Afrika itabaki kuwa Afrika tu, hususani hapa Tanzania. Nimefuatilia katika social media's za bongo, aise ni kama vile walikua wanatafuta vijisababu kutoka kwa hawa ndugu zetu Waarabu (Morocco) ili wapatiamo cha kusema/kuwatukana na kulialia.
Unakuta mwanaume mzima anawakandia wanaume wa...