Huyu mama amakuwa katika Cabinet muda sasa. Lakini wizara ambazo ameziongoza ni zile ambazo haziko mainstream, yaani hazitajwi siku hadi siku.
Lakini nilipoona uteuzi wa ma DC unakataliwa na wateule, na hivyo kumuaibisha sana mheshimiwa Rais Samia, nikajua kuna tatizo na mchakato na mamlaka za...
Kwa mara nyingine tena Baraza la usalama la Umoja wa mataifa limepitisha azimio la kurefusha vikwazo dhidi ya Sudan. Azimio hilo nambari 2676 la mwaka 2023 lililotolewa na Marekani, limepitishwa kwa kura 13 za ndio na wajumbe wawili wa kudumu wa baraza hilo, yaani China na Russia, hawakuupigia...
Hivi karibuni Marekani ilitoa “Ripoti ya Haki za Kibinadamu katika Nchi mbalimbali Duniani”, na kulaani baadhi ya nchi kwa kutofanya vizuri katika kulinda haki za binadamu. Marekani hutoa ripoti kama hiyo kila mwaka. Lakini ukweli ni kwamba, utekelezaji wa haki za binadamu katika nchi moja...
Team ya Azam kwa sasa imekuwa chini ya Uangalizi wa mtoto wa Bakhresa anayeitwa Yusuf. Huyu kwa kipindi kirefu alikuwa nje ya nchi. aliirudi ili aje aisimamie Azam Sports Club baada ya kuwa inasua sua.
kwa muda mrefu Azam imekuwa chini ya walimu Wareno hawa wamekuwa wakisaka vipaji na kutoa...
Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa mifuko 776 ya mchanga kwenye ghala lake lililopo mjini Njombe na kusema Kampuni hiyo haijawahi kufanya...
Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima.
Ikumbukwe kuwa Toto...
Ni muda mrefu sasa nchi za Magharibi hasa Marekani zimekuwa zikiichokoza China ama hata kufikia kuirushia maneno makali kwa sababu tu ya suala la kisiwa cha Taiwan. Uchokozi huu mara nyingi huwa wanafanya kwa kuichochea ama kuihamasisha Taiwan ijitenge na China huku nchi hizo zikisahau kwamba...
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.
Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala...
Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa.
Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola.
Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
Wakuu salam,
Hoja za Ushoga na kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni jambo sensitive sana hasa kwenye jamii zetu za Africa.
Tusichoelewa ni kwamba watea wetu wana nguvu sana na ni moja ya ajenda kubwa sana kwenye mikutano ya wakubwa huko duniani.
Jambo hili la ushoga sio jipya hapa duniani ni...
Nchi hii hakika ina vioja. Wabunge wametemwa na chama chao kwa kugushi na kujiteua viti maalum.
Ajabu mwaka wa tatu umeanza na kesi yao ndio kwanza mbichi serikali ndio mtetezi kwa bunge wanaolimiliki kuwakingia kifua. Ni kitu cha ajabu sana.
Watu wanakula mishahara na posho huku hawana chama...
Hili limekuwa likizungumzwa na watu wengi sana nadhani inawezekana ni robo tatu(1/3) ya tunaoishi na hata kwa bahati mbaya wale waliopoteza maisha....
Hili si suala dogo kwenye kulifanyia maamuzi ingawa unaposikia likizungumziwa unaweza kuhisi ni kitu rahisi mnoo! Najua unajiuliza hadi hivi...
Amani iwe kwenu.
Mamlaka za Serikali zimeonesha kusuasua kuisajili kampuni ya Elon Musk ( StarLink) ili kutoa huduma ya mawasiliano nchini.
Tuliosoma Cuba tunaelewa sababu za kusuasua huku. Mojawapo ya sababu hizo ni uwepo wa muungano usio wa kawaida kati ya makampuni yanayotoa huduma za...
Kwa masikitiko makubwa naomba kuwasilisha taarifa hii kwenu uongozi wa halmashauri ya wilaya Hai, kuhusiana na namna watendaji ktk Kijiji cha Mungushi wanavyohujumu mapato ya Kijiji yanayotokana na uuzwaji wa viwanja ktk eneo la Kijiji.
Yameuzwa maeneo mengi sana na karibia Kijiji kinajaa...
Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mkubwa uliohusiana na uamuzi wa Simba kuvaa jezi za "Visit Tanzania" na wakati huo huo Yanga kukataa kuvaa nembo hiyo badala yake wakaingia mkataba na kampuni ya Haier.
Huu mjadala ulijikita zaidi katika kuuliza ni maslahi gani Simba wanapata kwa kutangaza nchi...
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
Jambo lolote ambalo linafafanuliwa kama dhambi ni ouvu. Hii ni kwa sababu dhambi ni kosa dhidi ya akili na dhamiri safi. Kwa hiyo si tu kuhusu mapenzi ya jinsia moja au ndoa za jinsia moja, lakini kwa kweli mambo yote yanayokatwa na amri kuu ya mapendo kama ilivyofafanuliwa na amri kumi za...
Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na:
1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?
====
Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.