suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    Picha: Hivi hili suala kuwahusu walimu lina ukweli ndani yake?

    Endapo Mpwayungu Village atapita hapa. Atasononeka sana, aisee!
  2. LIKUD

    Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  3. Roving Journalist

    Mbunge wa Kigamboni aahidi kulifanyia kazi suala la uchafu na uchakavu wa vyoo vya Hospitali ya Vijibweni

    Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Faustine Ndugulile ameona hoja ya Mdau wa Jamii Forums aliyedai Vyoo vya Hospitali ya Vijibweni iliyopo Kigamboni, Dar es Salaam ni vichafu kwa ndani, vinatoa harufu kali na pia miundombinu yake ni chakavu, anadai kwa miezi mitatu aliyofika eneo hilo hakuna taa na...
  4. S

    Majanga Hanang majibu ya kebehi ya wataalam TANESCO kuhusu suala la umeme

    Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua zikinyesha. Wakasikika wakisema zinanyesha katika mikoa mingine mbali kabisa na kule Mtera ambapo kuna...
  5. Exile

    Hivi kama nchi suala la vitambulisho vya taifa limetushinda?

    Katika kero ukiachana na tanesco basi hi hawa Nida, asilima kubwa wananchi hawana vitambulisho wala namba Na sijajua mkurugenzi wa nida ni nani na sijawahi sikia katumbuliwa au kutenguliwa hii ni changamoto sana mimi nimejaribu mara kadhaa tangu mwaka jana lakini sijafanikiwa na jana saa 11...
  6. Nyafwili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: UKIMWI bado upo, ninawaomba suala hili lipewe kipaumbele wakati wa mahubiri.

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
  7. K

    Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

    Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu...
  8. LIKUD

    Suala la Paulina Gekul lishughulikiwe kwa busara kubwa naona taratibu limeanza kuibua mijadala ya udini mitandaoni

    Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana...
  9. Lord denning

    Bila kufanya haya, tusahau suala la kuondokana na Mgao wa Umeme

    Kuna watu wanaamini kabisa kuwa Bwawa la Umeme la Rufiji likianza kazi basi suala la Mgao wa umeme litakuwa historia kwenye nchi hii. Kwa namna ninavyosoma taarifa mbalimbali za kiutafiti zinazohusu masuala ya Mazingira napenda kuwaambia hawa watu wakiwemo viongozi wetu kuwa inawezekana wakawa...
  10. Chizi Maarifa

    Serikali iingilie kati suala hili. Linatugharimu sana Vijana na kutuangusha kiuchumi

    Waziri nape. Piga marufu matumizi ya Filters instagram. Kule ndani kila binti mzuri, ana ngozi ya kiulaya ulaya na mwonekano wa kuvutia. Unamtumia nauli.... Unakuja mwona live.... Sura haina ung'aavu ambao aliuonesha kule insta au fb. Hii si sawa. Ni utapeli kabisa. Mimi mara 3 sasa...
  11. 5 Nyingi

    Suala la Jezi Zilizo Kamatwa Limeishia Wapi? Waziri Alitudanganya?

    Ni wiki 3 zimepita tangu shehena ya jezi zinazo semekana kuwa ni fake kukamatwa, baada ya sinto fahamu hatimaye Waziri Ashatu Kijaji akajitokeza na kusema kuwa serikali inalifanyia kazi na taarifa kamili itapatikana ndani ya siku 7. Kwanini serikali idanganye wananchi wake? Kwanini waziri...
  12. L

    China na Marekani zaafikiana kuhusu suala ya hali ya hewa

    China na Marekani zimefikia makubaliano kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi, na kuleta msukumo mpya katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na changamoto hiyo. Baada ya duru mbili za mazungumzo, China na Marekani huko California zimetoa taarifa ya pamoja ya kuhusu kuimarisha ushirikiano...
  13. R

    Kitila Mkumbo: Tunapoendelea kuelimisha suala la maadili kwa vijana wetu tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto

    Waziri Kitila Mkumbo akiwa anahitimisha hoja yake, anakubaliana na wabunge wengine kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili kwa watoto lakini tunapoendelea kuwaelimisha vijana wetu kuhusu maadili tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto. Ni muhimu watoto wakabaki kuwa watoto kwasabu bila hivyo...
  14. S

    Ni kipengele gani kinamruhusu Katibu Utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira ya mtu?

    Ni kipengele gani kati ya vifuatavyo kinamruhusu katibu utumishi kumwamuru PSRS kushughulikia suala la ajira la mtu? Ni kipengele kipi
  15. S

    Tazama jinsi wakubwa wanavyolindana kwenye suala la ufisadi

    Jichanganye ewe kijana uibe kuku.....utafungwa miaka 20. Jichanganye ewe askari polisi, hakimu, daktari na nesi, ule rushwa ya laki moja tu. Utafutwa kazi na kifungo cha miaka 20. Jichanganye ewe mwalimu ucheze muziki wa Zuchu tu. Utafutwa cheo na kama huna cheo utafutwa kazi. N.B: Kama bado...
  16. Chizi Maarifa

    Elon Musk awachukue wana CCM katika suala la kupandikiza Ubongo Bandia

    Elon Musk anaendelea na tafiti zake za kisayansi na masuala mazima ya AI. (Artificial Intelligence) Sasa anajaribu kupandikiza Ubongo kwa Binadamu ambao utaunganishwa na Computer. Ushauri wangu. Akamate mwana CCM kwa ngazi yoyote ile kuanzia kapuku mimi hadi aliye na wadhifa. Hawa wakamatwe...
  17. A

    DOKEZO Kuna harufu ya rushwa kutoka Fedha za Mikopo ya Wanafunzi wa Degree. TAKUKURU chunguzeni

    Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+. Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh students) watapata wanafunzi 75,000 lakini majina mpaka sasa yametoka 73,000 ambayo yamegharimu Sh...
  18. B

    Nisaidieni suala hili kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania

    Habari zenu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania. Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
  19. Jaji Mfawidhi

    Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  20. Uhakika Bro

    Suala la miradi kusuasua, wote tubebe lawama maana tulipaswa kubeba jukumu kwanza

    Miradi mikubwa kwa midogo inaposuasua utasikia; Kiongozi ametupa lawama kwa mkandarasi/mzabuni Mwananchi anamlaumu kiongozi Mkandarasi anamlaumu serikali Yaani ni vurugu tu kila mmoja anarusha lawama kwa kutokamilika kwa mradi. Japo lawama kwenda kwa mkandarasi/mzabuni ndiyo huwa kubwa zaidi...
Back
Top Bottom