Hawa watu huwa na roho ngumu sana, yaani tetemeko linapiga na kusababisha maafa na majanga ila wao wanawindana na kupigana, hawana muda wa kusklizia kwanza au wasubiri hali itulie.
Wanalipuana utadhani hamna kesho, hawa hawa ndio wamiliki wa dini yao aisei, na ndio lugha yao huwa tunaambiwa...
Kiongozi wa kijeshi wa Sudan Generali El Burhan, amesema serikali kuu na Jeshi zinajiandaa kuhamia Port Sudan mji wa mashariki mwa Sudan.
Hatua hii imekuja baada ya wanamgambo wa RSF kushikilia maeneo yote nyeti ya mji Mkuu Khartoum.
Kiongozi wa RSF Generali Mohamed Daglo, ameionya hatua ya...
Kwa vile ni dhahiri Urusi imeshindwa Ukraine na kuhamisha nguvu nyingi kwenye heka heka za Afrika, sikujua na wao hukimbia kikinuka kwenye bara hili............
Russia says it has evacuated staff from its embassy in Khartoum, citing the high security risks to personnel amid the ongoing...
Kwa Wasudan wengi wanaotatizika kunusurika kwenye vita, ladha ya kondoo ambayo Waislamu hujitolea kijadi kwa ajili ya sikukuu ya Eid al-Adha ni kumbukumbu ya mbali.
Mzozo huo ambao sasa uko katika mwezi wa tatu, umeleta vifo na misukosuko na kusababisha mamilioni ya watu kuyahama makazi yao...
Yaliyoikumba nchi ya Sudan na kuingia kwenye vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe sasa yameingia nchini Urusi.
Wakati nchini Sudan kulikuwa na jeshi la RSF linaloongozwa mpaka sasa na Hemedti ambapo jeshi lake linasemekana kuithibiti miji yote mitatu mikubwa ya nchi hiyo. Kule Urusi kuna jeshi...
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan
Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.
Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?
They are acting like they were in boarding schools for 10...
Wakuu,
Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili.
Nasema nimegadhabishwa kwa...
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na...
Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan.
Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
Bado imeshindikana kuwapatanisha, ni fulu mnyukano kwa kwenda mbele tena wana mizuka ya kiwaki waki.....
A massive fire erupted at the gas depots in southern Khartoum on Wednesday, following intense battles over the control of the Yarmouk ammunition factory involving the use of heavy weapons...
Rais aliyetimuliwa madarakani al Bashir aliwamilikisha na kubinafisisha kila kitu kwa waart asilimia kubwa ya uchumi wa Sudan ukawa chini ya Waarabu.
Wale wasio kuwa na ukaribu na waarabu wakawa kama sio Wasudan.
Kiufupi Waarabu walimilikishwa kila kitu kuanzia ardhi na raslimali zote.
Wale...
Hivi majuzi, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipitisha azimio la kuongeza muda wa vikwazo dhidi ya Sudan Kusini hadi Mei 31, 2024 kwa kura 10 za ndio na 5 hazikupigwa. Cha kusisitizwa ni kwamba, kama mwanzilishi na mtungaji wa rasimu ya azimio hilo, serikali ya Marekani imekuwa ikifanya...
Wamefanikiwa katika hii ceasefire ya siku saba kuleta amani hapa na pale. Wanawaomba Paramilitary Forces na Jeshi waiendeleza ceasefire na waendelee na mazungumzo ya amani.
Naona kama vile there is a glimmer of hope.
Lakini Waafrika lazima washirikishwe. Rais Rutto aliaema this is an African...
Tokea mwaka 1958 sudan yameshatokea majaribio almost 36 ya kupindua serekali kwa lugha nyepesi sudan ni moja ya nchi ngumu sana kuiongoza afrika
Mwanzon wa miaka ya 2000 kulikua na vuguvugu la waasi darfur rais wa wakati huo omar al bashir alianzisha janjaweed ambao ni kama kikosi maalumu kwa...
Jamaa wanapigana kwa mizuka ya balaa............
Fighting between forces loyal to Sudan's rival generals on Friday rocked the western region of Darfur, witnesses said, on the fourth day of a fragile US-Saudi-brokered ceasefire.
The one-week truce, the latest in a series of agreements that have...
Licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kusitisha vita baina ya pande mbili zinazogombea madaraka kumeibuka lawama huku kila upande ukilaumu
Jeshi la Sudan na wapiganaji wa Vikosi vya RSF wameendelea kutishia utulivu hasa katika Mji Mkuu wa Khartoum na hivyo kuwa na uwezekano wa kuvunjika kwa...
Shirika la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa (UN) limeeleza mapigano ya kuwania madaraka yanayoendelea Nchini hapo yamesababisha Watu zaidi ya milioni moja kuyahama makazi yao na kwenda katika maeneo salama ndani ya Sudan huku wengine 320,000 wakikimbia Nchi jirani za Misri, Sudan Kusini, Chad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.