suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suala la Referees in CV mimi ni kuiga utamaduni wa nje ambao kwetu ni wa hovyo

    Ndugu zangu hivi swala la Referees mnalichukuliaje? Mimi naliona halijakaa kitaalam kabisa kwa mfano maofisini tunaona unakuta boss wako hataki ugrow hata ukipata safari tu ananuna ( huyu kweli atakurecommend vizuri huyu sehem nyingine tena ajue unaenda kupata maslah zaidi ya hapo?) lakini pia...
  2. S

    Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  3. Je, Utumishi Wanaenda Kinyume na Maagizo ya Waziri Wa Elimu na Rais Kwenye Suala la Ajira za Ualimu?

    Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda. Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
  4. R

    Wenje amjibu LISU suala la kumpeleka Abdul mtto wa rais Samia kumhonga Lisu

    SIKILIZA MAHJIANO HA NYANDA https://www.youtube.com/watch?v=EDJ1hIdH5GE
  5. Kwa yanayoendelea CHADEMA, na suala la Abdul bado mnaamini saini kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee ilifojiwa?

    Pascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi. Ukiangalia haya yanayotokea hapo chadema kwa Mbowe kung'ang'ania madarakani ukijumlisha na suala la Abdul kuambatana na kiongozi mkubwa ndani ya chadema kupeleka...
  6. Linapokuja suala la IMANI, Waafrika wanampigania Mungu. Likija suala la Haki zao za msingi, wanamwachia Mungu awapiganie!

    Imani za kidini barani Afrika ni zaidi ya madawa ya kulevya zimeharibu akili na mfumo mzima wa kufikiri wa waafrika. Linapokuja suala la udini Waafrika wanampigania Mungu kwa nguvu zao zote wakitetea dhana ya kufikirika ambayo hawawezi hata kuithibitisha uwepo wake. Tena unakuta wanaipigania...
  7. D

    Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  8. TRA wanajichanganya sana kwenye suala la Tegeta

    TRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa. 1. Kwanza, wanadai gari aina ya BMW T229 DHZ limeingia nchini kinyemela hivyo walikuwa wanalifukuza Hilo gari ili walikamate. Swali ni je Hilo gari liliingiaje nchini Kama sio hao hao TRA...
  9. TFF iangalie suala la hawa wachezaji wa Simba kuonesha hii ishara. Msije sema sisi Yanga wabaya

    Ni uhuni hawa mikia. Wanaonesha ishara ya kuwa sisi Yanga tunajidunga kwenye mshipa. Hili jambo walizusha Azam naona mikia wamelibeba. Yaani walikosa pose nyingine mpaka kutuoneshea sisi huu uhuni?ndo maana jerseys zao mbaya....sijapendq kabisa wao kutuoneshea kuwa sisi tunajidunga madawa.
  10. Kwanini wachungaji watumishi wa MUNGU wametengwa suala la uokozi kariakoo

    Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU Watumishi wa MUNGU...
  11. Watanzania wana bidii ya maombi sana, bila dhana ya Mungu watakosa maana ya maisha kabisa

    Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
  12. Changamoto hii kwenye mfumo wa ess katika suala la e-loan

    Habari zenu wakuu! Hope mnaendelea poa na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo husika.,,, Katika harakati za kuomba mkopo via Ess napata changamoto, yaan mfumo unaniandikia phone no is invalid wakati taarifa zote ziko sawa ingawa bado sijajua shida nini. Naomba kama kuna...
  13. T

    Hoja ya ratiba kubana haina mashiko! Basi hakuna haja ya kusajili wa

    Ebu tuingie Kwa undani Kuhusu malalamiko ya timu kulalamika kuwa ratiba inabana Kwa kucheza Michezo baada ya siku 3. Kila Timu inatakiwa KUSAJILI wachezaji 30. Wenye mpira Wao sio wapumbavu kwa kutaka kila Timu isajili hiyo idadi ya wachezaji. Inapotokea Timu KUSAJILI idadi ya wachezaji chini...
  14. G

    Tafuta pesa familia yako iishi vizuri, Suala la kutafuta pesa nyingi ili kumlinda mke ni ushamba.

    Umemkuta mke wako akiwa na zaidi ya miaka 25, kubali usikubali ninyi wote mna historia na siri zenu nyingi, Ni mawazo ya kishamba sana kuhangaika utafute pesa ili mke wako aishi vizuri ukidhani ni kinga ya yeye asichepuke, Mwanamke ni kiumbe chenye hisia za mapenzi na mapenzi ni fumbo kubwa...
  15. Suala la watu 87 kati ya 100 Tanzania kuwa tegemezi linavunja moyo sana wakuu

    Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri. Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
  16. Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

    Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa...
  17. T

    Maoni: Kwenye suala la utaalamu Uzalendo weka pembeni

    Timu ya Taifa Leo imepokea kipigo. Hii timu tatizo kubwa ni benchi la ufundi. Hao wenye dhamana ya kuajiri benchi la ufundi inawezekana nao hawana huo utaalamu wa kuajiri. Huwa wanaweweseka Sana wakati wa kuajiri makocha kwani huwa wanasikiliza Sana kelele kutoka Kwa watu ambao wengi Wao...
  18. Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  19. S

    Kumbe hili suala la mikataba ya siri sio Tanzania tu na bandari zetu, huko Kenya raisi anahusishwa na kutaka kutoa Jomo Kenyatta Airport kwa siri!

    Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
  20. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…