Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"!
Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho.
Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂
Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili?
Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
Wasomi wengi nchi hii elimu haijawasaidia, wapo baadhi na mimi binafsi wanyooshea mikono.
Makundi mawili elimu imewasaidia,
1. Walioamua kukaa pembeni na kufanya siasa. Ni katika kundi hilihili wanaharakati mbalimbali hawa Allah ataweka mbali na moto inshaalah. Hapa hawamo watu kama au jamii...
Uki stream DSTV HUWA HAINA TABIA YA KUSTUCK unakuta unatumia 4G speed ambayo una stream either kwa App au kwenye website kwa DSTV unachagua Highest Resolution na hai stuck.
But Azam Max au ukitumia website inakuwa na changamoto sana. Haipo smooth. Ina stuck sana. Iwe kwa simu au kwa laptop...
Toka zelewinsky akatae kuingia mkataba wa hovyo na Marekani wa kuwakabidhi maeneo yenye madini ya earth mineral, Marekani ameigeuzia kibao Ukraine na kudai kuwa Ukraine ndiyo chanzo cha mtafaruku na vita vinavyoendelea, infact dunia iliona jinsi Russia alivyokuwa anandaa majeshi mpaka anaanza...
Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣
wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu unalikuta linalipa hiyo kodi hata bima ya afya hana.
Mimi nakumbuka niliwahi kuachana na demu mmoja mseng&...
Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa).
Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
Maisha hayana formula, Mara nyingine kwenye Maisha yako omba Sana Bahati! Huwezi amini ndio huyu sasahivi anakaa meza moja na Wararabu kutoka Saudia, yeye ndio anaamua akate kipande kipi.
Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua.
Chanzo...
Ardhi karibu yote inayofaa kwa kwa Kilimo Namibia inamilikiwa na wazungu masalia ya wakoloni Wajerumani na makaburu wa Africa Kusini! Kizazi cha wakoloni ambacho ni 6% wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo Namibia! Huu ni wendawazimu.
Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu.
Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki.
2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi
Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga
Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
Mimi huwa nalia na watendaji na washauri wa mamlaka za juu. Imagine ziara ya Marais kuja mkutanoni Tz ilifahamika miezi kadhaa nyuma. Halafu taarifa ya kufunga shule na vyuo Jijini Dar imetolewa Usiku huu.
Kiutaratibu taarifa inatolewa na serikali then taasisi, shule na vyuo husika ndipo nao...
Habari za weekend wakuu?
Wakubwa leo bana,hr amenipa kazi ya kuwapigia baadhi ya candidates kwenye nafasi kama 4 za idara yetu kuwaalika kwenye usaili siku ya jumatatu,na haya ndio niliyoyaona nikajisemea tu hawa watu wako serious kweli?
1.Number nimepiga zaidi ya mara tatu hazipatikani...
Nimemuona Lissu anawashambulia sana akina Halima Mdee na wenzake badala ya kutengeneza Mazingira rafiki ya kurudisha wale Viongozi ambao CHADEMA imetumia muda wake mwingi kuwaandaa, na hasa ukichukulia toka wameisaliti hawajawahi kuisema vibaya Taasisi wala Viongozi wao.
Uongozi siyo Sheria tu...
1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu.
2...
UHAMIAJI TANZANIA na TISS wala msiwe na wasiwasi hili Jambo ni jema mno kwa Taifa letu hivyo endeleeni tu Kulala na Kuliachia kwani litadumisha sana Utaifa na Uzalendo wetu wa Kihistoria sawa?
Shule zimefunguliwa takribani siku Nne Hadi Sasa na kwa uhakika wanafunzi wa Kidato Cha kwanza Wana miminika mashuleni.
Uhakika uliopo ni kuwa wote wanakuja kuanza mtaala ulioboresha (alimaarufu mtaala mpay)
Pasipo kupinga mtaala ulioboreshwa umelenga kupunguza changamoto za mwanafunzi...