Nimesoma taarifa ya kero stendi ya Moshi, mkoani Kilimanjaro na nimeona hao viongozi wa mji ni bure kabisa.
Watu wananyang'anywa mizigo, kukatiwa tiketi nje ya ofisi, tena mtu mmoja anakata tiketi kwa mabasi hadi saba, wakiwa wamelewa, wachafu hawaogi, lugha za matusi, kupora pesa abiria...