Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu.
Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor wa Germany Angela Melkel kaongea na Magufuli kujenga kiwanda cha mbolea mwaka 2022. Hakuna...
Mmiliki wa kampuni ya Tesla, Elon Musk amesema kulazimisha watu kupata chanjo si sahihi
Yeye amepata chanjo lakini haitakiwi kuwapotezea wengine kazi zao
Suala la kulazimisha chanjo ameliita 'un-American' yaani sio Umarekani
===
Musk: "I am against forcing people to get vaccinated"
The...
BARUA KWA RAIS SAMIA SULUHU KUHUSU UFISADI KWENYE SUKARI
11 December 2021
Mheshimiwa Rais nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini ningependa badala ya kusema kazi Iendelee basi uitikie haki, ustawi wa watu na uhuru wa kweli.
Mheshimiwa Rais nina mengi ya kukueleza kuhusu...
Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado tutaendelea kuijadili. Hakuna mtu wa kuzuia hilo- Jenerali Ulimwengu https://t.co/ePitXJSG8g
Kuna siku mzee fulani alinisimulia jinsi Nyerere alipambania sana Afrika Mashariki iwe nchi moja, ila viongozi wa Kenya wakasuasua na hatimaye wakapiga chini hilo wazo. Nikawaona viongozi wetu kama ambao hawakua na upeo wa kuona mbali, ila nimekua nasoma hizi taarifa za mkanganyiko wa Zanzibar...
Wajuzi wa mambo naombeni mnisaidie maana leo nilipokuwa natizama mechi mbalimbali za ligi ya uingereza nimeshangazwa sana na vitambaa vya unahodha vikiwa na rangi hiyo.
Hapa tuseme hawa watu wanaoshughulika na mapenzi ya jinsia moja ndio wamehalalishwa tayari ama limekaaje hili suala.
Tazama...
Nataka niongee kwa hasira kali na leo Mod naomba mnivumilie lugha yangu. Hapa bongo kuna mambo ya kikhanithi yanaendelea sana na matokeo yake wananchi tunapata shida kwa sababu ya ukhanithi wa watu wachache.
Leo Nipashe wametoa taarifa kuwa kuna mchina amekamatwa anachepusha maji ya mto ruvu...
Waziri Mhe. Makamba ameongea akaeleweka vyema kabisa. Wakaja wabongo na ''a garbled story'' na kuzua mtafaruku mkubwa. Nilichokiona watu wengi uwezo wao wa kusikia na kuelewa ni mdogo sana; na kuna watu wengi wameenda shule ila uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo sana. Makamba mbunge wa miaka...
Wakuu,kuna tangazo la kazi eti mwajiri anataka mtu anaejua kuzungumza lugha za India tu na wala local languages kama kiswahili sio priority yao kabisa.
Huu si ni ubaguzi wa mchana kweupe kabisa?
Mamlaka husika ziamke, hatuhitaji upuuzi kama huu nchini kwetu.
Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo.
2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao.
TATIZO NI...
Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu urijali wa mwanaume.
Ili kumlea mtoto wa kiume awe rijali ni lazima kwa kiasi fulani kuwe na mlezi...
Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia hongera kwa safari ya Glasgow ambapo uliiwakilisha nchi yetu na kutusemea, pole kwa majukumu ya kulipigania taifa letu.
Nikienda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba baadhi ya wanachuo ambao wanakila sababu ya kupatiwa mkopo...
Kwa mfano nimeshtakiwa kwa kosa la uhujumu uchumi,na jamhuri inajua kesi yangu si ya kuhujumu uchumi Ila wizi wa kawaida,Ila imeamua tu kunikomesha kwa sababu naisumbua tu serikali yao.
Hakimu kila akiangalia anaona hakuna mashtaka ya uhujumu uchumi, je mahakama ina mamlaka ya kubadilisha...
Suala la machinga linapita kimya kimya huku watu wakibomolewa vibanda vyao, wengine wakihamishwa na kupelekwa maeneo mapya.
CHADEMA imekuwa ikiwahurumia hawa lakini haitoi mbadala wake.
Hii fursa nje ya fursa, karibuni mtueleze mipango mbadala,
Mheshimiwa rais,
Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza.
1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa...
Habari JF
Wiki kadhaa zilizopita Serikali ilianzisha kampeni ya kuhakikisha maeneo yetu yanarejea katika hali nzuri kwa kuhakikisha kuwa wafanyabiashara maarufu kama wamachinga wanawekewa uratatibu mzuri wa kufanya biashara zao huku mazingira yakibaki safi na salama kwa ajili ya matumizi na...
Habari JF,
Naomba Sekretarieti ya Utumishi waweze kusaidia wahitimu weweze kufanya mitihani ya Ajira wakiwa mikoani kwao.
Majuzi TRA wametoa nafasi 1097 za Ajira ambazo ni nyingi sana kwa kipindi hiki cha Uchumi wa Kati.
Sasa Kikwazo ni hizi interview kufanyika huko Dodoma pekee. Kuna mtu...
Usajili wa Meli (Ship registration) hiki ni kitendo Cha kuipa meli uraia katika nchi Fulani na kurusiwa kutumia bendera hiyo iwapo baharini. Meli iliyosajiliwa na Tanzania italazimika kufata Sheria na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mfano endapo meli itakiuka jambo lolote itaadhibiwa...
Amani iwe nanyi wanabodi!
Wakati Mama Samia anatangaza mkakati wake wa kuwapanga upya machinga kwenye maeneo mbalimbali, nilibarikiwa kuwa mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kutoa ushauri wangu humu!
Ushauri huu niliutoa kwenye Thread hii hapa chini...
Tuwe makini sana na hawa tunaowaita marafiki zetu wa faida, hawa hawa ndio hugeuka kuwa mwiba mkali katika maisha yetu hasa mkipishana kidogo kwenye masuala ya maslahi.
Rafiki huyu huyu ndio anaweza kuwa sumu ya kukuondoa hata uhai kisa maslahi, mwisho kabisa tusiwaamini sana hawa tunaowaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.