kukatiwa tiketi nje ya ofisi, tena mtu mmoja anakata tiketi kwa mabasi hadi saba, wakiwa wamelewa, wachafu hawaogi, lugha za matusi, kupora pesa abiria...
  10. J

    Manyara: Bashungwa amvaa mkandarasi wa stendi ya Katesh

    BASHUNGWA AMVAA MKANDARASI WA STENDI YA KATESH - HANANG OR TAMISEMI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa hajaridhishwa na kasi ya ujenzi wa Kituo kipya cha Mabasi Katesh katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara...
  11. Zainab j

    Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

    Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta, Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba...
  12. Ego is the Enemy

    Serikali hizi tozo ni balaa. Nilichokiona Nyamhongolo stand ni wizi juu ya wizi

    Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti. Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma...
  13. chiembe

    Mkuu wa Mkoa, unaweza kuongeza chanzo cha mapato kwa kuweka kodi maalum kwa stendi binafsi na mabasi yao

    Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni. Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi ya Mbezi Magufuli, na wakitaka wanalipa in advance. Mchezo umekwisha. Ukiwa na stendi binafsi...
  14. J

    Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM Na OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa...
  15. MSAGA SUMU

    Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  16. 44mg44

    Kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo nauli ni kiasi gani?

    Mim ni mgeni wa jiji la Dar es salaam, nataka nijue nauli ya kutoka Stendi ya Magufuli mpaka Kariakoo ni kiasi gani? Mnaojua nifahamisheni maana saizi nipo njiani.
  17. Ushimen

    Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

    Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo. Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao. Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu...
  18. sky soldier

    Kariakoo kuna stendi ya karibu ya mabasi ya kwenda Mbeya ili kumtumia mtu mzigo?

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya. Mizigo ni kava za simu
  19. Linguistic

    Stendi Iliojengwa Kwa Fedha za Umma unapobadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada wa Kuchoma Mbuzi.

    Wakuu habari ya Jioni. . Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji. . Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
  20. Replica

    Bukoba waendelea kupigwa kalenda stendi kuu ya mabasi, Serikali yasema mpaka itafute fedha

    Pamoja na ukubwa na umaarufu wa Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla, mji ule hauna stendi inayoendana na jina lake, kuna eneo la wazi lenye vichochoro lukuki huku kukiwa hakuna urasmi wapi kwa kuingilia na kutokea pia nyakati za mvua hali ni mbaya. Leo bungeni, mbunge wa viti maalum, Neema...
Back
Top Bottom