sudan

  1. Gaganiga

    Nimepata kazi shirika la wakimbizi(UNHCR) south sudan

    Saludo, Kila siku naendelea kumshukuru Mungu kwa mafanikio yangu ya kila siku haipiti siku bila kupata kitu ambacho kinanipa furaha maishani japo moment za huzuni zipo but all in all namshukuru mungu for everything. Hello niwatangazia umma au member wa jamii forums ya kwamba nimepata mchongo I...
  2. BARD AI

    Burundi yashinda kiti cha Spika wa EALA baada ya Sudan Kusini kujiondoa

    Joseph Ntakirutimana, Naibu Katibu Mkuu wa Chama Tawala nchini Burundi, amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA). Ameshinda baada ya wanachama 54 kati ya 63 kumpigia kura, huku mmoja akimkataa na Kura nane ziliharibika. Ili mtu ashinde nafasi ya Spika wa EALA, lazima apate...
  3. YinYang

    SI KWELI Wanahabari waliovujisha video ya Rais wa Sudan Kusini akijikojolea wauawa

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit alitokwa na mkojo iliyolowesha suruali yake wakati wa kuimba wimbo wa Taifa kabla ya kuzindua mradi mpya wa barabara, Jumanne Desemba 13, 2022. Video ya tukio hilo ilisambaa na kukawa na uvumi kuwa waandishi waliokuwa na rais Kiir siku hiyo wameuawa na...
  4. JanguKamaJangu

    Sudan: Mwanamke afungwa jela kwa kumbusu Mwanaume

    Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi mbalimbali hukumu ikabadilishwa. Adhabu ya awali iliyotolewa katika Mji wa Kosti, Jimbo la White Nile...
  5. BARD AI

    Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  6. L

    Ujuzi wa lugha ya Kichina watoa fursa za ajira kwa vijana wa Sudan Kusini

    Tangu kuanzishwa kwa mradi wa kujifunza lugha na utamaduni wa China mwezi Julai, 2021, vijana wengi wa Sudan Kusini waliojiandikisha katika madarasa ya lugha wamegundua umuhimu wa lugha ya Kichina. Mayiik Deng, mwenye umri wa miaka 25, ni mmoja wa wanafunzi wa mwanzo wanaoshiriki muhula wa tano...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Kimboka, Sudan, Sokota cha mtoto, hata Sodoma na Gomorrah yenyewe haifui dafu kwa mtaa huu

    Kuna mtaa huko Tandika maeneo ya Davis corner hatari. Sehemu za nyuma mabinti wanauza mpaka kwa sh. Elfu 1. Yaani ile afutatu unapata mademu 3 unawafanya sehemu za nyuma . Serikali iwaondoe Mijini vijana wote wa kike na kiume wasio na kazi rasmi. Iwapeleke kwenye mashamba maalumu ya...
  8. M

    Video: Isije ikawa huyu ni member mwenzetu kafumaniwa huko Juba South Sudan

    Mzuka Wanajamvi! Hii video ni ya huko South Sudan. Na kuna member mwenzetu alisafiri huko. Cc mpwayungu village
  9. GENTAMYCINE

    Naitakia kila la kheri Al Hilal FC pale Omdurman nchini Sudan

    Wengine hatujazoea kabisa unafiki, kujificha au hata tu kukaa na jambo moyoni. Na kuna mpuuzi mmoja (nimemsahau jina) wiki hii alitutaka Watanzania (tena kwa kutufokea) kuwa watu wa Yanga SC na Simba SC tupendane na tushangiliane (tusapotiane) hasa tukiwa tunacheza Kimataifa. Na...
  10. Execute

    FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    FULL TIME 90+1' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 90' Wenyeji wanaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema mfungaji aliotea 81' Farid Mussa anaingia, anatoka Fei Toto kwa Yanga 76' Yanga wanamtoa Morrison anaingia Makambo 70' Mchezo umesimama kwa muda, mchezaji wa Al Hilal ameumia 60' Fei Toto...
  11. GENTAMYCINE

    Kuku wa Ilala (Tanzania) wameshajipeleka wenyewe Omdurman (Sudan) kuchinjwa Jumapili

    Na ukitaka 'Kitoweo' chako chochote kichinjwe vyema jitahidi sana umtafute Muislamu halafu awe ni Mwarabu wa 'Kisudani' utafurahia show yake ya uchinjaji ambayo mara nyingi huianzia Saa 3 kamili usiku baada ya kumaliza kuswali saa 2 kamili usiku.
  12. J

    Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  13. GENTAMYCINE

    Kuna Timu mafanikio yake ya Kipekee CAFCL yatakuwa ni Kufurahia Mechi yao Kuonyesha 'Live' nchini Sudan

    Kama mechi yenu tena ya hapa hapa nyumbani Dar es Salaam nchini Tanzania Uwanja wa Mkapa ilionyeshwa mubashara (live) na mkademadema na kupata alama (point) moja mnadhani kwa kuonyeshwa kwao ndiyo mtawafunga? Wenzenu Wasudan (Waarabu) nje ya mpira pia wana jicho kali la kibiashara hivyo waliona...
  14. CAPO DELGADO

    Naomba niwaumize Yanga kwa kusema ukweli, Sudan hamuwezi kutoboa!

    Habari Wakuu. kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana. Linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga wataendelea kuteseka, kuumia, kukosa furaha, kujeruhiwa nk. kwa sababu...
  15. N

    Yanga yatanguliza mashushu Sudan, mmoja kati ya walioenda ni Mwakalebela

    Yanga SC ni timu kubwa sana wakati timu nyingine hubabaika sana na kutanguliza mashushushu wiki 2 kabla wao wanapeleka baada ya mechi ya kwanza, huo ndiyo ukubwa wa timu inayojiamini. Yaani kiwango cha Mamelodi, Raja, Wydad. Sasa zikiwa zimebaki siku 5 ndipo Yanga wamepeleka mashushushu wawili...
  16. Unavoidable Servant

    Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

    Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal. Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al...
  17. luangalila

    Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  18. N

    Azam kuonesha mechi ya Yanga na Al Hilal

    Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV wamefanikiwa kupangua baada ya kuwashawishi ma bosi wa Al Hilal kuonyesha mechi hiyo. Ikumbukwe kwamba...
  19. Vladivostok

    Ni ngumu sana kuwatoa Wasudan kwao, Simba ashawahi kushinda nyumbani akaenda kufa Sudan!

    Umofia kwenu. Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya. Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
  20. BARD AI

    Sudan yanyimwa msaada wa Benki ya Dunia kwa kukosa uwazi kwenye matumizi ya fedha

    Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi. Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
Back
Top Bottom