suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Blender

    Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  2. JanguKamaJangu

    Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

    https://www.youtube.com/watch?v=LTs471j6rZI TAARIFA YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU TABIA MBAYA ZINAZOHATARISHA USALAMA WA MAISHA YA WATANZANIA NA MALI ZAO Ndugu wanahabari nimewaiteni hapa, kuwaombeni kwanza; muisaidie Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuwataarifu...
  3. Komeo Lachuma

    Yanga tusitumike kufunika suala la watu kutekwa na kuuawa

    Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi. Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote wanazungumzia mbuzi kagoma. Simba na Yanga na sijui nini Lengo ni kuwatoa watu kwenye Reli.
  4. Cute Wife

    Bashe kaletwa kututoa kwenye reli suala la utekaji na mauaji ya watu wasiyojulika pamoja na kesi ya afande, tusitoke kwenye reli

    Wakuu Salaam, Mtakuwa mmekutana na vijembe kvya Bashe na Mpina, tena naye kaanza kutumia vichambo kibasaaa, na Millard eti kaweka kaweka kichwa cha kimbea, soma hapa - Hussein Bashe: Luhaga Mpina uwe na shukrani kwa serikali, chezea sekta nyingine sio kilimo Hapa anajua lazima Watanzania...
  5. Lycaon pictus

    Hili suala la dola kupaa litafutiwe ufumbuzi wa dharura

    Kwa tunaofanya malipo kwa dola ya Marekani hali imekuwa tete sana. Hata bajeti huwezi kupanga maana hujui kesho itakuwa Tsh ngapi. Tufanye kitu ikae sawa. Wenzetu Kenya waliwezaje kuokoa pesa yao iliyokuwa kwenye free fall?
  6. GENTAMYCINE

    Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

    Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
  7. G

    wanaume wenye homoni nyingi za kike na wanawake wenye homoni nyingi za kiume wanazungumziwaje kwenye biblia na Quran?

    Ni nadra kuwakuta ila wapo na watu huwadhania ni jinsia tofauti ni mpaka wakijuzwa zaidi lakini mijadala huanza "huyu ni mwanaume kweli?" "huyu ni mwanamke kweli?" Unamkuta mwanaume ana hormone imbalance ana hips, makalio makubwa, mapaja makubwa, ana sura ya kike, tabia za kike, n.k. vitabu...
  8. G

    Suala la usafi kwa baadhi ya wahindi ni kero, ni utamaduni au ?

    duh !!
  9. BLACK MOVEMENT

    Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

    Hii nchi Viongozi wa sasa hawana uchungu na hili Taifa na wako kwa ajili ya kuuza nchi kwa Wageni hasa Waraabu. Pia soma: Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025 Wamasai wamechoka Aridhi yao kupewa Mwarabu. Waarabu kwa sasa wananeemeka na Ngorongoro...
  10. chiembe

    Kwa nini Mwabukusi amemteua swahiba wa Lissu, na hasimu wa serikali, Dk. Nshala afuatilie suala la Ngorongoro?

    Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers Environmental Action Team. Baadae walikula hela za taasisi kisha wakaiua. Taasisi hii ilitelekeza mali...
  11. Li ngunda ngali

    Hiyo picha itafukuzisha kazi mtu. Ni suala la wakati tu…

    Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi. Mda utaongea.
  12. Younguther

    Ni suala la aibu kwa kampuni kubwa kama samsung, flagship device kuwa na technical weekness

    Habari zenu watanzania wenzangu na poleni kwa majukumu ya kulijenga taifa. Mwaka jana mwezi dec nilibahatika kununua samsung s20+, baada ya kujikunja kwa muda mrefu kutokana na simu niliyokuwa natumia mwanzo(samsung s8) kuharibika betri. Lengo la kuandika uzi huu miezi miwili iliyopita nilipata...
  13. Yoyo Zhou

    Marekani yatumia vipimo tofauti katika suala la dawa za kusisimua misuli

    Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto inafanyika huko Paris, nchini Ufaransa. Mwanariadha wa Marekani Erriyon Knighton alikimbia kwa sekunde 19.99 katika mchuano wa mita 200 kwa wanaume uliofanyika hivi majuzi, na kusaidia timu ya Marekani kuingia nusu fainali kwa nafasi ya kwanza. Hata...
  14. Webabu

    Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

    Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa. Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo...
  15. Melki Wamatukio

    Lilikuwa ni suala la muda tu. Sasa hivi yu kiganjani mwangu

    Zamu yangu ya kutesa imewasili. Binti flani hivi rangi ya chocolate, mwenye macho fulani hivi ya huruma, mtu wa kujishughulisha sana mara nyingi nalimuona katika hali ya u-busy, hakunipatia salamu tena tokea ile siku niliyomsifia kuwa anavutia Basi bhana, kwa kuwa nilikosa muda wa kuonana naye...
  16. W

    Enyi wazazi mliozidiwa urefu na watoto, mnadeal nao vipi kwenye suala la adabu / discipline?

    mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena, ni kama vile anaona kisa urefu tunaweza kuendana.
  17. Roving Journalist

    Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na bidhaa za mtandaoni

    USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
  18. L

    Suala la GSM kudhamini baadhi ya timu za Ligi Kuu liangaliwe upya, linajenga mazingira hasi na kupunguza ushindani katika ligi

    Jana nimeona kwenye kombe la xecafa singida Black stars wamevaa jezi zenye nembo ya GSM, huyo GSM ndio mdhamini wa Yangq, lakini timu kama Coastal Union, Namungo zina udhamini kama huo. Kwa mazingira ya kibongo hili jambo lina ukakasi sana. Kwa nchi zilizoendelea ambazo zinajali...
  19. Analogia Malenga

    Profesa Mkenda aapa kutotoa vibali vya kuagiza sukari

    Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema yuko tayari kuachia ngazi nafasi ya uwaziri kuliko kutoa kibali kwa wafanyabiashara cha kuagiza sukari kutoka nje ya nchi. Profesa Mkenda amesema hayo leo Agosti 30 jijini Dodoma wakati akizindua ripoti ya sensa ya kilimo, mifugo na uvuvi ya mwaka...
  20. Mkalukungone mwamba

    Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
Back
Top Bottom