sudan

  1. Lady Whistledown

    Sudan: Idadi ya Watu waliofariki kutokana na Mapigano yafikia 822

    Chama cha Madaktari nchini humo kimetangaza kuwa idadi ya vifo vya Raia kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Jeshi na vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) imefikia 822, na wengine 3,215 wamejeruhiwa Jiji la El-Geneina katika Jimbo la Darfur Magharibi linatajwa kuathirika zaidi tangu...
  2. JanguKamaJangu

    Sudan: Mpinzani Mkuu wa Rais ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa mashtaka ya ugaidi

    Rachel Ghannouchi (81) ambaye ni Spika wa zamani wa Bunge, alikamatwa Aprili 2023 kwa tuhuma mbalimbali ikidaiwa kuwa ni hatua ya kudhibiti upinzani wa kisiasa Chama cha Mwanasiasa huyo, Ennahda kilikuwa chama kikuu bungeni kabla ya Rais Kais Saied kulivunja Bunge mnamo Julai 2021 na kuchukua...
  3. JanguKamaJangu

    Mwanamuziki maarufu auawa katika vita Sudan

    Shaden Gardood (37) ameuawa wakati mpigano ya kugombea madaraka yakiendelea kati ya vikosi vya Jeshi la Sudan dhidi ya Rapid Support Forces (RSF) katika Mji wa Omdurman, ikiwa ni siku moja baada ya pande hizo zinazopigana kuafikiana kupunguza mapigano. Gardood alikuwa mmoja wa watu maarufu...
  4. MK254

    Kwa jinsi hawa waarabu wa Sudan wananyukana, tunaelekea kuwa na Somalia nyingine

    Saudi Arabia imejaribu kuwapatanisha ila wapi, kila upande una ubabe wa balaa....milipuko mjini Mahasidi wenyewe ni Abdel Fattah al-Burhan anapigana na kamanda Mohamed Hamdan Wakiachiwa hivi wataibadilisha hiyo nchi na kuwa kama Somalia, na hawatakawia kujilipua kwa mobomu hawa...
  5. JanguKamaJangu

    UN: Viongozi wa Jeshi wanaopigana Sudan hawana nia ya kumaliza tofauti zao

    Umoja wa Ulaya (UN) imetoa angalizo hilo baada ya kuzungumza na pande mbili zinazopigana katika vita ya kuwania madaraka ambayo imeanza Aprili 15, 2023. Martin Griffiths, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa UN amedai kuwa mwendelezo wa mapigano umefika hatua mbaya na kutoa wito wa kuruhusu misaada ya...
  6. L

    China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  7. Webabu

    Jeshi Sudan laelekea kushinda vita

    Upepo wa mapambano kati ya majenerali wawili nchini Sudan unaonekana kubadilika ghafla dhidi ya Hemedti. Jeshi linaloongozwa na generali Burhani limesema kwa sasa wananchi wate waliobaki mjini Khartoum wabaki ndani na wasichungulie madirishani kwani wameanza kutumia vifaru kushambulia kutoka...
  8. BARD AI

    Majeshi yakubaliana kusitisha Mapigano kwa saa 72 nchini Sudan

    Pande mbili zinazopigana Nchini Sudan zimefikia makubaliano hayo mapya ikiwa ni kutokana na majadiliano yanayoshinikiwa kutoka Mataifa ya Marekani, Uingereza, Umoja wa Mataifa na Nchi majirani. Sitisho hilo liliwekwa ili kuruhusu wananchi kuondoka pamoja na shughuli za kuwaondoa Raia wa Nchi...
  9. Webabu

    Aliyekimbia vita Sudan ajuta kurudi kwao

    Ahmad Shams ni mfanyabiashara aliyekimbia vita vya wenyewe nchini Lebanon takriban miaka 17 iliyopita. Akiwa Sudan alifanikiwa sana kibiashara baada ya kuanzisha mkahawa karibu na uwanja wa ndege wa Khartoum na jirani ya makazi ya watu wenye uwezo kimaisha. Machafuko yalipoanza wiki mbili...
  10. Richard

    Pale dunia inapofumbwa kwa yale yanotokea nchini Sudan

    Mgogoro na vita baina ya Jeshi la Sudan na wanamgambo wa RSF umeingia siku ya 10 huku kukiwepo na amri ya kusimamishwa mapigano kwa masaa 72. Amri ya kusimamisha mapigano kuruhusu uokozi wa raia wa kigeni ilianza kutokea siku ya Ijumaa iliyopita ambapo watu waliruhuswa kusheherekea siku kuu ya...
  11. Yoda

    WHO yatoa tahadhari ya hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan

    Shirika la Afya duniani linasema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya mlipuko kutoka Sudan na kusambaa kwingine. Wanamgambo wa RSF wametwaa maabara ya kitaifa yenye sample mbalimbali za magonjwa hatari ya mlipuko yanayojumuisha Polio, Tetekuwanga, Kipindupindu na mengineyo zilizokuwa zimehifadhiwa...
  12. JanguKamaJangu

    Sudan: Kituo kinachofuga Simba chapungukiwa chakula kutokana na vita, wafanyakazi waanza kukimbia

    Kituo hicho cha Sudan Animal Rescue Centre (SARC) kinachofuga Simba 25 pia kina wanyama wengine wakiwemo gazelles, ngamia, nyani na fisi, kipo karibu na Jiji la #Khartoum ambapo kuna vita ya kugombea madaraka inaendelea. Simba mmoja anakula kilogramu 5 hadi 10 za nyama kwa siku jambo ambalo...
  13. Webabu

    Wamarekani wanaokimbia Sudan wakumbwa na ujambazi na uporaji

    Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani. Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa...
  14. JanguKamaJangu

    Marekani yasema Majenerali wanaopigana Sudan wakubali kusitisha mapigano kwa siku tatu

    Majenerali hasimu nchini Sudan wamekubali kusitisha mapigano kwa siku tatu, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alisema Jumatatu, baada ya siku 10 za mapigano katika maeneo ya mijini ambayo yameua mamia ya watu na kujeruhi maelfu ya wengine. Makubaliano ya awali ya kusitisha...
  15. JanguKamaJangu

    Sudan: Wanadiplomasia na raia wa kigeni waendelea kuhamishwa kwa kasi

    Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum. Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni Marekani, Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Hispania, Argentina, Colombia, Ireland, Portugal...
  16. BARD AI

    Mapigano yasababisha huduma za Intaneti kuzimwa Sudan

    Mtandao wa #NetBlocks umeripoti kuwa Vita ya pande mbili za Majeshi zinazopigana Nchini #Sudan imesababisha upatikanaji wa huduma ya Mawasiliano ya Intaneti kushuka hadi kufikia 2%. Mapigano hayo yaliyoanza Aprili 15 kati ya vikosi vinavyomtii Mkuu wa Jeshi, Abdel Fattah al-Burhan na vya Makamu...
  17. Webabu

    Uraia pacha huenda ndiyo sababu ya Sababu vita ya wenyewe kwa wenyewe Sudan

    Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo. Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao wakiwa ni raia pacha, yaani nusu ni wamarekani na nusu ni wasudan. Wakati vita vimepamba moto raia hao...
  18. M

    SUDAN: Maafisa wa ubalozi wa Marekani wameondolewa nchini Sudan

    Rais Joe Biden wa Marekani amesema jeshi la Marekani likiwa na ndege 6 za kijeshi za kubeba mizigo limewaondoa maafisa wa ubalozi na familia zao kutoka Sudan mpaka eneo la Siri nchini Ethiopia. Akiongea na waandishi wa habari, rais Biden amesema kwamba katika harakati hizo walishirikiana na...
  19. F

    Sudan kinachoendelea

  20. Chizi Maarifa

    Hali hii Sudan inatisha. Hapa sijamwona Mmarekani wala Mrusi. Ni Waafrika wenyewe wanafanyiana huu ukatili

    Siku zote nmekuwa nikisema sisi waafrika ni wanyama sana. Wakati tunapambana na mashoga n.k tunasahau huu unyama ambao tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe. Yaani tunatumia nguvu kubwa kwa mambo ambayo effect yake si kama hii ambayo inaonekana hapa kwenye video(SIUNGI MKONO USHOGA HATA KIDOGO) Ila...
Back
Top Bottom