Mh Spika, nasimama kwa kanuni inayoruhusu mbunge kuomba bunge lisitishe shghuli zake na kujadili jambo la dharura linaloendelea nchini.
Mh Spika, mvua zinazoendelea nchini zimesababisha madhara makubwa kwa wananchi ambapo takwimu za leo zinaonyesha watu 160 wamepoteza maisha huku nyumba kws...
Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia umeme wa Mkoa mzima wa Njombe, huo ni mgodi mmoja tu je tuna migodi mingapi?, hapo hatujazungumzia Viwanda na matumizi binafsi).Vilevile namna serikali ilivyosambaza kwa ukubwa Umeme...
Vitendo huthibitisha yale yamtokayo mtu mdomoni.
Ni dhahiri sasa wenzetu wazanzibari wanatekeleza kile walichomaanisha , msemo wa
Changu Changu Chako Chetu.
Maneno yaMakamu wa Rais Zanzibar na matangazo ya kazi kwa upendeleo wa wazanzibari tu, tumeyaona.
Shaka Hamdu, mzanzibari asiye na hata...
Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao.
Mchezo uko hivi, kwanza inaonekana toka wanafunzi hao wajiunge na masomo yao mwaka jana mpaka sasa...
Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam?
Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
1. Hajatokea Natanyahu kutia neno hadharani tokea kipigo cha jumapili.
2. Inafahamika amekuwa na vikao vya baraza la vita kila siku tokea siku hiyo.
3. Ziarani Israel David Cameron kaliweka wazi:
4. Kwamba kama alivyofanya Iran, mwendo ni calibration ya mapigo kutoleta madhara sana:
5...
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu.
Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe.
Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
Malawi questions Tanzania on port
Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute between the two countries remains unresolved
In a confidential diplomatic note dated February 2...
Baadhi ya mikoa Azam Antenna ilipotea hewani. Na Visimbusi hivyo vya Azam vikawa vinaonyesha Channel za Startimes.
Waelewa tatizo ni Error code 69.
Sasa kama ilivyofanyika kwenye simu kwamba simu zote zitumie type C.
Kwanini serikali isiangalie hili suala na kuruhusu watanzania kulipia...
1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi:
2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma:
3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti?
4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo...
LINAPOKUJA SUALA LA MAHUSIANO WAKOMAVU TUKO HIVI 😊
1.Ukishindwa kutupenda tulivyo usidhani tutakubali kuishi kama utakavyo ili ndio utupende
2.Tuna muda na anayetupenda ila hatuna muda wa kupoteza kutafuta kupendwa
3 .Tukiachwa tunajua tumepewa fursa ya kupendwa kwingine.
4 .Ukija kama...
Nimeona watu wenye fedha waliotumia zaidi ya milioni 100 kujitibu lakini fedha haikufua dafu wakafa.
Nimeona matajiri ambao kila mtu angetamani kuwa kama wao lakini hao Matajiri hawajawahi kupumzika hata wiki moja kuitafuta fedha.
Hii maana yake zile fedha zao mamilioni na mabilioni bado...
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.
Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.
Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni...
Taarifa inasema kiingilio kwenye mechi yetu na Mamelody itakuwa bure Mzunguko.
Sababu za uongozi zina mashiko pasi na shaka yoyote. Kwanza mechi itachezwa usiku sana halafu pili ni mwezi mtukufu wa Ramadhwani etc.
But hatuoni kuwa Simba wanaweza kuingia pia uwanjani kwa wingi yakaja kuwa...
Nadhani kuna wahuni wanatufinya sisi wengine hizi tende za msaada. Safari hii sheikh wangu J. Topeo anasema hakupata. Ni kweli au naye ananifinyia kwa ndani?
Serikali iingilie kati suala hili kwa kweli. Maana ni kama imetuacha wananchi wake. Tende ziingizwe nchini bure kwa wingi.
Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5. Jambo hili huingilia ufanyaji kazi wangu kabisa na kufanya nishindwe kufanya kazi.
Nimepima sukari na...
Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika!
Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.