suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Viongozi wa Dini kuunguruma kesho kuhusu suala la Bandari na DP World

    Ikiwa ni siku moja baada ya Bunge la Tanzania kupitisha Azimio la Serikali kuingia Makubaliano na Kampuni ya DP World kuendesha bandari za Tanzania, inadaiwa kuwa Viongozi wa Dini wamejiandaa kutoa tamko zito kuhusu suala hilo hapo kesho. Je, tutarajie nini kutoka kwa Viongozi hao? ====...
  2. C

    Watanzania msiogope suala la Bandari, Marekani yupo pamoja nasisi atatusaidia

    Kwema ndugu zangu, Kama mjuavyo viongozi wetu wakeamua kutupotezea sisi tuliowapa mamlaka ya kusimamia mali zetu badala yake wameamua kuuza bandari yetu. Ila kumbukeni kiranja wa Dunia ni marekani na wana balozi zao na CIA ipo hapa nchini so kila kitu wana taarifa na wanajua effects zake hapo...
  3. S

    CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wezi na wanufaika wa wizi bandarini walio ndani ya CCM tayari washajitikeza na kubwabwaja kwa kujificha kwenye mwavuli wa uzalendo. Eti wanasema kubinafsisha bandari siyo uzalendo!!! Haa??!!! Hayana haya majizi haya. Kwahiyo wao wanavyoiba hapo bandarini ndiyo uzalendo? Kinachonishangaza ni...
  4. Jidu La Mabambasi

    Rais Samia, suala ka Bandari umeteleza. Hekima ni kulisahihisha

    Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha. Huu upinzani mkubwa kwa ubinafsishaji, unatoka kwa wananchi, wenye nchi hii. Suala la muhimu si kutazama tulipoanguka, bali...
  5. comte

    Kamati maalum ya TLS kuchunguza Mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar

    BARAZA la Uongozi la Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) limeunda kamati maalum ya wataalamu kuchambua makubalino yaliyoainishwa katika mkataba wa uendeshaji bandari ya Dar es Salaam kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai ya DP World. Rais wa TLS, Wakili Harold Sungusia amesema kamati...
  6. Yesu Anakuja

    CHADEMA jitathiminini suala la Muungano

    Ifike Mahali Chadema waitimize hamu ya Watanganyika, kwa kupigania maslahi ya Watanganyika pia. ukweli mchungu ni kwamba, kura zote mnaweza kupata ni za bara, Zanzibar hawaipendi chadema, na hawatakuja kuipenda kwasababu huwa wanaamini ni chama cha wakristo. siongelei udini, ila ukweli ni kwamba...
  7. R

    Suala la bandari tuwape muda wabunge

    Suala bandari nawaomba watanzania tuwape nafasi waheshimiwa wabunge na mheshimiwa waziri mbarawa ili tupate ukweli hata huu mkataba unatembea mitandaoni huenda ikawa sio huo usiosainiwa na viongozi wetu.. tuwe wapole tusubiri tusiwahukumu watu bila kuwasikiliza
  8. F

    Watanzania tuweke attention yetu kwenye suala la kubinafsishwa kwa bandari, habari za uteuzi wa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri sio ishu kubwa

    Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
  9. Mpinzire

    Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  10. Suley2019

    Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  11. Suley2019

    JKT yakanusha suala la kunyanyasa vijana

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limewataka Wazazi na Walezi wa Vijana kupuuza taarifa za uzushi unaolenga kuwatia hofu Vijana waliopangiwa kuhudhuria Mafunzo ya JKT katika makambi mbalimbali kutokwenda kuripoti makambini, kwa kile kinachodaiwa kuwa eti, mafunzo ya JKT ni mateso, yana unyanyasaji...
  12. Intelligent businessman

    Wanaume tukumbushane katika suala hili

    Bro, Kikao cha hiki kijiwe sio kama kile cha wanaume wa UWABATA, Hachana na wanaume wasiojielewa, hatuna haja ya kuunda 'hashtag' hizo pigo waachie wanawake.! Hachana na wanaume wasiojielewa, wao na wake zao wanalumbana kila siku, Unajua kwa nini.!? Kwa sababu hawajielewi.! Hawavai kilemba cha...
  13. Sol de Mayo

    Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  14. Raia Fulani

    Suala la elimu na likizo za watoto

    Nasoma gazeti la Mwananchi hapa kuhusiana na mvutano aidha watoto waende likizo au wabaki shuleni kujisomea. Mjadala huu ulikuwa Bungeni. Kuna hoja kuwa baadhi ya mikoa kupitia wakuu wa mikoa imepanga utaratibu wa kuongeza "ufaulu". UFAULU kwenye maeneo yao. Sehemu nyingine Mbunge na mmiliki wa...
  15. P

    Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Hili sakata la ardhi ya Bagamoyo ya hekari elfu sita kuwa ni mali ya Zanzibar lina ukakasi na halifai kupita bila ya kupata mawazo mbalimbali yenye lengo la kuboresha uelewa mpana wa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli Mwalimu Nyerere aliwapa Zanzibar ardhi ya Bagamoyo ili waweze...
  16. GoldDhahabu

    Tanzania na Suala la Uraia Pacha

    Katika Bara la Afrika lenye nchi 54, ni nchi chache tu, takriban nchi 10, ndizo zizsizokubali uraia pacha. Nchi hizo ni pamoja na Tanzania, Ethiopia na Congo D.R.C. Hata nchi jirani ambako baadhi ya Watanzania wamekuwa wakijinasibu kutaka kuhamia, yaani, Burundi, wametupiku katika hilo. Lakini...
  17. Wakili wa shetani

    Hili Suala la siasa michezoni lingekemewa vikali.

    Hii habari ya kuleta mapicha ya Rais na mwenyekiti wa CCM uwanjani ni mchezo mbaya sana. Mpira ni mpira na siasa ni siasa. Msiwagawe wa Tz kwa kitu pekee kilichobaki kuwaunganisha. Kesho mtu akija na picha za Ahsante Mbowe au Ahsante Zitto mtaanza kuwarushia mabomu. Acheni hizo mambo...
  18. Chizi Maarifa

    Tuachane na yote. Hili suala ni la muhimu sana kujiuliza.

    Tuachane na issues nyingine nk. Nakuuliza mdada wa JF. Kama nawe umewahi tuliza makalio yako ukapata muda wa kutafakari jambo hili. Kwa mfano Usipoolewa. Umejipangaje?
  19. A

    SoC03 Jinsi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kwa Maendeleo ya Nchi yetu

    Rushwa ni tatizo kubwa sana katika nchi yetu na linahitaji kushughulikiwa kwa njia ya uwajibikaji na utawala bora. Kwa miaka mingi, rushwa imekuwa ikiathiri maendeleo ya taifa letu kwa kuzuia maendeleo ya uchumi, kuongeza umaskini na kupunguza uaminifu wa wananchi kwa serikali. Kuna sababu...
  20. A

    Andiko kuhusiana na suala zima la kudhibiti utoro wa wanafunzi mashuleni

    Utoro wa wanafunzi mashuleni ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dhati katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Tatizo hili linasababisha athari mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ufaulu, kuongezeka kwa idadi ya watoto wanaoacha shule na kuathiri maendeleo ya taifa kwa ujumla...
Back
Top Bottom