suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    FARAGHA: Waziri amwagiza Mganga Mkuu wa Serikali kufuatilia suala la Taarifa Binafsi za Mgonjwa kuanikwa Mtandaoni

    Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake, ikiwemo jina, umri, jinsia, makazi na ugonjwa wenyewe. Wadau mbalimbali wamelalamikia kitendo cha...
  2. S

    Dkt. Tulia suala la bandari hata wazee huzeeka na upumbavu wao

    SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake. "Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama ambavyo vijana wenye busara wanazeeka wakiwa na busara, kama ambavyo wako watu wenye hekima wanazeeka...
  3. BAWACHABU kuliamsha suala la bandari wiki ijayo

    Baraza la wanawake wa Chadema Bungeni - BAWACHABU wameamua kulianzisha pasipokuchoka mpaka kieleweke. Nusrath, Esther Bulaya, Halima Mdee na wenzao wiki ijayo wamepanga kuongea na Vyombo vya habari kuonesha madudu yote ya DP World. Pamoja na Mambo mengine yote hawa ndio watu pekee nchini wenye...
  4. Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

    Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
  5. T

    Serikali imefikia wapi suala la uwekezaji bandarini na DPW?

    Wanajamvi salaam Napenda kujua serikali imefikia wapi kuhusu uwekezaji bandarini na DPW? Naona kimya kimetanda,nini kinaendelea baada ya azimio la Bunge? sa100 toa Nemo moja na mioyo ya watanzania iponywe. Nawasilisha.
  6. R

    MO na GSM wako kimya suala bandari Rostam amewawakilisha

    Kuna mjadala nimeukuta mahali watu wanahoji kwanini Mfanyabiashara Maarufu Mohamed Dewji maarufu MO na Mfanyabashiara Maarufu Gharib Mohamed Maarufu GSM ambao ndiyo wadau wakubwa wa bandari kuingiza mizigo nchini kwamba mbona hawajasema chochote kuhusu mjadala wa DP Wold kuhusu Bandari. Mimi...
  7. Rais Samia, suala la ardhi la Shirika la Maendeleo Dar es Salaam na wananchi ni saizi yako. Futa hati, gawia wananchi, DDC waje Serikalini tumalizane

    Hawa watu wa DDC hata kama Wana hati, hawakutimiza sharti la msingi la kulinda ardhi yao. Hili ni shirika la umma, liko chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, sioni sababu kwa nini lisumbue wananchi. Rais akilifutia umiliki kwani litamfanyaje? Si ni shirika la umma? Na kiongozi ni Rais...
  8. M

    Suala la Bandari: Ni Wakati sahihi sasa Watanzania wa hali zote kuwekeza kwenye Bandari yao ili kuleta Mantiki kwenye umiliki wao

    Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
  9. K

    Mapendekezo kwa Rais Samia: Namna ya Kulimaliza Suala la Bandari kisiasa

    Mimi nikiwa Kada wa dhati wa CCM namshauri Mheshimiwa Rais afanye mambo yafuatayo kulimaliza jambo hili kisiasa; 1. Awatumbue Mhe.Waziri wa Ujenzi,Katibu Mkuu wa Ujenzi,Mkurugenzi wa TPA na wengine wote waliohusika kumshauri vibaya kuhusiana na jambo hili. 2. Ahutubie Taifa akieleza jinsi...
  10. CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!

    Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...
  11. S

    Kama kweli suala la DP World limewagusa basi nguvu kubwa ielekezwe kwenye kudai katiba mpya

    Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali). Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
  12. Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  13. Napendekeza tulimalize suala la bandari kwa kufanya yafuatayo

    Kwa heshima na taadhima, napenda kuwashukuru wote mliochangia mijadala mbali mbali ya kuhusu ukodishwaji wa sehemu ya bandari kwa kuwa nyote mlikuwa na nia njema ya kujenga na kulinda rasilimali za taifa letu. Lakini katika kutekeleza hili, kulionekana mapungufu mbali mbali kama yalivyo ainishwa...
  14. Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
  15. R

    Ogopa viongozi wanaoamini suala la DP World nalo litapita

    Wakubwa wa nchi wanasema hoja ya kuuza Bandari itapita kama zilivyo wahi kupita hoja nyingine. Naamini wanaamini sahihi kwa wakati wao ila ipo siku wataishia magerezani kama alivyofanya Magu last time . Kama tunaamini viongozi niwamoja tunajidanganya;umoja wao upo kuumendea urais tu na...
  16. Suala la bandari linachukuliwa kama 'kiki' kwa wanasiasa

    Nimesoma pahala nyeti hasa kuhusiana na suala la bandari yetu nikaja gundua ya kwamba bado majadiliano yaliyobakia baina ya serekali yetu na DP w, bado yanaendelea wabunge wetu waliona na jambo jema lakini serekali yetu bado inachakata suala hili ukizingatia makampuni yaliyopo mezani kwa ajili...
  17. Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

    Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari. Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo...
  18. Bandari: Ushauri wa bure kwa Rais Samia, achana kwanza na suala la kuikodisha kwa wakati huu

    Bandari bado ni kaa la moto. Wabunge na Bunge limeupitisha mkataba, lakini wenye nchi, Watanzania hawajui kilichopitishwa ni kitu gani. Kwamba kuna habari kuwa Wabunge walioenda "kuona" shughuli za DP World katika bandari za huko nje walikuwa compromised, hili linaleta utata mkubwa. Ushauri...
  19. Suala la Walimu kufanya mitihani ndio waweze kuajiriwa liende sambamba na kuanzishwa Teachers Registration Board (TRB)

    Nimesoma maelekezo ya Waziri wa Elimu, nimeona ni vema Walimu hao hao wakifaulu mitihani yao pia wasajiliwe kwenye board yao. Hivyo ni vema kuanzishwa kwa Teachers Registration Board sasa. Hii itasaidia walimu kuepukana na chama cha unyonyaji cha CWT.
  20. K

    Ezra Chilewesa: Kwenye suala la Bandari, wananchi mtuache/tutaamua kwa niaba yenu

    Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na hisia za waliowatuma Bungeni, instead wabunge wataamua wanavyojua au kuambiwa wao. Swali ni je, Si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…